Je, na Marais Wastaafu wa Tanzania Visiwani nao hujaliwa kwa 'First Class Treatment' kama waliobakia Tanzania Bara?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,747
109,205
Na je, na hao wa huko Tanzania Visiwani (Zanzibar Isles ) na Wao Nyumba zao zote (hata zile ambazo) hazikujengwa na Serikali (kwa mujibu wa Sheria) pia huwa zinalindwa sana hata kama Mstaafu yuko zake Kijijini anakula Mananasi au Mihogo na Nyumba zake za Mjini ziko tu na Mbwa wa Kijerumani?

Na je, nao pia (Marais Wastaafu wa Tanzania Visiwani) nao pia hujaliwa, hunyenyekewa, hutembelewa, hununuliwa Gari mpya kila mwaka na Wao pia huongezewa Ulinzi na hata Gari za Misafara yao kama ilivyo kwa Marais Wastaafu wa Tanzania Bara?

Nasubiri majibu yenu ili Nielimike pia.
 
Jibu ni hapana, Au tatizo ni mic ya ufunguzi wa stand ya mbezi au tatizo ni dokta j wa moi ili tuendelee
 
Hela za wale kule wala urojo zinatoka huku bara kwa wamatumbi.

Hela za anasa wanazipatia wapi!?

Hata majumba yao waliojenga wenyewe ni makubwa na mazuri tu

Hii huku bara ilikiwa upoteza wa hela tu mfano jamaa wa mgaso ana mansion ya maana kule porini kwao na kule mikocheni bila shaka hata obey alikuwa na mansion sidhani kama anashidwa kuwa nazo hizo

Ni matumizi tu mabaya ya pesa za umma kuwashwa washwa na hela za umma matokeo yake wanajitungia masheria yakujipendelea mfano ya kujingea majumba, na ile ya kutoshatikiwa hata ukifanya nini.

Kuhusu ulinzi hakuna tabu, wanapswa walindwe.

Afrika hatunaga vipaumbele mwisho wa tunetembeza bakuli kama kawa shame!
 
Na je, na hao wa huko Tanzania Visiwani (Zanzibar Isles ) na Wao Nyumba zao zote (hata zile ambazo) hazikujengwa na Serikali (kwa mujibu wa Sheria) pia huwa zinalindwa sana hata kama Mstaafu yuko zake Kijijini anakula Mananasi au Mihogo na Nyumba zake za Mjini ziko tu na Mbwa wa Kijerumani?

Na je, nao pia (Marais Wastaafu wa Tanzania Visiwani) nao pia hujaliwa, hunyenyekewa, hutembelewa, hununuliwa Gari mpya kila mwaka na Wao pia huongezewa Ulinzi na hata Gari za Misafara yao kama ilivyo kwa Marais Wastaafu wa Tanzania Bara?

Nasubiri majibu yenu ili Nielimike pia.
Acha ushambenga we kipwipwi.....ni mstaafu mmoja tu wabara ana yekula hizo shumbwela naye ni Mr Mkwere ....next time fanya hiphop acha majungu
 
Na je, na hao wa huko Tanzania Visiwani (Zanzibar Isles ) na Wao Nyumba zao zote (hata zile ambazo) hazikujengwa na Serikali (kwa mujibu wa Sheria) pia huwa zinalindwa sana hata kama Mstaafu yuko zake Kijijini anakula Mananasi au Mihogo na Nyumba zake za Mjini ziko tu na Mbwa wa Kijerumani?

Na je, nao pia (Marais Wastaafu wa Tanzania Visiwani) nao pia hujaliwa, hunyenyekewa, hutembelewa, hununuliwa Gari mpya kila mwaka na Wao pia huongezewa Ulinzi na hata Gari za Misafara yao kama ilivyo kwa Marais Wastaafu wa Tanzania Bara?

Nasubiri majibu yenu ili Nielimike pia.
Nimekuelewa mtani, mwizi siku zote huwa anahisi kuibiwa
 
Back
Top Bottom