Mkuu nashukuru kwa majibu yako na nimeelewa sana,ila nataka nikuulize maswali yanahusu meditationDumbi kuna wakati tunatafuta ugali ndio maana nimechelewa kukujibu.
1. Binadamu ni Nafsi iliyo na Mwili na akili
2. Akili inawaza na Nafsi ina utashi wa kufanya maamuzi nini mwili wake ukifanye.
3. Nini kina nguvu, chukulia mahusiano ya mwanamke na mwanamume, licha mume kuwa na nguvu na mamlaka makubwa kwa mwanamke, lakini mwanamume anawezalaghaiwa kilahisi na mwanamke. Hivyo licha Nafsi kuwa haina mwanzo wala mwisho lakini inashawishika kufanya yale uliwengu wa mawazo unao mshawishi na kusahau kuwa kwa utashi wake iliamua kuzaliwa ili ikamilike, at the end inajuta. Ndio maana shetani anatumia nembo ya kike.
4. Kichaa na watoto wachanga wanawaza pia kwani wanachokitenda nibaada ya maamuzi ya nafsi zao, tofauti yao ni kwamba hawavuni matunda ya matendo yao, they do not associate with their actions, kwa lugha lahisi hawajui wakifanyacho hata kwenye vitabu vya dini kundi hili linatajwa kuwa halina dhambi.
5. Kama vile ukitupa jiwe juu lazima lianguke chini, ilikupata ukamilifu Roho (nafsi) itashindana na akili timamu.
6. Uchizi sio meditation.
Karibu sanaMkuu nashukuru kwa majibu yako na nimeelewa sana,ila nataka nikuulize maswali yanahusu meditation
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante,je nikitaka kuanza meditation ni vitu gani natakiwa niachane navyo ili niweze kufanikisha hilo zoezi?
Ahsante,je nikitaka kuanza meditation ni vitu gani natakiwa niachane navyo ili niweze kufanikisha hilo zoezi?
Je nikweli huwa inaongeza nguvu za kiroho kama kuja kufanya miujiza mfano kuponesha wagonjwa?
3je kuna uwezekano wa kuingiwa na mapepo kama wadau wengine wanvyosema?
huwezi kurukwa na akili ukawa chizi?
Kuna uwezekano wa kufa wakati wa meditation? niliskia kuna viumbe unaweza ukakutana navyo vikanga'ngania roho yako ukapotea hukohuko.tuanze na hayo kwanza nisikuchoshe
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana, nadhani tuendelee private.Nimekusoma lakini ingelipendeza zaidi kama ingelikua private au inbox zaidi. Any way kwa kuwa umeniuliza nitakujibu.
Ni Meditation gani unataka kufanya, Spirutual au Hizi kwa ajili ya mazoezi ya akili. Kama ni spiritusl or PATH inhitaji;
1. Guidance na preparation, hivyo tafuta group la watu wanaofanya meditation, watakupa mongozo. Lakini kifupi na mazoezi ya maandali na changing of life style. Including kutokula chakula fulani, kuacha ulabu, kuipenda kwa dhati.
2. POWER: Hutokea kwa wachache kuamsha uwezo na vipaji vilivyojificha kwa kuwa na uwezo kuwa na contacts na higher level of consciousness. Lakini yeyote atake ku guide through your path, atakushauri usizipractize, kwani zitzkuletea majivuno, EGO. Ni kitu kimoja hakitaki kabisa kitakacho kuletea kikwazo sana kufika mwisho wa njia yako ya ukamilifu.
3. Pepo ni Roho iliyokosa mwili, Meditation inakujengea Roho yako kuwa will power kubwa (aura), kiasi kwamba hamna Roho itayowekupush around. Hii Aura ni kipimo cha nguvu ya knowldge or exeperience au wengine wznaita utakatifu, nadhani ukiona picha Yesu kwenye vitabu vya dini amezungukwa mwanga fulani ule mwanga ndio unaitwa Aura, kila mtu anao
Nitaishia hapo kasijajibu maswali yote nitaendelea another time.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezekano wa kufa? Hapana. Watu wengi waliokufa sio kwa meditation, walikuwa wana practise zile power. Na hasa power moja ya kutoka nje ya mwili inaitwa Astray body projection, inamuwezesha muhusika kuona mambo yalifanyika huko nyuma. Kwenye group let tulikuwa na mtu wa namna aliweza tusimulia hata mapiramidi yalijegwaje lakini hakufa na alimaliza path yake. Labda kwa kuwa alifanys kwa manufaa sio kwa ubinafsi. By the way hivi unamua Bruce Lee, alikufa wakati akifanya Astray Body projection?Ahsante,je nikitaka kuanza meditation ni vitu gani natakiwa niachane navyo ili niweze kufanikisha hilo zoezi?
