Je, Mtanzania, una imani Bunge linaloendelea Dodoma?

Naona wote mliokosa ubunge mna steam out frustration zenu kwenye huu uzi kwa kuponda bunge!!!
 
Kwa sababu nimeona bunge live wakati Ester akimkaba koo waziri. kama hukuiona wewe, basi tafuta hapa yutyube uone mpambano.
Achana na viini macho hivyo kama wale maprofesa waliokua wanakuja shuleni wameweka panga kichwani limekata nusu kichwa anaonekana anatiririka damu achaweee
 
Kwanza ukitaka kua na amani nchi hii achana na kufuatilia habari za nchi hii mana ukifuatilia unapanda hasira mno ishi kama mkimbizi potezea taarifa ya habari,potezea haya mambo ya kucheki bunge Fanya yako mtakutana kwenye Kodi kwasababu ni mkimbizi unalipa kiroho safi
 
Yani bunge ndo kwanza limeanza Leo Ila wewe umeshafanya tathmini ya Tanzania mzima kujua ni watu wangapi wanalifatilia loh[emoji3166]
Ni Kama huwajui wa tz bado tupo kwenye ishu ya Corona hakuna ajabu lolote bungeni kwa sasa subiri kitu kitokee huko ndo utakua Kama linafatiliwa ama laaa
Mkuu hilo liko wazi wala huna haja ya kulipinga. Wabunge wenyewe hawajitambui kuwa ni Wabunge na wako Bungeni kufanya nn. Sasa sisi raia tuhangaike kuwafutilia kwa lipi??

Haijawahi kutokea eti Wabunge wanakwenda Bungeni kujadili namna ya kutekeleza ilani ya chama chao badala ya KERO za Wananchi. Sasa utawafuatilia ili ili iweje??

Hata wewe mwenyewe hapo ulipo huwajui Wabunge wote wa Mkoa wako. Tafauti na siku zilizopita. Ni wazi kuwa Bunge la Ndugai limepoteza mvuto.
 
Inasemekana kwamba hata ambaye amenyimwa macho basi angalau anapewa uwezo wa kunusa na kupapasa, hanyimwi vyote.

Ukweli niliouona (maana macho ninayo) ni kwamba wananchi wengi wamelipuuza na kulidharau kabisa bunge jipya linaloendelea Mjini Dodoma, wadau hawana habari nalo wala hawataki hata kufuatilia yanayojiri, taarifa zinaonyesha kwamba namna wabunge hao walivyopatikana na namna uchaguzi wa 2020 ulivyoendeshwa ndio sababu kubwa ya wananchi kulipuuza bunge hili.

Hawaoni kama wabunge walioingizwa bungeni kwa mbeleko ya chuma huku wengine wakiingizwa ndani ya bunge bila kuwakilisha chama chochote cha siasa kama Katiba ya nchi inavyotaka, kuna mashaka mazito kama wabunge hawa wa kutengeneza maabara wanaweza kuhoji masuala ya msingi , kwa ujumla wananchi wameamua kujitenga na bunge hili japo juhudi za kulitangaza zimekuwa kubwa mno !

Nakulilia Tanzania .
Bawacha watakuwa wana matatizo ya kuzaliwa sio kwa ghubu hili wanalo lionyesho keep it up
 
Inasemekana kwamba hata ambaye amenyimwa macho basi angalau anapewa uwezo wa kunusa na kupapasa, hanyimwi vyote.

Ukweli niliouona (maana macho ninayo) ni kwamba wananchi wengi wamelipuuza na kulidharau kabisa bunge jipya linaloendelea Mjini Dodoma, wadau hawana habari nalo wala hawataki hata kufuatilia yanayojiri, taarifa zinaonyesha kwamba namna wabunge hao walivyopatikana na namna uchaguzi wa 2020 ulivyoendeshwa ndio sababu kubwa ya wananchi kulipuuza bunge hili.

Hawaoni kama wabunge walioingizwa bungeni kwa mbeleko ya chuma huku wengine wakiingizwa ndani ya bunge bila kuwakilisha chama chochote cha siasa kama Katiba ya nchi inavyotaka, kuna mashaka mazito kama wabunge hawa wa kutengeneza maabara wanaweza kuhoji masuala ya msingi , kwa ujumla wananchi wameamua kujitenga na bunge hili japo juhudi za kulitangaza zimekuwa kubwa mno !

Nakulilia Tanzania .
Kisha wakisha lidhalau hilo bunge kunatokea hasara gani?
Au wakilisifia kunapatikana faida gani?
Naomba.majibu hayo mawili ili niendelee kuchangia.
 
Kupuuzwa ni aibu , maana yake ni kwamba hakuna anayelifuatilia na wala hiyo miswada yao haiungwi mkono na wananchi
 
Inasemekana kwamba hata ambaye amenyimwa macho basi angalau anapewa uwezo wa kunusa na kupapasa, hanyimwi vyote.

Ukweli niliouona (maana macho ninayo) ni kwamba wananchi wengi wamelipuuza na kulidharau kabisa bunge jipya linaloendelea Mjini Dodoma, wadau hawana habari nalo wala hawataki hata kufuatilia yanayojiri, taarifa zinaonyesha kwamba namna wabunge hao walivyopatikana na namna uchaguzi wa 2020 ulivyoendeshwa ndio sababu kubwa ya wananchi kulipuuza bunge hili.

Hawaoni kama wabunge walioingizwa bungeni kwa mbeleko ya chuma huku wengine wakiingizwa ndani ya bunge bila kuwakilisha chama chochote cha siasa kama Katiba ya nchi inavyotaka, kuna mashaka mazito kama wabunge hawa wa kutengeneza maabara wanaweza kuhoji masuala ya msingi , kwa ujumla wananchi wameamua kujitenga na bunge hili japo juhudi za kulitangaza zimekuwa kubwa mno !

Nakulilia Tanzania .
!!!!!!!!!!!!!!!!????????????/
 
Mkuu nakustahi sana,kinachoendelea Dodoma siyo Bunge bali mkutano wa CCM.
 
Kwani kuna bunge la nini! Limeanza lini Kwanza?
 
Back
Top Bottom