Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

Je,unatambua kuwa unatumia utashi ulionao kuuliza haya maswali uliyopost?Inawezekana kupitia haya Maswali una asi au vilevile unafanya vizuri.Lakini yote kwa yote unatumia utashi wako kufikiri na kuchambua Mambo mbalbali.Je,kosa La MUNGU ni kukupa wewe utashi au kosa ni wewe kwenda kinyume na maagizo yake ili baadae useme isingekuwa utashi aliokupa usingeasi?
Utashi una faida na hasara zake.Na MUNGU Hilo alilijua Sana tu.Hasara Ni kwamba,ukiutmia vibaya unakuwa huna thamani mbele ya MUNGU,na Hilo kosa si la MUNGU.Utashi Ni zawadi kubwa kwa wale wanaoutumia kwa kufuata amri za MUNGU.

MUNGU aliona kuwapa Malaika utashi Ni vyema machoni pake kwa maana unawawezesha kutekeleza maagizo yake kwa Uhuru bila ya kuwalazimisha.
Lucifer alitumia huo utashi kubishana na Michael kwenye swala la kumsujudia Adam.Michael alitumia jitihada zake zote kumshauri mwenzake asitumie utashi wake vibaya maana utamgharimu lakini hakutaka.Je kosa hapo Ni kupewa utashi au ni kutumia utashi vibaya?
Utashi ndio unatuwezesha kuamua kufuata au kutokufuata sheria za Mungu.Usipofuata kosa Ni lako Ni si la MUNGU.
Kama ulikuwepo vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu tuanzie hapa ili twende sawa taratibu.

utashi maana yake nini?

Kipi kinachopelekea utashi baina ya kiumbe na kiumbe unatofautiana au baina ya mtu na mtu utofautiane ilihali wote wameumbwa na mmoja?

1.Utashi maana yake ni Nini?

Utashi ni uwezo wetu wa kuchagua, ni uwezo wetu wa kuamua, na ni uwezo unaoongoza, au nguvu, katika hali yetu ya asili.

2.Kwa Nini viumbe vinatofautiana utashi wakati vimeumbwa na mmoja?

Viumbe vimepewa utashi tofauti ili viweze kutegemeana,ili vingine viweze kutawala vingine,ili viweze kujitofautisha na vingine.
Kwa mfano,binadamu Ana utashi mkubwa kuliko wanyama wengine na ndio maana anaweza kuvitawala na kuishi navyo na kuvitumia atakavyo.

Sisi binadamu tunatofautiana utashi vile vile na ndio maana tunatofautiana katika Mambo mbalimbali ya kimaisha,na ndio maana tunategemea vile vile.

Kwa hiyo kuwa na utashi tofauti katika viumbe ni Jambo ambalo MUNGU kaliweka kwa faida yetu viumbe hai na sio kosa kwake MUNGU.
KOSA LINAKUJA PALE AMBAPO SISI BINADAMU AMBAO UTASHI WETU NI MKUBWA TUNAPOUTUMIA VIBAYA NA KUMUASI MUNGU KAMA ALIVYOFANYA LUCIFER.

Mfano:Madereva wanapewa vyombo vya usafiri na sheria za usalama wa vyombo vya usafiri na sheria za usalama barabarani pia wanazijua lakini baadhi hawazifuati na wanaishia kupata ajali wakati huhuo wengine wanazifuata na wanakuwa salama.
Je tatizo lipo kwa aliyeweka sheria?au Je tatizo Ni sheria?au Je tatizo Ni Madereva wasiofuata sheria?

Jibu Ni moja tu hapo. Tatizo Ni Huyu Dereva aliyevunja sheria na akasababisha ajali wala sio aliyeweka sheria na Wala sio sheria.

Kwa hiyo MUNGU kampa LUCIFER na Malaika wengine utashi,kawpa na amri ya kutoa heshima kwa Adam,baadhi wakati(walitumia utashi wao vizuri) alafu Lucifer na wenzake wakagoma mwisho wa siku yakawakuta yaliyowakuta.

Kwa hiyo Tatizo Ni la Lucifer kutumia utashi wake vibaya na sio MUNGU kumpa utashi.

Kwa kauli yako inaonesha kwa namna gani Mungu alivyo mbaguzi/mwenye upendeleo na asiyefuata haki baina ya mtu na mtu.

Ikiwa yeye Mungu ndiye anayetoa huo uwezo wa kuchagua, kuamua (utashi) je inawezekana vipi kwa mtu aliyepewa uwezo wa kuchagua mema akamzidi uwezo Mungu na kuchagua yasiyo mema?

