Je, Mafia Kisiwani kuna barabara za lami?

Ni wilayani tu, usitake pachangamke kama jijini mzee. Ila pia hapajapoa kama vijijini, pamechanganya kama zilivyo wilaya zingine, night club zipo bar zipo hata madada poa wapo wanatoa huduma kwa buku tano tu, uwe timamu au chizi ukiwa na buku tano unapewa misamba ya kufa ntu
Duh mafia imefika hapo nimeishi mafia miaka 90 Mambo hayo hayakuwepo kabisa
 
Ni kweli ila miaka 10 mbele itakuja kuzipita na kuongoza kimkoa maana inakua na ina fursa mhimu kama kilimo, madini na biashara weengoja miundombinu ikae sawa na uinganishwe na moro kwa barabara kisha uone inavyopaa

Yawezekana mkuu!!
fursa zinafunguliwa na miundo mbinu
 
Back
Top Bottom