Je, Mawaziri nao hulipwa mishahara na posho za ubunge au wao wana mishahara tofauti?

Umewahi kumsikia waziri anawashukuru wananchi? huwa wanashukuru MUNGU na aliyemteua. Over maana hawajiki kwako, angalia madudu ya Gwajima, Mwigulu, Jafo, Kabudi n.k lakini bado wapo ofisi mpk aliyewateua atakapo choka.
Huwa wanawashukuru bhana!
 
Siri? Kwani c wanalipwa kwa pesa ya umma? Lazima umma wajue pesa zao zinatumikaje
Umma wa Tanzania hawana shughuli na vitu hivyo! Ni watu wachache kama wanne tu ndiyo wanataka kujua! Ila wakitaka kuchokonoa vitu wanajiita umma! Halafu hao hao watasema ni kodi za umma, ambazo kwazo hazikidhi haja!
 
Sheria zinakataa mkuu mshahara ni siri kati ya mwajiri na mwajiriwa
Wachezaji tu mishahara binafsi wanatajwa sembuse pesa ya Umma maana mwajiri ni mwananchi sasa sisi tunawachagua hawa ila mishahara siri tena. Hawa wanalipwa pesa za umma na serikali ni watu nchi za wenzetu mishahara ya wanasiasa sio siri mishahara ya watumishi wa umma ni binafsi japo pia sio siri.
 
Huku ni tofauti ndiyo maana viongozi hawawajibiki kwa wananchi, katiba ya hovyo sn, kiongozi anaharibu anahamishwa au anapata promotion, eg Mganga hafai kuwa mtumishi wa umma maana umma hauna imani naye lakini kapata promotion badala ya demotion
 
lakini mimi sishangai maana viongozi wote wakiwa wanaapa wao wanaapa kutunza siri tu hilo kwao ndio muhimu hakuna uwazi wao naapa kutunza siri naapa kutunza siri mimi nadhani duniani ni sisi tu tunaapa kutunza siri. Ndoa tu hatuapi kutunza siri.
 
Umma wa Tanzania hawana shughuli na vitu hivyo! Ni watu wachache kama wanne tu ndiyo wanataka kujua! Ila wakitaka kuchokonoa vitu wanajiita umma! Halafu hao hao watasema ni kodi za umma, ambazo kwazo hazikidhi haja!
Kazi kweli kweli!
 
Huku ni tofauti ndiyo maana viongozi hawawajibiki kwa wananchi, katiba ya hovyo sn, kiongozi anaharibu anahamishwa au anapata promotion, eg Mganga hafai kuwa mtumishi wa umma maana umma hauna imani naye lakini kapata promotion badala ya demotion
Juzi nilikuwa nasikiliza waziri mkuu wa uingereza tu sijui alitumia pound alfu 15 kukarabati appartment tu wamemshukia aeleze nani kampa yaani wenzetu pesa ya umma sio yako hatari sisi kwa kweli bado tuna kazi sana kufikia level za uwajibikaji, Tutunze siri tu.....
 
Wachezaji tu mishahara binafsi wanatajwa sembuse pesa ya Umma maana mwajiri ni mwananchi sasa sisi tunawachagua hawa ila mishahara siri tena. Hawa wanalipwa pesa za umma na serikali ni watu nchi za wenzetu mishahara ya wanasiasa sio siri mishahara ya watumishi wa umma ni binafsi japo pia sio siri.
Kama mwajiri ni mwananchi, basi huyo mwananchi anajua mshahara wa mfanya kazi wake! Muulize huyo mwananchi atakwambia.
 
Juzi nilikuwa nasikiliza waziri mkuu wa uingereza tu sijui alitumia pound alfu 15 kukarabati appartment tu wamemshukia aeleze nani kampa yaani wenzetu pesa ya umma sio yako hatari sisi kwa kweli bado tuna kazi sana kufikia level za uwajibikaji, Tutunze siri tu.....
Sisi siasa inalipa kuliko hata mgondi wa Mirerani mkuu, unakuwa juu ya kila kitu, jambo likiharibika anawajibishwa mtendaji/mtalaamu likiwa zuri anasifia mwanasiasa
 
lakini mimi sishangai maana viongozi wote wakiwa wanaapa wao wanaapa kutunza siri tu hilo kwao ndio muhimu hakuna uwazi wao naapa kutunza siri naapa kutunza siri mimi nadhani duniani ni sisi tu tunaapa kutunza siri. Ndoa tu hatuapi kutunza siri.
Tuna mfumo wa hovyo sn
 
Back
Top Bottom