Je, Mafia Kisiwani kuna barabara za lami?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,090
2,710
IMG_4457.jpg

Mliofika Mafia. Mafia machoni pa watanzania wengi bado ni giza. Hata mtu ukimwambia ataje wilaya za Pwani angalabu sana kutaja Mafia!!

Kwa hali hii imenipasa kuuliza kama hata lami ipo???

Hutakaa usikie
Msanii
mchezaji
Mtu maarufu
Au chochote kutoka kisiwa hiki shida nn??
au ni kijiji sana

Pia unaweza pitia

Kwanini Mafia isiwe mkoa wa 32 wa Tanzania?
Kwanini Mafia isiwe mkoa wa 32 wa Tanzania?

APPRECIATION PIA KWA NYUZI HIZI
Wananchi wa Mafia tunahitaji usafiri wa uhakika na bei nafuu

Utajiri wa Magofu ya Rapta
Kisiwa cha Mafia, kwanini hatuambiwi historia ya ukweli?
Maajabu ya Kisiwa cha Jibondo
Je Kisiwani Mafia kuna viwanja vya michezo?

Mafia Kisiwani viwanja vinauzwaje?
Mafia Kisiwani viwanja vinauzwaje?

NOTABLE MEMBERS
[mention]jay-millions [/mention]
[mention]emmarki [/mention]
[mention]Faana [/mention]
 
Mkoa wa Pwani ni Mkubwa sana.

Imagine Mafia nako ni Pwani

Pwani inapakana na Dar kupitia wilaya za Bagamoyo, Kibaha, Kisarawe, Mkuranga, Lindi kupitia Rufiji, Morogoro kupitia Kisarawe, Halmashauri ya Chalinze, Rufiji, Tanga kupitia Halmashauri ya Chalinze na bado huko Kisiwani Mafia
 
kwaiyo mafia kuna lami au hakuna
 
Mliofika Mafia. Mafia machoni pa watanzania wengi bado ni giza. Hata mtu ukimwambia ataje wilaya za Pwani angalabu sana kutaja Mafia!...
Lami ipo airport tu, tena imewekwa majuzi, mwanzoni kulikuwa na kipande kidogo cha kama mita za mraba 25 hivi kwenye egesho la ndege, mwaka 2011 nilishuhudia Mwalimu mmoja amepeleka wanafunzi hapo kuwaonesha lami ilivyo
 
Lami ipo airport tu, tena imewekwa majuzi, mwanzoni kulikuwa na kipande kidogo cha kama mita za mraba 25 hivi kwenye egesho la ndege, mwaka 2011 nilishuhudia Mwalimu mmoja amepeleka wanafunzi hapo kuwaonyesha lami ilivyo
Lami ipo kuanzia bandarini mpaka utende kwenye mahoteli ya watalii, ilijengwa kwa msaada wa wamarekani lakini pia lami za mitaani zinajengwa sasa na halmashauri punguza kushangaa halmashauri nyingi hazina lami za mitaa kama huko liwale, kilwa, karagwe, kakonko nk
 
Hongereni kwa advancement, vipi usafiri meli zipo au bado ni lile dude la Msimbati
 
Lami ipo kuanzia bandarini mpaka utende kwenye mahoteli ya watalii, ilijengwa kwa msaada wa wamarekani lakini pia lami za mitaani zinajengwa sasa na halmashauri punguza kushangaa halmashauri nyingi hazina lami za mitaa kama huko liwale, kilwa, karagwe, kakonko nk

Mkuu Kilwa na Liwale umefika lini??
Kilwa lami kila mahali Kivinje masoko lami tupu hadi mitaani sijui Kilwa ipi waongelea

Liwale kuna lami pia ila haiunganishi wilaya kama Kilwa na Ruangwa au Nachingwea.
 
Back
Top Bottom