Je nikweli huwa inaongeza nguvu za kiroho kama kuja kufanya miujiza mfano kuponesha wagonjwa?
3je kuna uwezekano wa kuingiwa na mapepo kama wadau wengine wanvyosema?
huwezi kurukwa na akili ukawa chizi?
Kuna uwezekano wa kufa wakati wa meditation? niliskia kuna viumbe unaweza ukakutana navyo vikanga'ngania roho yako ukapotea hukohuko.tuanze na hayo kwanza nisikuchoshe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana story nnzozikia kwamba wazungu walikuwa na wivu na zile movie ndo wakamuua lakin haikuniingia akilini.kwaiyo wewe ulifundishwa kabisa na wataalam?je unaweza kuwa mwalimu utoe ulichopata?Uwezekano wa kufa? Hapana. Watu wengi waliokufa sio kwa meditation, walikuwa wana practise zile power. Na hasa power moja ya kutoka nje ya mwili inaitwa Astray body projection, inamuwezesha muhusika kuona mambo yalifanyika huko nyuma. Kwenye group let tulikuwa na mtu wa namna aliweza tusimulia hata mapiramidi yalijegwaje lakini hakufa na alimaliza path yake. Labda kwa kuwa alifanys kwa manufaa sio kwa ubinafsi. By the way hivi unamua Bruce Lee, alikufa wakati akifanya Astray Body projection?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu sio Monopoly japo ana nguvu ,uweza na mamlaka ya kuwa monopolyMkuu mimi nafikiri tungejikita kwenye sababu,,mfano kwa nini Mungu ajue kwamba huyu kiumbe Lucifer anaemuumba atakuja kuharibu kazi yake?? Ezekiel 28: ina majibu,,, kwamba Lucifer Alikuwa kaumbwa vizuri ila Alikuwa na tamaa,,,yako majibu kabisa kama ukiwa uko huru bila presha kutafuta majibu ya maswali yako.
Nimependa hapa uliposema anawajua walio wake toka kuwekwa misingi ya ulimwengu,,,mimi nikuulize kwamba wasi wasi wako ni nini kama labda hao walio wake mmoja wapo ni wewe?? Maana hakuwataja.
Ndio Unaweza ukawa na dhambi kama mimi na Baadae kumebaki dakika moja ufe ukatubu,,,nani anajua!
Mimi nilipractice early 80's nimesha staafu, Uzuri wa Path ina mwanzo na mwisho, mimi nilichagua kustaafu public nafanya private. Ila ukitaka naweza kupa contact mbili tatu maana wengine ndio life yao.Hapana story nnzozikia kwamba wazungu walikuwa na wivu na zile movie ndo wakamuua lakin haikuniingia akilini.kwaiyo wewe ulifundishwa kabisa na wataalam?je unaweza kuwa mwalimu utoe ulichopata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siri zipo hapa gusa hapa Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForumsWakuu hamjambo!
Kama kichwa cha Uzi huu kinavyouliza, Mimi nikiri kuwa naamini uwepo wa Mungu mmoja aliyeumba vyote vinavyoonekana na visivyoonekana pia.
Katika vitabu mbali mbali vya dini, tunaelezwa kuwa dhambi ilitokana na uasi alioufanya shetani dhidi ya Mungu, biblia inaenda mbali kwa kudai kuwa vita vilipiganwa huko mbinguni na shetani alishindwa na akatupwa duniani akiwa na theluthi ya malaika wakawa upande wake.
Maswali:
1. Ikiwa kabla ya shetani kuasi hakukuwa na dhambi yoyote ile, tena alikuwa mbinguni kwenye utakatifu wa MUNGU, je shetani alishawishiwa au alitoa wapi mawazo ya uasi Ikiwa hakukuwa na shetani yeyote mwingine?
