Je mwanamke anaweza kushika mimba akiwa na mimba?

Mkuu Nina ndoto ya kipumbavu naota nataka kupigwa risasi then mjomba wangu ambae ametangulia mbele za haki akawa anamzuia wakati huo mimi nilikua kwenye migomba ghafla jamaa akawa antaka anipige risasi sasa mjomba akawa anamzuia sasa ile migomba ikaonekana imestawi sana jamaa akawa anamwambia mjomba si unaona ghafla na Mimi nikawa na AKA 47 sasa jamaa akasema umenizuia nisimpige risasi ona sasa ana bunduki kubwa Mimi nikapiga risasi hewani kutuma salama
Kwamba namiliki bomba. Mshana Jr kuna usalama nasubiri jibu siku hizi naota ndoto za kuwaki sana
 
Ndoto yako siyo ya kipumbavu hata kidogo; ina ujumbe mzito wa kiroho na kisaikolojia unaoonyesha ulinzi, ustawi, na mabadiliko makubwa ya nguvu katika maisha yako.

Katika ulimwengu wa ndoto, migomba iliyostawi sana inawakilisha baraka, maendeleo, na mafanikio yako, ambayo ndiyo yanayomvutia yule adui anayetaka kukushambulia kwa risasi kutokana na wivu au husuda.

Hata hivyo, kutokea kwa mjomba wako aliyetangulia mbele za haki kunaonyesha kuwa una ulinzi mkubwa wa kiungu na wa mababu zako ambao hauruhusu mabaya yakupate, wakisimama kama ngao imara kwenye maisha yako.

Kitendo cha wewe kupata bunduki kubwa ya AK-47 ghafla kinaleta picha ya mabadiliko ya mamlaka, ambapo unainuliwa kutoka kwenye unyonge na kupewa nguvu pamoja na ujasiri mkubwa wa kukabiliana na changamoto zako.

Hatimaye, uamuzi wako wa kupiga risasi hewani kutuma salamu, badala ya kuua, ni ishara ya ushindi wa amani na tangazo la nguvu zako linalowaonyesha maadui kuwa huwezi kuonewa tena, hivyo ndoto hii inakuhakikishia kuwa utavuka salama kwenye vikwazo vyote unavyopitia

Ukiwa mchungaji unaweza kupata pesa nyingi watu tu napenda matumaini kama
Aya 😂😂😂
 
Mkuu Nina ndoto ya kipumbavu naota nataka kupigwa risasi then mjomba wangu ambae ametangulia mbele za haki akawa anamzuia wakati huo mimi nilikua kwenye migomba ghafla jamaa akawa antaka anipige risasi sasa mjomba akawa anamzuia sasa ile migomba ikaonekana imestawi sana jamaa akawa anamwambia mjomba si unaona ghafla na Mimi nikawa na AKA 47 sasa jamaa akasema umenizuia nisimpige risasi ona sasa ana bunduki kubwa Mimi nikapiga risasi hewani kutuma salama
Kwamba namiliki bomba. Mshana Jr kuna usalama nasubiri jibu siku hizi naota ndoto za kuwaki sana
Tafuta kazi, toka kwa shemeji
 
Kuna siku nilimwambia rafiki yangu kuwa suala la mimba kuna baadhi ya concept sayansi bado haijaweza kujibu kwa usahihi. Mfano kuna wanawake wamewahi kupata mimba siku ya period na si ovulation.
 
Back
Top Bottom