Natafuta kazi, nimesomea arts and designing

Natafuta kazi, nimesomea arts and designing

Esmodaizer

Member
Joined
Jul 12, 2020
Posts
21
Reaction score
20
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 23, nimehitimu masomo yangu ya chuo kikuu ngazi ya shahada ya sanaa na ubunifu (Bachelor of arts in arts and design). Ambayo imebeba màmbo kama;
graphics design, fashion design, drawings and paintings, printing, photography.

Kama nitaweza kupata kazii yoyote kwà sasa nje ya taaluma yangu nitashukuru Sana pia ni mtaalamu wa màmbo ya ususi, ushonaji.

0758734002
Asanteni.
 
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 23, nimehitimu masomo yangu na kupata shahada ya sanaa na ubunifu (arts and design). Ambayo imebeba màmbo kama;
graphics design, fashion design, drawings and paintings, printing, photography...
Kama nitaweza kupata kazii yoyote kwà sasa nje ya taaluma yangu nitashukuru Sana pia ni mtaalamu wa màmbo ya ususi, ushonaji... Asanteni.
Karbu PM

Kazi sa saloon unaweza?
 
Kati ya member wote wa JF, kuna mtu Wikiendi hii ataliwa!

#Maendeleo hayana chama!
 
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 23, nimehitimu masomo yangu na kupata shahada ya sanaa na ubunifu (arts and design). Ambayo imebeba màmbo kama;
graphics design, fashion design, drawings and paintings, printing, photography...
Kama nitaweza kupata kazii yoyote kwà sasa nje ya taaluma yangu nitashukuru Sana pia ni mtaalamu wa màmbo ya ususi, ushonaji... Asanteni.
Kumbe unataaluma nzuri tu,hapo kwenye ushonaji hutakiwi kulalamika kabisa........kama unacherehani yako jisogeze pale Ilala sokoni ndani kuna washonaji wengi tu zaidi ya mia
 
Kumbe unataaluma nzuri tu,hapo kwenye ushonaji hutakiwi kulalamika kabisa........kama unacherehani yako jisogeze pale Ilala sokoni ndani kuna washonaji wengi tu zaidi ya mia
Asantee sina
 
Mbona una skills nzuri tu...
Najiuliza why unahitaji kazi yoyote tu?
Kwa kua umetaja sanaa... ushawahi kuandika Movie script au story ya aina yoyote
Naweza kuku connect na watu wenye uhitaji huo

Kusema upo tayari kwa aina yoyote ya kazi kunakufanya uwe vulnerable na kwa umri na elimu yako.....sio idea nzuri
 
Back
Top Bottom