2. Kama MUNGU hujua mwanzo hata mwisho wa viumbe vyake, INA maana alikuwa anajua kuwa shetani atakuja kuasi baadae na kusababisha dhambi, kwanini alimuumba?
Jambo la kufikiria hapa ni kuona kwamba MUNGU alimuumba shetani/Lucifer ( dhambi) mahususi ili kuja kuwa upande maovu. Dhana hii inadhihirisha kuwa MUNGU ndie aliyeumba dhambi.
3. Je, lengo la MUNGU lilikuwa mwanadamu aishi milele bila kufa?
Hapa kuna mazoea yalishajengeka hasa kwa wakristo na waislamu kuamini kuwa isingekuwa Eva/Hawa kudanganywa na Shetani basi Leo hii wanadamu wasingekuwa wanakufa ( immortal). Hii dhana haina mantiki hasa ukiwaza kuwa wanadamu wangezaliana na kuishi milele bila kufa nadhani dunia ingekuwa imejaa mabara na visiwa vyote.
Hivyo MUNGU akaamua kuleta mauti ili kudhibiti ( control) idadi ya wanadamu duniani isizidi uwezo wa rasilimali zilizopo, fikiri Leo hii watu wanauwana kugombania ardhi je ingekuwaje akina Adam na bibi yetu Eva wangekuwepo wote?
4. Je, Dini ni matokeo ya mwanadamu kumhofia shetani?
Tunaishi katika jamii ambazo kila MTU ana juhudi za kujikwamua kuondokana na shida Kama magonjwa, njaa, vita, ambazo Mara nyingi wanadamu wanahesabu kuwa hayo yote ni sababu ya shetani, na dini wanaona ndio kimbilio ili kumkwepa shetani asiwadhuru.
Lakini wao wanaamini kuwa wanasali ili kumtukuza MUNGU, lakini kiukweli dini ni hofu ( fear of unknown) isiyo na ithibati yoyote.
5. Je, Mungu anawapenda wanadamu? Hapa jibu laweza kuwa ni ndiyo, bahati mbaya sana ukiangalia uhalisia toka zamani kuna ugumu wa kusema ndiyo au hapana.
Tunaambiwa kuwa mbinguni kulikuwa na vita Kali sana, mwaishowe malaika aitwaye Mikaeli alimshinda shetani, Mungu akamtupa ibilisi huyo huyo duniani kwa wanadamu anaowapenda sana. Mungu hakuona sehemu nyingine ya kulitupa hilo joka ila duniani ambako ndio wanadamu aliwaweka. Hii ni sawa na kuwarushia watoto wako furushi lenye nge wengi huku umewafungia chumbani na kuwataka wajikinge wasing'atwe hata kidogo.
Nimekuja kuamini kuwa: MUNGU yupo ila dini zote ni michezo ya kukamata fikra za wanadamu tu, inawezekana kabisa kuwa dini ziluletwa na shetani mwenyewe ili kuwachonganisha wanadamu wasiishi kwa upendo na amani.
Angalia jinsi Palestine na Israel, syria , Iraq n.k wanavyouana kwa misingi ya dini.
Niishie hapo, naomba waumini/maswahaba mje mtueleze hizi hoja.
Cc: Mshana Jr
Cc: Kiranga
Na wanajamvi wote karibuni.
1.Ikiwa kabla ya shetani kuasi hakukuwa na dhambi yoyote ile,tena alikuwa mbinguni kwenye utukufu wa MUNGU,Je shetani alishawishiwa au alitoa wapi mawazo ya uasi ikiwa hakukuwa na shetani yeyote mwingine?
*****************************
Inasemekana chanzo Cha Lucifer kumkosea BWANA MUNGU ni kuumbwa kwa Adam na Ever/Hawa.
Aligoma kumpa heshima Adam ambaye alikuwa ni mfano wa sura na utukufu wa Mungu.
MUNGU aliwaambia Malaika wamsujudie (hapa haimaanishi kumwabudu) Adam maana alikuwa mfano wa MUNGU.
Malaika Michael alianza yeye kutii agizo la MUNGU Kisha akawakusanya Malaika wengine ili watekeleze Hilo agizo.
Alipomwendea Lucifer,Lucifer akagoma kutii akisema haimpasi yeye kumsujudia Adam ambaye ni mdogo kuliko yeye ila inampasa Adam kumsujudia Lucifer maana Adam alikuta tayari Lucifer ameshaumbwa.Baadhi ya Malaika walimuunga mkono Lucifer nao wakagoma.
