Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

hii nchi ni noma. HUYO NDO PRINCE MWANA WA MFALUME. NDO ISHU ZA KIUJANJA UJANJA HIZO.
ILA I HOPE IPO SIKU ISIYO KUWA NA JINA. KULE TUNISIA FAMILIA YA RAISI ALIYEONDOSWA MADARAKANI IMEHUKUMIWA MIAKA 30 KWA UFISADI. SO HATA HUKU IPO DAY
Huyu ni mfanyabishara na pia amewekeza nchini kihalali sio kama wengine waliochota na kuficha pesa ni ya nchi.
 
Inasemekana kila mwekezaji anayekuja kuwekeza hapaTanzagiza lazima lazima aingie ubia sio usoda na kigogo mmojawapo mkubwa ili apewe leseni ya kuendesha shughuli zake.
 
Mwacheni dogo apete na mzee wake hata ungekuwa wewe kiyongonzi ungejinufaisha wewe kwanza aliye pewa kapewa tu hao wote waliyopita pia nao wako vizuri
Mbona mwalimu JK1 hakujinufaisha hivyo? Huo ndio usanii tunaousema. Mkiingia mtakuwa na mikwara miingi kumbe mnawaondoa mliowakuta na kuwaweka wa kwenu ili mkianza kukwapua kusiwe na wa kuwauliza. Fanya ni mfanyayo lakini yuko yule ajuae idadi ya nywele za kila mmoja. Iko siku atawaumbua tu
 
Kuna taarifa kwamba Riz-one anamiliki vituo vya mafuta vya Lake oil. Anashirikiana na jamaa mmoja ambaye alikuwa bosi wake na waziri aliyeshindwa uchaguzi 2010.

Kumbe ndio maana jamaa wana jeuri ehhhh. Du hata JK ana tenda ya kusupply mafuta serikali ya Burundi ndo maana mama alikuja kumsalimia mshirika wa mumewe (nkurunziiza) hivi majuzi....

Swali na majibu yake. Binafsi numesikia hivyo hivyo.

Ni kosa kisheria kumiliki kituo cha Mafuta?
 
Back
Top Bottom