Lucifer kafanya kulingana na utashi wake aliopewa na Mungu na siyo kwamba katumia utashi wake vibaya. Je lucifer Angepewa utashi uliotimilifu na Mungu, ingewezekana vipi kwenda kinyume na Mungu? Ukitengeneza/kuumba kitu chenye dosari usitegemee kile kitu kije kijiweke sawa chenyewe kwasababu mtengenezaji ndio mwenye uwezo wa kiakili kuliko kilichotengenezwa/umbwa.

Mbona Lucifer mwanzo kabla ya Kuumbwa Adam alikuwa akimsifu na kumtumikia MUNGU vizuri?
Je hapo alikuwa na kasoro kwenye utashi wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Utashi maana yake ni Nini?

Utashi ni uwezo wetu wa kuchagua, ni uwezo wetu wa kuamua, na ni uwezo unaoongoza, au nguvu, katika hali yetu ya asili.

2.Kwa Nini viumbe vinatofautiana utashi wakati vimeumbwa na mmoja?

Viumbe vimepewa utashi tofauti ili viweze kutegemeana,ili vingine viweze kutawala vingine,ili viweze kujitofautisha na vingine.
Kwa mfano,binadamu Ana utashi mkubwa kuliko wanyama wengine na ndio maana anaweza kuvitawala na kuishi navyo na kuvitumia atakavyo.

Sisi binadamu tunatofautiana utashi vile vile na ndio maana tunatofautiana katika Mambo mbalimbali ya kimaisha,na ndio maana tunategemea vile vile.

Kwa hiyo kuwa na utashi tofauti katika viumbe ni Jambo ambalo MUNGU kaliweka kwa faida yetu viumbe hai na sio kosa kwake MUNGU.
KOSA LINAKUJA PALE AMBAPO SISI BINADAMU AMBAO UTASHI WETU NI MKUBWA TUNAPOUTUMIA VIBAYA NA KUMUASI MUNGU KAMA ALIVYOFANYA LUCIFER.

Mfano:Madereva wanapewa vyombo vya usafiri na sheria za usalama wa vyombo vya usafiri na sheria za usalama barabarani pia wanazijua lakini baadhi hawazifuati na wanaishia kupata ajali wakati huhuo wengine wanazifuata na wanakuwa salama.
Je tatizo lipo kwa aliyeweka sheria?au Je tatizo Ni sheria?au Je tatizo Ni Madereva wasiofuata sheria?

Jibu Ni moja tu hapo. Tatizo Ni Huyu Dereva aliyevunja sheria na akasababisha ajali wala sio aliyeweka sheria na Wala sio sheria.

Kwa hiyo MUNGU kampa LUCIFER na Malaika wengine utashi,kawpa na amri ya kutoa heshima kwa Adam,baadhi wakati(walitumia utashi wao vizuri) alafu Lucifer na wenzake wakagoma mwisho wa siku yakawakuta yaliyowakuta.

Kwa hiyo Tatizo Ni la Lucifer kutumia utashi wake vibaya na sio MUNGU kumpa utashi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kujua utashi nn mungu alimba vitu vingi Sana katika dunia hii ila hakumba ndenge Wala meli au gari nk ila alimpa mwanadamu utashi au maarifa au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Lucifer mwanzo kabla ya Kuumbwa Adam alikuwa akimsifu na kumtumikia MUNGU vizuri?
Je hapo alikuwa na kasoro kwenye utashi wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kasoro inaangaliwa kile kibaya kilichofanywa. Kama hakuwa na kasoro asingepingana na Mungu. Angelikuwa ameumbwa kwa ukamilifu asingekuwa na uwezo wa kuasi. Mungu anaunda hardware na kisha yeye huyo huyo ndiye anaweka na operating system kwenye hiyo hiyo hardware aliyoiunda. Kama operating system ipo strong, haiwezekani kuingiwa na virus na kisha ikatenda kazi kinyume na ilivyopangwa.

Operating system ni sawa na huo utashi kwa binadamu. Mungu ndiye aliyepanga Lucifer afanye vile alivyofanya kwasababu hana uwezo kumzidi Mungu. Kwani Mungu hakujua wakati anamuumba lucifer kwamba kutokana na huu utashi niliyomwekea lucifer (jina la baada kuasi) mbeleni atafanya tukio fulani?

Kama alijua kwanini hakuchukua hatua ya kumwekea utashi usioweza kufanya hilo tukio baya mbeleni?

1.Mkuu ukiambiwa uchague Kati ya Simu feki na Simu original utachagua ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
God is imperfection that’s way ameumba ulimwengu na viumbe ambavyo ni imperfection pia.
Kama mungu angelikuwa mtimilifu basi haya maswali yasiyokuwa na majibu yasingekuwepo.
Mungu hajakamilika ndo mana uumbaji haujakamilika pia,rejea>shetani,majanga ya asili,dhambi.

iPhone 7plus
 
Kwani kwa unavyoelewa wewe ukamilifu ni nini?
 
Back
Top Bottom