Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,902
Na kwenye Qur'an pia mkuu.Uko sawa!!
Sasa, Je, ni kwenye biblia pekee ndio kuna elimu ya kumjua Mungu!?
Vipi kuhusu Quran!?
Na kwenye Qur'an pia mkuu.Uko sawa!!
Sasa, Je, ni kwenye biblia pekee ndio kuna elimu ya kumjua Mungu!?
Vipi kuhusu Quran!?
Sasa kati ya Bible na Quran ipi ni sahihi!?Na kwenye Qur'an pia mkuu.



Dhambi ni subjective, hakuna alieumba dhambi ila taratibu/makubaliano yetu ndani ya jamii ndio yalizaa hizo tunazoziita dhambi na yale tunayaita matendo mema.
Binadamu ana utashi wake wa kuzaliwa na anapata nyongeza kwenye mazingira yake anavyokuwa. Ndo maana leo Uingereza Ushoga sio big deal tena na watu hawachukulii ni dhambi ila kuiba ni dhambi uingereza yote.
Italy kuoa wake wawili ni dhambi ila kunywa pombe sio dhambi, while Saudia ni vice-versa.
Hapa kwetu Tz kulala na ndugu yako ni dhambi kubwa kwa wachaga while Mbeya ni kitu cha kawaida tu.
Dhambi ni subjective una maanisha shetani hahusiki na dhambi?Dhambi ni subjective, hakuna alieumba dhambi ila taratibu/makubaliano yetu ndani ya jamii ndio yalizaa hizo tunazoziita dhambi na yale tunayaita matendo mema.
Binadamu ana utashi wake wa kuzaliwa na anapata nyongeza kwenye mazingira yake anavyokuwa. Ndo maana leo Uingereza Ushoga sio big deal tena na watu hawachukulii ni dhambi ila kuiba ni dhambi uingereza yote.
Italy kuoa wake wawili ni dhambi ila kunywa pombe sio dhambi, while Saudia ni vice-versa.
Hapa kwetu Tz kulala na ndugu yako ni dhambi kubwa kwa wachaga while Mbeya ni kitu cha kawaida tu.
Hausiki na hamna namna anahusika.Dhambi ni subjective una maanisha shetani hahusiki na dhambi?
Hausiki na hamna namna anahusika.
Ni wewe mwenyewe. Mazingira uliyopo ndo yana difine hii ni dhambi hii sio dhambi.
Kuamua kufanya kinyume na makubaliano/taratibu mlizojiwekea, au kufanya kile kitu umezaliwa na umekua ukijua sio sahii kukifanya. Hunafanywa na mtu mwemyewe.
Shetani anasingiziwa tu.
Hahahaaa!!Hausiki na hamna namna anahusika.
Ni wewe mwenyewe. Mazingira uliyopo ndo yana difine hii ni dhambi hii sio dhambi.
Kuamua kufanya kinyume na makubaliano/taratibu mlizojiwekea, au kufanya kile kitu umezaliwa na umekua ukijua sio sahii kukifanya. Hunafanywa na mtu mwemyewe.
Shetani anasingiziwa tu.


Shetani ni wewe mwenyewe.Je, shetani yupo? na kama yupo kaumbwa na nani? je kazi yake ni nini?
Sasa alitokea wapi?Kwani nani amesema Mungu kaumbwa hadi tumtafute aliyemuumba?
Una majibu ya kitoto kama umekunywa mkorogoNdiyo maana nilisema kwamba kitu chochote ambacho tukisema kimeumbwa basi lazima kuwe kuna muumbaji wa hicho kitu,na tulichokuwa tukijadili ni swali lako ulilouliza aliyemuumba Mungu? nikakwambia kuwa hakuna anayesema Mungu kaumbwa hivyo hatuwezi kumtafuta muumbaji wa kitu ambacho hakijaumbwa.
Na kuhusu Mungu ni kwamba yeye ndiye pekee muumbaji hakuna mwengine,kwa hivyo vyote vile ambavyo tutasema vimeumbwa basi muumbaji ni Mungu tu na si vinginevyo.
Kwahiyo si tu kwamba Mungu hajaumbwa bali yeye ndio pekee muumbaji.
Hiyo sasa ni mada nyengine pana sana mkuu,kama vp ifungulie uzi.Sasa kati ya Bible na Quran ipi ni sahihi!?
Maana maudhui ni tofauti japo Mungu ni yuleyule!!![]()
Kuja wapi au kwenda wapi?Sasa alitokea wapi?
Na watoto huwa hawaulizwi maswali ya watu wazima.Una majibu ya kitoto kama umekunywa mkorogo
Kuja wapi au kwenda wapi?
Hiyo sasa ni mada nyengine pana sana mkuu,kama vp ifungulie uzi.
