Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,544
- 23,844
Wakuu,
Nataka nifungue madai ya fao la kukosa ajira. Shida ni kwamba NSSF hawapokei simu wala kujibu emails.
Nimesikia kuwa siku hizi Madai ya NSSF yanafanyika Online kwa 100%. Hakuna haja ya kwenda Ofisini kwao.
Je, Kuna aliyewahi kutumia hii njia?
Attachment nilizonazo: Certificate of Service, NSSF ID card, kadi ya Nida, Barua rasmi ya end of contract, Fomu ya Bank iliyosainiwa na Bank husika.
Pia nimesha create account kwenye NSSF portal.
Karibuni