Je, Mtanzania, una imani Bunge linaloendelea Dodoma?

Kupuuzwa ni aibu , maana yake ni kwamba hakuna anayelifuatilia na wala hiyo miswada yao haiungwi mkono na wananchi

Umefanya tathimini gani kujua haiungwi mkono na wananchi?
Maana toka zamani kwenu ninyi hata walipokuwamo wabunge wenu bado hamkuunga mkono
Sasa hao wananchi unaowasema ni wapi au wewe na group lako?
 
Inasemekana kwamba hata ambaye amenyimwa macho basi angalau anapewa uwezo wa kunusa na kupapasa, hanyimwi vyote.

Ukweli niliouona (maana macho ninayo) ni kwamba wananchi wengi wamelipuuza na kulidharau kabisa bunge jipya linaloendelea Mjini Dodoma, wadau hawana habari nalo wala hawataki hata kufuatilia yanayojiri, taarifa zinaonyesha kwamba namna wabunge hao walivyopatikana na namna uchaguzi wa 2020 ulivyoendeshwa ndio sababu kubwa ya wananchi kulipuuza bunge hili.

Hawaoni kama wabunge walioingizwa bungeni kwa mbeleko ya chuma huku wengine wakiingizwa ndani ya bunge bila kuwakilisha chama chochote cha siasa kama Katiba ya nchi inavyotaka, kuna mashaka mazito kama wabunge hawa wa kutengeneza maabara wanaweza kuhoji masuala ya msingi , kwa ujumla wananchi wameamua kujitenga na bunge hili japo juhudi za kulitangaza zimekuwa kubwa mno !

Nakulilia Tanzania .
Hiyo tathimini umeifanyia wapi? Kwa nini wewe unaangalia Bunge?
 
DOA JEUSI KATIKATI YA SHUKA JEUPE KWENYE UTAWALA WA JIWE ITABAKI KUWA HIVYO DAIMA DUMU
Nimekusoma na kuwaza..., kwani hawa wanajali historia au wanajali madaraka tu waliyonayo leo? Sioni kabisa katika hawa, na maana ya kusema 'hawa' ni huyo mmoja tu aliyeteka wengine wote akiwazia historia inamwona vipi.

Kwa hiyo hilo liondoe kabisa akilini mwako kuwa litakuwa linawasumbua kwa njia yoyote ile.

Ila ninakubaliana na wewe 'mia kwa mia', historia iandikwe bila kujali hawa wataiona vipi, ili vizazi na vizazi vijue kwamba Tanzania ilipitia kwenye giza nene katika muda wote watakaoamua hawa watu kubaki madarakani.

Mwisho. Sikubaliani nawe kamwe juu ya "kitambaa cheupe chenye doa jeusi," kwa nini isiwe 'kitambaa cheusi chenye DOA jeupe'?

Lakini nakumbuka pia enzi zile na wale walimu wangu wenye miandiko mizuri wakitumia chaki nyeupe au yenye rangi juu ya ubao mweusi!

Yangu ni hayo tu mkuu. Kijumla ninakubaliana nawe, na ikiwezekana, muda utakapowadia tuwe pamoja kuweka kampeni ya kufuta kabisa kumbukumbu za utawala huu katika historia ya nchi yetu.
 
Kwanza ukitaka kua na amani nchi hii achana na kufuatilia habari za nchi hii mana ukifuatilia unapanda hasira mno ishi kama mkimbizi potezea taarifa ya habari,potezea haya mambo ya kucheki bunge Fanya yako mtakutana kwenye Kodi kwasababu ni mkimbizi unalipa kiroho safi
Kabisa mkuu, tatizo hata ya kwetu huko yanatupa shida. Unalima mpunga kuuza shida, unalima nanasi hivo hivo. Biashara nayo, sasa nchi ina shida ya mafuta ya kula tukkimbilia huko sijui.
Homa ya mapafu huku nayo mh! Numonia khaaa!
 
Inasemekana kwamba hata ambaye amenyimwa macho basi angalau anapewa uwezo wa kunusa na kupapasa, hanyimwi vyote.

Ukweli niliouona (maana macho ninayo) ni kwamba wananchi wengi wamelipuuza na kulidharau kabisa bunge jipya linaloendelea Mjini Dodoma, wadau hawana habari nalo wala hawataki hata kufuatilia yanayojiri, taarifa zinaonyesha kwamba namna wabunge hao walivyopatikana na namna uchaguzi wa 2020 ulivyoendeshwa ndio sababu kubwa ya wananchi kulipuuza bunge hili.

Hawaoni kama wabunge walioingizwa bungeni kwa mbeleko ya chuma huku wengine wakiingizwa ndani ya bunge bila kuwakilisha chama chochote cha siasa kama Katiba ya nchi inavyotaka, kuna mashaka mazito kama wabunge hawa wa kutengeneza maabara wanaweza kuhoji masuala ya msingi , kwa ujumla wananchi wameamua kujitenga na bunge hili japo juhudi za kulitangaza zimekuwa kubwa mno !

Nakulilia Tanzania .
Hivi bunge limeanza?
 
Kuna mtu kasema hili sio bunge la JT bali kikao cha kamati maalum ya ccm.
Nashawishika kuamini kuwa hiki ni kikao cha ccm kweli.
 
Back
Top Bottom