Je, Mtanzania, una imani Bunge linaloendelea Dodoma?

Je, Mtanzania, una imani Bunge linaloendelea Dodoma?

wewe ndo ulie puuza.sio wananchi wote acha uchonganishi.tatizo mentality mmezoe taarifa za kiuchonganiahi na fitina fitina za wale ndugu zetu wanaopenda kuzilazila bungeni...Sasa hiv huo ujinga haupo.usijali as time goes taratibuuu mtaanza ku gain sense.
Mataga karibu tena , ulikuwa wapi aisee ?
 
Hata mimi nilishangaa baada ya kuona habari kwenye page ya Azam tv juu ya hoja ya bodi ya mikopo bungeni. Nikabaki najiuliza,"kumbe bunge limeanza!"
 
Pale hakuna bunge zaidi ya majambazi tu yanayoiba kisheria.wale kina mdee wanakamua tu Kodi zetu...ni sawa na wafanyakazi wenye vyeti feki tu
 
Sio hivyo tu , hao wabunge wanaapa kuilinda katiba ya Jamhuri ya Tanzania lakini hapo hapo wanashindwa kuitetea katiba hiyo pale wanapokubali wajumbe wasiokuwa na chama kuwa wabunge kinyume na Katiba!!
Haahaa kuapa afrika alikwambia Nani? Afrika ni usanii tupu
 
Inasemekana kwamba hata ambaye amenyimwa macho basi angalau anapewa uwezo wa kunusa na kupapasa, hanyimwi vyote.

Ukweli niliouona (maana macho ninayo) ni kwamba wananchi wengi wamelipuuza na kulidharau kabisa bunge jipya linaloendelea Mjini Dodoma, wadau hawana habari nalo wala hawataki hata kufuatilia yanayojiri, taarifa zinaonyesha kwamba namna wabunge hao walivyopatikana na namna uchaguzi wa 2020 ulivyoendeshwa ndio sababu kubwa ya wananchi kulipuuza bunge hili.

Hawaoni kama wabunge walioingizwa bungeni kwa mbeleko ya chuma huku wengine wakiingizwa ndani ya bunge bila kuwakilisha chama chochote cha siasa kama Katiba ya nchi inavyotaka, kuna mashaka mazito kama wabunge hawa wa kutengeneza maabara wanaweza kuhoji masuala ya msingi , kwa ujumla wananchi wameamua kujitenga na bunge hili japo juhudi za kulitangaza zimekuwa kubwa mno !

Nakulilia Tanzania .

Nadhani CCM watajifunza umuhimu wa upinzani imara bungeni ,hivi walidhani wanamkomoa Mbowe,Sugu,Mnyika,Heche kwa kuwaondoa Bungeni? Sasa ngoja waone Bunge la Manyani lilivyo!! Sasa kibajaji atatoa hoja gani au Msukuma? Maana hoja zao ni mpaka wamsikilize lissu au mbowe au heche na wao ndio waje kudandia treni kwa mbele.
 
Inasemekana kwamba hata ambaye amenyimwa macho basi angalau anapewa uwezo wa kunusa na kupapasa, hanyimwi vyote.

Ukweli niliouona (maana macho ninayo) ni kwamba wananchi wengi wamelipuuza na kulidharau kabisa bunge jipya linaloendelea Mjini Dodoma, wadau hawana habari nalo wala hawataki hata kufuatilia yanayojiri, taarifa zinaonyesha kwamba namna wabunge hao walivyopatikana na namna uchaguzi wa 2020 ulivyoendeshwa ndio sababu kubwa ya wananchi kulipuuza bunge hili.

Hawaoni kama wabunge walioingizwa bungeni kwa mbeleko ya chuma huku wengine wakiingizwa ndani ya bunge bila kuwakilisha chama chochote cha siasa kama Katiba ya nchi inavyotaka, kuna mashaka mazito kama wabunge hawa wa kutengeneza maabara wanaweza kuhoji masuala ya msingi , kwa ujumla wananchi wameamua kujitenga na bunge hili japo juhudi za kulitangaza zimekuwa kubwa mno !

Nakulilia Tanzania .
Lile siyo bunge ni kikao cha ccm na CHACHANDU
 
Uwe na imani au la posho zinatolewa kama kawaidaa
 
Hao wamejikusanya Dodoma ktombana tu hakuna lingine
 
Tufuatilie ,tusifuatilie tunaoumia ni sisi wananchi maana wao hawalipi kodi na mishahara mikubwa...nimesikia kuna mbunge ameshatoa hoja Rais aongezewe muda.

Kiufupi hii ngoma tutaimba na kucheza sote.
 
Hata sikujua kama limeanza na sina mpango wa kutazama kwa miaka yote mitano.
 
Back
Top Bottom