Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,742
- 287,650
Kabisa maana hawa ibada zao ni meditationBuddhist temple pale Upanga kiroho safi utaipata. Ile iloyopo pale katikati ya kituo cha fire na akiba
Kabisa maana hawa ibada zao ni meditationBuddhist temple pale Upanga kiroho safi utaipata. Ile iloyopo pale katikati ya kituo cha fire na akiba
Habari yako miss?
Nipe mbinuMkuu hii mada iko very interesting,natamani watu wajijue how they operate within..watu wengi wanajiambia kuwa mimi ndivyo nilivyo..mtu akiwa na mahasira anajiambia nmezaliwa hvyo.
Simply because they don't know their true nature ni ipi..hayo mengine yote unayaaccumulate wewe mwenyewe.
Bahati nzuri tunacho jadili ni njia sahihi ya kuachia takataka zote na kurudi kwenye uhalisia wetu kama being.. automatic unakuwa na Consciousness ya hali ya juu pamoja na compation kubwa
Nadhani unajaribu kuvuta kama wavutavyo wazoefu, yaani kiuoga ogaaa!Nimevuta ile yenyewe haswaa, kama unabisha lete hiyo unayosema kali uone
Inakuwaje hii?Mimi huwa natumia za kusikiliza..hata hapa nikiamua nafunga milango naanza shughuli..na Astral zangu nikirudi mwepesi.
Huu ni ulaghai,wewe na anayejiita dokta mnawaghilibu watuKuna procedure za kufuata, hata dosage yake sio fixed
Unaingizwa kwenye janga baya zaidi ya cocaineHili somo kubwa sana, ngoja tuutafute sasa.
Je ni kweli baadae ulihisi hao ndiyo wahusika au ilikuwa uhuni tu wa dawa za hallucination?Kuna kipindi flani zamani kidogo about 18 yrs back,wezi walikuja usiku kwangu wakafanikiwa kufungua mlango wa gari,ikavutwa mpaka karibu na geti wakakomba kila walichoweza,niliposhtuka ndio wanamalizia na wakakimbia.Nilipanic sana nika mjulisha jamaa yangu mmoja hivi akaniambia tuonane jioni,kuna mtaalamu kuna vitu anafanya utawajua walioiba.Tulipokuwa kwa huyo mtaalamu tukiwa kwenye chumba alinipa maji flani nikanywa,akaniambia niangalie kwenye ukuta ambao ni mweupe nisigeuke kulia wala kushoto,ilinichukua kama saa nzima nikaanza kuona kwenye ule ukuta watu jinsi wanavyokuja na gari kutokea mjini mpaka wakafika nyumbani,walikuja na Hiace yao,wakapakia vile walivyoiba na kuondoka,mtu ambaye nilimuona na kumfahamu alikuwa ni rafiki yangu ambaye tulikuwa karibu sana na tunafanya naye ofisi moja,pia mdada mwengine ambaye pia tulikuwa naye ofisi moja.Sikutaka kuamini kabisa kuwa ndio wao waliohusika,kwahiyo nikaondoka pale bila kuamini kuwa nilichokiona ndio kilikuwa uhalisia,Ila baada ya kutoka pale nilisumbuliwa sana na kizunguzungu kilichokaa kwa takribani masaa 6 then nikarudi normal.Nimeandika hii story ninajaribu kuona kuwa inawezekana nilichopewa ikawa ni hiyo Magic mashroom bila ya kujua,kwakua ilikuwa ni kama ninaye angalia movie flani hivi....
Hindu templeBuddhist temple pale Upanga kiroho safi utaipata. Ile iloyopo pale katikati ya kituo cha fire na akiba
Thanks for correction palHindu temple
Mungu azidi kukufunulia yaliyo sirini, amen.
Amini usiamini leo ndio naisikia hii kitu!.Mkuu Pascal Mayalla tuongezee nyama please
Ingia chimbo mkuu,urudi na Mchanganuo.Amini usiamini leo ndio naisikia hii kitu!.
P
NotedBuddhist temple pale Upanga kiroho safi utaipata. Ile iloyopo pale katikati ya kituo cha fire na akiba
PoaHabari yako miss?
Sawa Mkuu,ntaandaa mada siku moja. Tatizo lipo kwenye kuandaa mtiririko wake ili uweze kueleweka.Mbona nimependa si ukipata muda utufundishe mada nzuri sanaaa
Huitwa Psychedelic Drugs..
Hutumika kuua Ego (Our false Identity) ambayo umeitengeneza kupitia mind since ukiwa mdogo mpaka hapo ulipo...na inakuonyesha the real you..
Jukumu lako ni ku handle hyo path ambayo ni ngumu mnoo huitwa THE DARK NIGHT OF THE SOUL. ukimaliza hyo safari unakuwa mpya kabisa mwenye Consciousness ya hali ya juu mnoo..