Hapo ndipo BWANA MUNGU akamlani shetani na hao Malaika wengine,akaamuru watupwe duniani.
Kwa maelezo hayo Ni dhahiri kwamba Chanzo Cha uasi wa Lucifer/shetani Ni uwepo wa Adam.
Pia shetani hakushawishiwa na MTU au kitu chochote kumkosea BWANA MUNGU.Ni kiburi chake tu ndio kilichomponza.
Kwanini sasa Mungu amemuumba huyo lucifer awe na kiburi kisha amuadhibu, wakati aliweza kumuumba akiwa hana hata chembe ya ukiburi (mnyenyekevu)?
Naona maswali ya Kiranga hapa,kwanini Mungu amefanya hivi na hakufanya vile?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kabiasa,Lucifer alikuwa mnyenyekevu sana kwa Mungu kabla ya kuumbwa Adam.Kwanini sasa Mungu amemuumba huyo lucifer awe na kiburi kisha amuadhibu, wakati aliweza kumuumba akiwa hana hata chembe ya ukiburi (mnyenyekevu)?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu hamjambo!
Kama kichwa cha Uzi huu kinavyouliza, Mimi nikiri kuwa naamini uwepo wa Mungu mmoja aliyeumba vyote vinavyoonekana na visivyoonekana pia.
Katika vitabu mbali mbali vya dini, tunaelezwa kuwa dhambi ilitokana na uasi alioufanya shetani dhidi ya Mungu, biblia inaenda mbali kwa kudai kuwa vita vilipiganwa huko mbinguni na shetani alishindwa na akatupwa duniani akiwa na theluthi ya malaika wakawa upande wake.
Maswali:
1. Ikiwa kabla ya shetani kuasi hakukuwa na dhambi yoyote ile, tena alikuwa mbinguni kwenye utakatifu wa MUNGU, je shetani alishawishiwa au alitoa wapi mawazo ya uasi Ikiwa hakukuwa na shetani yeyote mwingine?
2. Kama MUNGU hujua mwanzo hata mwisho wa viumbe vyake, INA maana alikuwa anajua kuwa shetani atakuja kuasi baadae na kusababisha dhambi, kwanini alimuumba?
Jambo la kufikiria hapa ni kuona kwamba MUNGU alimuumba shetani/Lucifer ( dhambi) mahususi ili kuja kuwa upande maovu. Dhana hii inadhihirisha kuwa MUNGU ndie aliyeumba dhambi.
3. Je, lengo la MUNGU lilikuwa mwanadamu aishi milele bila kufa?
Hapa kuna mazoea yalishajengeka hasa kwa wakristo na waislamu kuamini kuwa isingekuwa Eva/Hawa kudanganywa na Shetani basi Leo hii wanadamu wasingekuwa wanakufa ( immortal). Hii dhana haina mantiki hasa ukiwaza kuwa wanadamu wangezaliana na kuishi milele bila kufa nadhani dunia ingekuwa imejaa mabara na visiwa vyote.
Hivyo MUNGU akaamua kuleta mauti ili kudhibiti ( control) idadi ya wanadamu duniani isizidi uwezo wa rasilimali zilizopo, fikiri Leo hii watu wanauwana kugombania ardhi je ingekuwaje akina Adam na bibi yetu Eva wangekuwepo wote?
4. Je, Dini ni matokeo ya mwanadamu kumhofia shetani?
Tunaishi katika jamii ambazo kila MTU ana juhudi za kujikwamua kuondokana na shida Kama magonjwa, njaa, vita, ambazo Mara nyingi wanadamu wanahesabu kuwa hayo yote ni sababu ya shetani, na dini wanaona ndio kimbilio ili kumkwepa shetani asiwadhuru.
Lakini wao wanaamini kuwa wanasali ili kumtukuza MUNGU, lakini kiukweli dini ni hofu ( fear of unknown) isiyo na ithibati yoyote.
5. Je, Mungu anawapenda wanadamu? Hapa jibu laweza kuwa ni ndiyo, bahati mbaya sana ukiangalia uhalisia toka zamani kuna ugumu wa kusema ndiyo au hapana.
