Kwema humu ndani?
Mimi ni msomi wa level ya Bachelor degree kutoka chuo cha Dar es Salaam. Ni mwalimu wa lugha.
Ni miaka 3 sasa imepita toka nimehitimu masomo yangu.
Nilipanga niendelee na masomo ya juu baada ya kuhitimu shahada yangu maana napenda sana siku moja niwe mwalimu wa Chuo kikuu ila kulingana na kuyumba kwa uchumi wa familia ikashindikana.
Sasa nimekuja kwenu kuomba kama nitapata fursa ya kujitolea kuwa msaidizi wa mkufunzi.
Kama kuna mtu anaweza nisaidia mawazo ili nifikie napokusudia nitashukuru sana?
NB. Nina ufaulu mzuri ktk shahada yangu.