Je, Mawaziri nao hulipwa mishahara na posho za ubunge au wao wana mishahara tofauti?

Hebu tujadili hili - Je, ukiwa Waziri unakuwa unalipwa mishahara na marupurupu ya ubunge na kisha unaongezewa na ya Uwaziri au inakuwaje hapo?
Uliza kuna matabakamangapi ya wafanyakazi ndani ya serikali?

Je ile seria ya kuficha misahara na marurupu za enzi za msee mkapa imefutwa?
 
Hebu tujadili hili - Je, ukiwa Waziri unakuwa unalipwa mishahara na marupurupu ya ubunge na kisha unaongezewa na ya Uwaziri au inakuwaje hapo?
Waziri ni mbunge, mshahara wake ni wa ubunge, posho hawezi kupewa sawa na wabunge wawapo bungeni yeye atapata posho sawa na mtumishi wa serikali. Kwa mantiki hiyo, akiwa tu nje ya kituo cha kazi.
 
Waziri ni mbunge, mshahara wake ni wa ubunge, posho hawezi kupewa sawa na wabunge wawapo bungeni yeye atapata posho sawa na mtumishi wa serikali. Kwa mantiki hiyo, akiwa tu nje ya kituo cha kazi.
Du. Nitafanya kila namna niwe mbunge pia!
 
Mkuu hiyo ni siri siyo vizuri kutaja, sema ni nono zaidi ya mshahara wa Katibu Mkuu wa Wizara tofauti kama 3K
Cha ajabu,hatuoni la maana wanafanya isipokuwa kelele tuu,kampuni za maana wanazo watu wasio na kelele,nadhani kelele ya mwafrika huenda mungu haipendi kabisa
 
Mwaka jana ilikuwa 15m .
Yaani 7+8
Mwaka huu sijui maana hii miaka miwili watu wengi wameongezewa mishahara.
Over
 
Back
Top Bottom