pakichawena
New Member
- Sep 14, 2018
- 3
- 1
mungu na shetani ni (nafsi), hivyo bhasi hakuna yoyote atakaekuja kukuamulia maamuzi yako ya msingi yawe (mazuri/mabaya) ispokuwa wewe mwenyewe.Kwa hiyo dhambi haitokani na shetani? kwa hivyo mtu aweza kutenda DHAMBI bila ya shetani kuhusika?
na kumbuka, mwisho wa siku kila mtu atahukumiwa yeye kama yeye na si shetani kwa niaba ya mabaya yako.