Tunaambiwa kuwa mbinguni kulikuwa na vita Kali sana, mwaishowe malaika aitwaye Mikaeli alimshinda shetani, Mungu akamtupa ibilisi huyo huyo duniani kwa wanadamu anaowapenda sana. Mungu hakuona sehemu nyingine ya kulitupa hilo joka ila duniani ambako ndio wanadamu aliwaweka. Hii ni sawa na kuwarushia watoto wako furushi lenye nge wengi huku umewafungia chumbani na kuwataka wajikinge wasing'atwe hata kidogo.
Nimekuja kuamini kuwa: MUNGU yupo ila dini zote ni michezo ya kukamata fikra za wanadamu tu, inawezekana kabisa kuwa dini ziluletwa na shetani mwenyewe ili kuwachonganisha wanadamu wasiishi kwa upendo na amani.
Angalia jinsi Palestine na Israel, syria , Iraq n.k wanavyouana kwa misingi ya dini.
Niishie hapo, naomba waumini/maswahaba mje mtueleze hizi hoja.
Cc: Mshana Jr
Cc: Kiranga
Na wanajamvi wote karibuni.
Ikiwa viumbe vyote vimeumbwa na mmoja, kipi kinachopelekea utashi wa kila kiumbe utofautiana na kiumbe mwenzie? Je Mungu wakati anamuumba lucifer hakujua kwamba kutokana na utashi aliokuwa nao lucifer atakuja kuhasi/ kwenda kinyume nae? Kama alijua, kulikuwa na ugumu gani kumrekebisha wakati anamuumba, ili huo utashi wake usichague kuhasi? Na kama alijua halafu kaacha hivyo hivyo inamaana Mungu amepanga hilo tukio lije kutokea kwa makusudi?Kwanza kabiasa,Lucifer alikuwa mnyenyekevu sana kwa Mungu kabla ya kuumbwa Adam.
Pili,kiburi cha Lucifer hakijatokana na Mungu.Sio mpango wa Mungu Lucifer kumuasi.
Lucifer kutokutii agizo la Mungu ni utashi wake mwenyewe kama ilivyokuwa kwa Michael na wenzake walivyotumia utashi wao vizuri na kutii agizo la Mungu.Hapo Mungu hahusiki na hao malaika kutii au kutotii agizo lake.Wote wasingetii ingewagharimu na wote wangetii mambo yangekuwa shwari tu kama ilivyokuwa.
Lucifer hakutaka kujishusha kwa Adam maana aliona kuwa ni dharau kwa kuwa yeye ni mkubwa kuliko Adam.Malaika Michael alimsisitiza sana Lucifer kutii agizo maana matokeo ya kutotii ni mabaya.Lucifer hakutii na akasimamia hoja yake.Hapo Mungu anayaona yote hayo ila aliacha kila mmoja ajichagulie hatima yake.
Mwishowe Lucifer akakaidi kabisa na akapewa haki yake.Angetubu angeweza kusamehewa au kupunguziwa adhabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je,unatambua kuwa unatumia utashi ulionao kuuliza haya maswali uliyopost?Inawezekana kupitia haya Maswali una asi au vilevile unafanya vizuri.Lakini yote kwa yote unatumia utashi wako kufikiri na kuchambua Mambo mbalbali.Je,kosa La MUNGU ni kukupa wewe utashi au kosa ni wewe kwenda kinyume na maagizo yake ili baadae useme isingekuwa utashi aliokupa usingeasi?Ikiwa viumbe vyote vimeumbwa na mmoja, kipi kinachopelekea utashi wa kila kiumbe utofautiana na kiumbe mwenzie? Je Mungu wakati anamuumba lucifer hakujua kwamba kutokana na utashi aliokuwa nao lucifer atakuja kuhasi/ kwenda kinyume nae? Kama alijua, kulikuwa na ugumu gani kumrekebisha wakati ana muumba ili huo utashi wake usichague kuhasi? Na kama alijua halafu kaacha hivyo hivyo inamaana Mungu amepanga hilo tukio lije kutokea kwa makusudi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadithi njoo utamu kolea....1.Ikiwa kabla ya shetani kuasi hakukuwa na dhambi yoyote ile,tena alikuwa mbinguni kwenye utukufu wa MUNGU,Je shetani alishawishiwa au alitoa wapi mawazo ya uasi ikiwa hakukuwa na shetani yeyote mwingine?