Jambo dogo ila mtalifanya lionekane kubwa kisa lugha za watu, kifupo hizo ni vitu za kawaida ambazo ukizitumia utajisikia kuchanganyikiwa maana zina athari za moja kwa moja kwenye ubongo. Kifupi ni kama bange iliyokolea au kama mtu unapata ajari na unachanganyikiwa na kuanza ongea pekeako kisa ubongo umepata hitilafu basi na hizo miyoga ufanya utendaji wa ubongo kuathirika maana huenda kuathiri chemical muhimu za ubongo kufanya kazi kwa mtindo wake wa kawaida.
Sema ubaya nikuw vitu kama hivi vipo, ila vinafichwa ili watu wasivijue kabisa kwajili ya manufaa ya wachache kuendelea kutawala dunia.