Na kwann kifungu hicho kilijaribu kutumia maneno makali ili kuhalalisha uwepo wake???MPUMBAVU AMESEMA MOYONI MWAKE HAKUNA MUNGU
MDHALIMU KWA KIBURI CHA USO WAKE ASEMA HATAPATILIZA. JUMLA YA MAWAZO YAKE HAKUNA MUNGU
Mungu ni kila kitu ni mwanzo wa yote na mwisho wa yote. Kwa hata yale binadamu kwa utashi wake anayoyaona kuwa ni dhambi yameumbwa na mungu.Wakuu hamjambo!
Kama kichwa cha Uzi huu kinavyouliza, Mimi nikiri kuwa naamini uwepo wa Mungu mmoja aliyeumba vyote vinavyoonekana na visivyoonekana pia.
Katika vitabu mbali mbali vya dini, tunaelezwa kuwa dhambi ilitokana na uasi alioufanya shetani dhidi ya Mungu, biblia inaenda mbali kwa kudai kuwa vita vilipiganwa huko mbinguni na shetani alishindwa na akatupwa duniani akiwa na theluthi ya malaika wakawa upande wake.
Maswali:
1. Ikiwa kabla ya shetani kuasi hakukuwa na dhambi yoyote ile, tena alikuwa mbinguni kwenye utakatifu wa MUNGU, je shetani alishawishiwa au alitoa wapi mawazo ya uasi Ikiwa hakukuwa na shetani yeyote mwingine?
2. Kama MUNGU hujua mwanzo hata mwisho wa viumbe vyake, INA maana alikuwa anajua kuwa shetani atakuja kuasi baadae na kusababisha dhambi, kwanini alimuumba?
Jambo la kufikiria hapa ni kuona kwamba MUNGU alimuumba shetani/Lucifer ( dhambi) mahususi ili kuja kuwa upande maovu. Dhana hii inadhihirisha kuwa MUNGU ndie aliyeumba dhambi.
3. Je, lengo la MUNGU lilikuwa mwanadamu aishi milele bila kufa?
Hapa kuna mazoea yalishajengeka hasa kwa wakristo na waislamu kuamini kuwa isingekuwa Eva/Hawa kudanganywa na Shetani basi Leo hii wanadamu wasingekuwa wanakufa ( immortal). Hii dhana haina mantiki hasa ukiwaza kuwa wanadamu wangezaliana na kuishi milele bila kufa nadhani dunia ingekuwa imejaa mabara na visiwa vyote.
Hivyo MUNGU akaamua kuleta mauti ili kudhibiti ( control) idadi ya wanadamu duniani isizidi uwezo wa rasilimali zilizopo, fikiri Leo hii watu wanauwana kugombania ardhi je ingekuwaje akina Adam na bibi yetu Eva wangekuwepo wote?
4. Je, Dini ni matokeo ya mwanadamu kumhofia shetani?
Tunaishi katika jamii ambazo kila MTU ana juhudi za kujikwamua kuondokana na shida Kama magonjwa, njaa, vita, ambazo Mara nyingi wanadamu wanahesabu kuwa hayo yote ni sababu ya shetani, na dini wanaona ndio kimbilio ili kumkwepa shetani asiwadhuru.
Lakini wao wanaamini kuwa wanasali ili kumtukuza MUNGU, lakini kiukweli dini ni hofu ( fear of unknown) isiyo na ithibati yoyote.
5. Je, Mungu anawapenda wanadamu? Hapa jibu laweza kuwa ni ndiyo, bahati mbaya sana ukiangalia uhalisia toka zamani kuna ugumu wa kusema ndiyo au hapana.
Tunaambiwa kuwa mbinguni kulikuwa na vita Kali sana, mwaishowe malaika aitwaye Mikaeli alimshinda shetani, Mungu akamtupa ibilisi huyo huyo duniani kwa wanadamu anaowapenda sana. Mungu hakuona sehemu nyingine ya kulitupa hilo joka ila duniani ambako ndio wanadamu aliwaweka. Hii ni sawa na kuwarushia watoto wako furushi lenye nge wengi huku umewafungia chumbani na kuwataka wajikinge wasing'atwe hata kidogo.
Nimekuja kuamini kuwa: MUNGU yupo ila dini zote ni michezo ya kukamata fikra za wanadamu tu, inawezekana kabisa kuwa dini ziluletwa na shetani mwenyewe ili kuwachonganisha wanadamu wasiishi kwa upendo na amani.
Angalia jinsi Palestine na Israel, syria , Iraq n.k wanavyouana kwa misingi ya dini.
Niishie hapo, naomba waumini/maswahaba mje mtueleze hizi hoja.
Cc: Mshana Jr
Cc: Kiranga
Na wanajamvi wote karibuni.
Uwepo wako unathibitisha uwepo wa mungu.Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo na si hadithi zilizotungwa na watu tu?