Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
1,996
5,054
Hello bosses...

Mada za kikubwa watoto wakiwa wamelala

Kuna mzigo unaiitwa magic mushrooms au tuziite shrooms, zinatumiwa kwa mambo ya kiroho na kujiliwaza pia. Ni kama weed kwa baadhi ya watu.

Kwa wale wanaofanya deep meditation pia baadhi wanazitumia kufanya tripping(huko unaweza kutana na wewe mwenyewe, au ukaona vitu fln vya kushangaza ulivopitia anyway sio story ya leo hii).

Je hapa Tanzania zinaruhusiwa? Na zinapatikana wapi kama zinaruhusiwa?
 
Achaneni nao nusu huwa wanakuwa machizi
Sio kweli

Inategemea na uwezo wako wa kuhandle hio kitu, ni kama pombe au weed, kuna watu wanatumia wanakaa vzr lkn kuna watu inawapelekesha, ni kwamba tu hii ni next level stuff, kama kichwa chepesi huwezi handle huo mziki wake, na ndo maana unashauriwa uwe chumba peke yako na ukae hata masaa nane sababu inachukua muda saana kumaliza kazi
 
Hii ipo njombe ,kule kifanya wanaitumia wachawi wanajua cha kufanyia ni mrorongo ,ukijaribu huwa inaharibu uwezo wako wa uhalisia njano unaona blue, ndoo unaona mbwa ,afu unaweza anza lia msiba wa mwaka juzi kama umeambiwa leo ,wengine wakila wanajificha vichakani ,na stimu yake inachukua muda ila nusu wanakuwa machizi full
 
Hii inakuonesha mambo usiyoyaona kwa macho ya kawaida na ndo maana wanaoitumia hovyo bila kujiandaa wanaona mambo yanayowachizisha.

Kuna kitu kwenye meditation kinaitwa 'tripping', hii ni kama ibada kabisa na huwa inafanyika mostly mara 2 au 3 kwa mwaka, moja ya ingredient zinazotumika kukuwezesha kutrip ni hio kitu, lkn kabla ya hapo inabidi uwe na maandalizi ya kutosha sababu unaweza kuona usioyatarajia
 
Please please.....

Try at your own risk.
Mkuu nimefanya sana meditation nimekaribia mpaka astral projection kisha nikaacha

Sasa nataka kujaribu na hii maana kuna baadhi ya mambo siyaelewi elewi

Pia naomba unieleweshe kiundani zaidi inavyofanya kazi namna ya kuitumia na utaona nini baada ya kuitumia

Maana nimetumia mpaka bhangi ila sioni maajabu yoyote
 
Back
Top Bottom