getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,824
Eid mubaraka ndugu zangu waislam, Mola awajalie heri na hongereni kwa kumaliza mfungo wa Ramadhani,
Swali langu ni kuhusu kisiwa cha Mafia, je kuna viwanja vya Michezo? hususani Mpira wa miguu? Kwa umri nilio nao sikumbuki kusikia kuna timu ama Mchezaji mahiri wa mpira wa Miguu aliyewahi tokea kisiwa hiki,
Maisha ya Mafia sidhani kama yanataofautiana sana na Zanzibar lakini tumesikia wachezaji wengi wakitokea Unguja tangu miaka hiyo, Akina Choro,na wwngineo je vipi kuhusu Mafia?
Je kuna timu inashiriki ligi yoyote?
Nawasilisha mwenye jibu naomba msaada kuongeza uelewa, ninajua kule mafia kuna Jibondo,Bwejuu,Juani na nk.