Chama mfu kinazikwa October!Kuwa makamu mwenyekiti ana nguvu kubwa ndani ya chama kuliko ubunge
Chama mfu kinazikwa October!Kuwa makamu mwenyekiti ana nguvu kubwa ndani ya chama kuliko ubunge
Mungu akuhurumie sana wewe mpiga filimbi wa mfalme wa Ujuhani.Huna namna, maana pasipo hicho ukifanyacho familia haiwezi kwenda chooni.Najua hupendi kujitoa ufahamu, lakini imekulazimu.Najua wakati wa mfalme mwingine,hautokuwa wewe tena wa leo hii.We unayetukana inaonyesha unavyoteseka. Ila biggest loser ni Tundu Lissu aliyedhani anafanya usanii wa kushambuliwa kwa risasi na asiumie badala yake wale aliopanga nao wakabadilisha gia angani wakataka kumuua. Alipo Lissu hawezi kuusema ukweli kuwa alipanga hiyo movie na japo aliopanga nao na wakataka kummaliza hawezi kuwataja wala kuwafanya maadui inabidi aendelee kushirikiana nao japo moyoni anajua walitaka roho yake. What a shame!!








Chama mfu kinazikwa October!
Mungu akuhurumie sana wewe mpiga filimbi wa mfalme wa Ujuhani.Huna namna, maana pasipo hicho ukifanyacho familia haiwezi kwenda chooni.Najua hupendi kujitoa ufahamu, lakini imekulazimu.Najua wakati wa mfalme mwingine,hautokuwa wewe tena wa leo hii.
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Mungu akuhurumie sana wewe mpiga filimbi wa mfalme wa Ujuhani.Huna namna, maana pasipo hicho ukifanyacho familia haiwezi kwenda chooni.Najua hupendi kujitoa ufahamu, lakini imekulazimu.Najua wakati wa mfalme mwingine,hautokuwa wewe tena wa leo hii.
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Na yale magari mabus aliyopewa Lissu huko Ubelgiji yameshawasili au ilikuwa photoshop?Utazikwa wewe na utaiwacha cdm inazidi kupaa kama hiviView attachment 1330030
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyetekeleza movie hiyo anaye huko Ubeligiji ie dreva wake. Hawezi kurudi Tz maana tutamkamata na kumfikisha mahakamani akataje washirika wa hiyo movie. Washirika wanagharamia kukaa kwake ubeligiji. Unapaswa kuelewa haya by connecting the dots. It is a very simple logic. Why do you think the driver is still in Belgium? Who is paying for his upkeep there and for what reason?Vizuri kumbe Kuna watu walipanga! Tusaidie kujua walipo Kisha wakamatwe washitakiwe ...kama Ni blaablaa acha mara moja utasokomezwa hadharani chupa Za cocacola
Sent using Jamii Forums mobile app
Simon Sirro, Bashite na Mambosasa wote wanajua walichofanya.Vizuri kumbe Kuna watu walipanga! Tusaidie kujua walipo Kisha wakamatwe washitakiwe ...kama Ni blaablaa acha mara moja utasokomezwa hadharani chupa Za cocacola
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda ka connect uharo wako huko Lumumba, acha kuandika usiyoyajuwa hapa.Aliyetekeleza movie hiyo anaye huko Ubeligiji ie dreva wake. Hawezi kurudi Tz maana tutamkamata na kumfikisha mahakamani akataje washirika wa hiyo movie. Washirika wanagharamia kukaa kwake ubeligiji. Unapaswa kuelewa haya by connecting the dots.
Haya wewe unayeyajua, tuambie kwa nini dreva wake bado yuko Ubeligiji? Anafanya nini huko na ni nani analipia gharama za kuishi kwake huko? Kwa nini kaacha mke na watoto wake tanzania? Wanajua akirudi Tz atawataja wote walioshiriki katika tukio hilo la kigaidi.Nenda ka connect uharo wako huko Lumumba, acha kuandika usiyoyajuwa hapa.
Unaweza na wewe ukatuambia kwa nini Mama yako mzazi anampelekea chakula na kumgulia nguo yule jirani yenu nyumba ya 2 wakati baba yako hayuko.Haya wewe unayeyajua, tuambie kwa nini dreva wake bado yuko Ubeligiji? Anafanya nini huko na ni nani analipia gharama za kuishi kwake huko? Kwa nini kaacha mke na watoto wake tanzania? Wanajua akirudi Tz atawataja wote walioshiriki katika tukio hilo la kigaidi.
Relatively, yes.Kuwa makamu mwenyekiti ana nguvu kubwa ndani ya chama kuliko ubunge
Dah, hata wewe?!Unaweza na wewe ukatuambia kwa nini Mama yako mzazi anampelekea chakula na kumgulia nguo yule jirani yenu nyumba ya 2 wakati baba yako hayuko.
Kwani pamebakia wapi?Haijalishi atakuja tu, au umejiandaa tena kumalizia palipo bakia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani pamebakia wapi?
Haya wewe unayeyajua, tuambie kwa nini dreva wake bado yuko Ubeligiji? Anafanya nini huko na ni nani analipia gharama za kuishi kwake huko? Kwa nini kaacha mke na watoto wake tanzania? Wanajua akirudi Tz atawataja wote walioshiriki katika tukio hilo la kigaidi.
Aliyetekeleza movie hiyo anaye huko Ubeligiji ie dreva wake. Hawezi kurudi Tz maana tutamkamata na kumfikisha mahakamani akataje washirika wa hiyo movie. Washirika wanagharamia kukaa kwake ubeligiji. Unapaswa kuelewa haya by connecting the dots. It is a very simple logic. Why do you think the driver is still in Belgium? Who is paying for his upkeep there and for what reason?
Na yale magari mabus aliyopewa Lissu huko Ubelgiji yameshawasili au ilikuwa photoshop?
Mungu akuhurumie sana wewe mpiga filimbi wa mfalme wa Ujuhani.Huna namna, maana pasipo hicho ukifanyacho familia haiwezi kwenda chooni.Najua hupendi kujitoa ufahamu, lakini imekulazimu.Najua wakati wa mfalme mwingine,hautokuwa wewe tena wa leo hii.
Sent from my TA-1024 using Tapatalk