beautiful princess
Member
- Jan 15, 2018
- 79
- 97
Habari wana JF,
Samahani nimekuja tena kwenu mnipe mawazo,
Tafadhalini eti nahitaji nimpeleke mzazi mwenzangu Ustawi wa Jamii kutokana na amenizalisha na hataki kulea mtoto na isitoshe mtoto bado mdogo, anaejua taratibu naomba msaada, nipo Arusha.