Mmiliki wa hospitali kanifukuza wodini kisa nilikula kitimoto na yeye ni muislam

Nshomile wa Muleba

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
2,165
5,551
Habarini wakuu?

Najua wengine watashangaa na wengine watabeza ila ni hali halisi, Ngoja nisimulie kisa kilivyonitokea juzi hapa jumatano ya wiki hii.

Mwanzoni mwa wiki hii nilikula likizo ya muda mfupi ya wiki moja na kupelekea kijana msomi kama mimi kupumzika home na kurekebisha baadhi ya mambo yangu binafsi.

Jumatano nilipigiwa simu na jamaa yangu wa karibu kuwa tutoke kupiga moja moto na moja baridi tukisindikizwa na kitimoto,nilikubaliana na wazo lake na kumwambia achague location yeye maana napokula mimi kitimoto wamefunga wanafanya marekebisho.

Fast foward baada ya kufika hyo pub(ndo mara ya kwanza nafika hapo) Jamaa yangu akaagiza kitimoto choma kilo 2 kivyake na mimi nkaagiza roast kilo 1 na ugali kidgo huku bia zinatembea kama kawa,Sijui yule mpishi alitumia kitu gani kwenye kumuunga yule kitimoto,mara baada ya kurudi home gafla tumbo likaanza kuniuuma na kunisokota sana hali iliyopelekea nikimbilie kituo cha afya binafsi.

KUMBE MMILIKI WA KILE KITUO NI MUISLAM TENA MFIA DINI NA NI DOKTA HAPO.

Kufika manesi wakanipokea na kuniwahisha kwenye wodi ya walio na emergency healthy issues maana wakati huo siwezi hata kusimama vizuri, Dokta huyo akaja chapu chapu na kuanza kuniuuliza kulikoni.

Mimi bila kujua nkamwambia “NIMEKULA KITIMOTO NA UGALI NKASHUSHIA BIA 4 NDO TUMBO LIKAAANZA KUNIUUMA” ( wakati namueleza hayo huyo dokta alikuwa kanishika begani huku anajaribu kunibinyabinya tumbo)

Mara Ghafla dokta akaruka futi 2 nyuma na kuniuuliza “Hayo mafuta mafuta mdomoni ni ya huyo mdudu?”

nikamjibu” ndiyo”

Akajibu “mtumeeeee”

Nikambiwa ninyanyuke haraka sana na niende kituo kingine na hawawezi kunihudumia kwa vyvyte sababu ya kuwa yeye ni muislam na ni mfungo wa ramadhan huku ananawa mikono na sabuni nyingi na kutokomea wodini.

Sikuamini ila nesi alipokuja na kuniambia “kaka we nenda tu maana hatuwez kukuhudumia kwasababu boss ni TAKBIIIIRRRR Na kashika dini vibaya mno”

Nikainuka na kwenda kituo kingine kwa kuchechemea na kuinamainama huku nkiwa na mawazo na maumivu juu ya kunyanyapaliwa.

Nilihudumiwa kituo kingine na nkapewa dawa za kuflash tumbo.Nimeharisha sana na sasa niko vizuri wakuu.

Ndugu waislam,
kama mna ubaguzi wa namna hii msiuingize kwenye huduma za jamiii.Hospitali ni ya wote na si vema kubaguana.

HII NCHI INAOONGOZWA KWA SHERIA NA SI SHARIA

6b646a74-3a72-430c-9e92-0167dc98c0ea.jpg
 
View attachment 2587559
acha uchafu. kunawa hayo mafuta mdomoni ilikuwa shingapi mpaka ushinbdwe kulipa ?
 
"Mwanzoni mwa wiki hii nilikula likizo ya muda mfupi ya wiki moja na kupelekea kijana msomi kama mimi
 
mtu mzima ukisema uwongo unakusaidia nini. We unasumbuliwa na aiina ya pepo mbaya sana, ni mzushi ambapo nia yako haijulikani. Mi mkristo lakini huu uzi ni uzushi, maelezo tu ukiyasoma vizuri ni uwongo. Watu wa aina hii ni hatari sana ktk Taifa letu tuwapuuze.
 
Shindweni mbona nyie mnakuja na hayo makanzu yenu , tunawahudumia namnanuka na mapyhumu yenu hadi mtu anazimia Leo nyie mnajiona eti mmefunga mxiuuu ubaguzi eti kashika dini
Kwahiyo kwa story ya mtu mmoja tu ambayo huna hakika kuwa ni ya kweli umeamua kukashifu dini nzima?
 
Back
Top Bottom