kagamba kadogo
Senior Member
- Apr 24, 2011
- 178
- 13
inawezekana ndo maana baba yake hajishughulishi na kufufua reli ya kati, ili biashara ifanyike. Maana siku hizi, biashara za wakulu wa hano ni vituo vya mafuta na usafirishaji.
Hizo ni taarifa sahihi kabisa. Kuna data tunazikamilisha tutazimwaga humu wakati wowote kuonyesha ufisadi wa huyo dogo akishirikiana na baba yake. Stay tuned.
malori karibu mia mbili ya asas yanayokwenda congo na zambia ni ya ridwan akishirikiana na waarabu waitwao asas wa iringa
nawakilisha
hii nchi ni noma. HUYO NDO PRINCE MWANA WA MFALUME. NDO ISHU ZA KIUJANJA UJANJA HIZO.
ILA I HOPE IPO SIKU ISIYO KUWA NA JINA. KULE TUNISIA FAMILIA YA RAISI ALIYEONDOSWA MADARAKANI IMEHUKUMIWA MIAKA 30 KWA UFISADI. SO HATA HUKU IPO DAY
Hizo ni taarifa sahihi kabisa. Kuna data tunazikamilisha tutazimwaga humu wakati wowote kuonyesha ufisadi wa huyo dogo akishirikiana na baba yake. Stay tuned.
kuna mhaya mmoja kawachana live bungeni kuwa kila kiongozi anamiliki kampuni.
yaani nyerere akifufuka anakufa tena kwa bp.
kuna mhaya mmoja kawachana live bungeni kuwa kila kiongozi anamiliki kampuni.<br />
siyo siri.Huoni kila mmoja akisimama kuchangia lazima ku declare interest. Jengoni dodoma chaka la mabepari uchwara.
Hizo ni taarifa sahihi kabisa. Kuna data tunazikamilisha tutazimwaga humu wakati wowote kuonyesha ufisadi wa huyo dogo akishirikiana na baba yake. Stay tuned.
mkuu tukisema tusubiri hiyo siku wanazidi kutuharibia nchi yetu<br />
huyu kikwete na mtoto wake hawawezi kufanya mambo wanayotaka,hii ni nchi yetu wote,kuhusu malori tuna ushahidi wa kutosha