Highest stage of capitalism ni mechantalism.
Je highest stage of stupidnism?
Sent using Jamii Forums mobile app
Argue, don't shout
Highest stage of capitalism ni mechantalism.
Je highest stage of stupidnism?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vizuri kumbe Kuna watu walipanga! Tusaidie kujua walipo Kisha wakamatwe washitakiwe ...kama Ni blaablaa acha mara moja utasokomezwa hadharani chupa Za cocacola
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe zezeta jibu swali moja tu.pale pana ulinzi nani alitoa amri ya wasiwepo mda ule?.maelezo ya kishetani mengi yanakutoka ndiyo ukome kushiriki Dhambi za watu wengine na kwa MUNGU lazima udaiwe damu za watu ulizoshiriki kuuwa ili kufurahisha vimungu visivyo na uwezo hata wa kuumba nyasi.huu utunzi wako mwadisie zezeta atakuelewa.Tundu Lissu knows the whole drama. Wapi ulimwona mwanasheria aliyebobea anaita waandishi wa habari kuwatangazia yuko hatarini watu wanamfuata fuata? Tena alifanya hivyo mara 2. Hata mtu asiyefahamu sana sheria anajua anatakiwa aende polisi ajieleze aulizwe maswali na baadaye asaini statement na kupewa RB. Lakini Lissu aliende kwa watu ambao hawatamuuliza maswali na hataandika statement ambayo itatumika kwenye hilo shauri. Halafu kama hutaki kujitoa ufahamu kumbuka kuna wakati IGP Sirro alitamka atatuma polisi wake kwenda Nairobi kuwahoji Lissu na dereva. Je unakumbuka mtu wa kwanza ku-respond alikuwa nani?? Kama umesahau alikuwa Tundu Lissu na alisema kuwa polisi wa TZ hawawezi kumhoji akiwa Kenya bila kupata kibali cha DPP wa Kenya. Kitu gani kilimfanya Lissu adhani kuwa Sirro alikuwa hajui taratibu??? Sio dalili za kutotaka kuhojiwa? Na baada ya Sirro kutamka vile ebu jikumbushe ilichukua siku ngapi Lissu na dereva wake walihama Kenya na kwenda Belgium. My friend, usikubali kujivua ufahamu kirahisi hivyo.
kwa hiyo unataka kusema alingoa camera .kisha akatengeneza watu wa kumpiga risasiTundu Lissu knows the whole drama. Wapi ulimwona mwanasheria aliyebobea anaita waandishi wa habari kuwatangazia yuko hatarini watu wanamfuata fuata? Tena alifanya hivyo mara 2. Hata mtu asiyefahamu sana sheria anajua anatakiwa aende polisi ajieleze aulizwe maswali na baadaye asaini statement na kupewa RB. Lakini Lissu aliende kwa watu ambao hawatamuuliza maswali na hataandika statement ambayo itatumika kwenye hilo shauri. Halafu kama hutaki kujitoa ufahamu kumbuka kuna wakati IGP Sirro alitamka atatuma polisi wake kwenda Nairobi kuwahoji Lissu na dereva. Je unakumbuka mtu wa kwanza ku-respond alikuwa nani?? Kama umesahau alikuwa Tundu Lissu na alisema kuwa polisi wa TZ hawawezi kumhoji akiwa Kenya bila kupata kibali cha DPP wa Kenya. Kitu gani kilimfanya Lissu adhani kuwa Sirro alikuwa hajui taratibu??? Sio dalili za kutotaka kuhojiwa? Na baada ya Sirro kutamka vile ebu jikumbushe ilichukua siku ngapi Lissu na dereva wake walihama Kenya na kwenda Belgium. My friend, usikubali kujivua ufahamu kirahisi hivyo.
kwa hiyo unataka kusema alingoa camera .kisha akatengeneza watu wa kumpiga risasi
Kwa nn hiyo footprint isioneshwe hadharani tusaidie pia wananch.HAKUNA KAMERA YOYOTE ILIYONG'OLEWA. HIZI NI NGONJERA ZA WAKATI ULE NA KAMWE HAWADHUBUTU KUZIRUDIA KWA SABABU WANAJUA UCHUNGUZI YPO TENA SANA WANASUBIRI WAHUSIKA WARUDI TZ MAMBO YA KIMAHAKAMA YAANZE
Wewe zezeta jibu swali moja tu.pale pana ulinzi nani alitoa amri ya wasiwepo mda ule?.maelezo ya kishetani mengi yanakutoka ndiyo ukome kushiriki Dhambi za watu wengine na kwa MUNGU lazima udaiwe damu za watu ulizoshiriki kuuwa ili kufurahisha vimungu visivyo na uwezo hata wa kuumba nyasi.huu utunzi wako mwadisie zezeta atakuelewa.
Kwa nn hiyo footprint isioneshwe hadharani tusaidie pia wananch.
Muogope mungu.aliemteka moo ,anaelea mambo ya muragi,bensaane itakuwa ni mipango ya kiki ya CHADEMAHiyo dozi ya matusi bado haifikii uwezo wako kwa sababu unalipwa kwa kumwaga matusi kama ulivyosomea. Hizi ngonjera za mara walinzi waliondolewa, mara CCTV ziling'olewa ni makelele tu ya kutunga.
Unaamini watanzania wako salama kama enzi za kikwete ,unaamini wanatekwa na wapenzi wao?kaka mshahara kula ila usishiriki dhambi watalipia wanao biblia imetuahidiUchunguzi wa kesi za jinai sio ligi ya mpira wa mguu unasema dakika ya ngapi tumefikia wapi n.k. Mambo yote yatawekwa wazi mahakamani na ndio maana watu wanatafuta kila sababu ya kutorudi nchini. Mara anatibiwa kisaikolojia, mara anatafutiwa shule asome certificate baadaye diploma and then degree. Hivi mtu ambaye hajajiondoa ufahamu kweli haoni hii fix ya sababu za kutokuja nchini kwake?
Ujajibu swali? Kwanini walinzi waliondolewa?.Hiyo dozi ya matusi bado haifikii uwezo wako kwa sababu unalipwa kwa kumwaga matusi kama ulivyosomea. Hizi ngonjera za mara walinzi waliondolewa, mara CCTV ziling'olewa ni makelele tu ya kutunga.
Ujajibu swali? Kwanini walinzi waliondolewa?.
Unaamini watanzania wako salama kama enzi za kikwete ,unaamini wanatekwa na wapenzi wao?kaka mshahara kula ila usishiriki dhambi watalipia wanao biblia imetuahidi
Muogope mungu.aliemteka moo ,anaelea mambo ya muragi,bensaane itakuwa ni mipango ya kiki ya CHADEMA
Hawapo walinzi pale?. Ndugu unajipa kazi ngumu sana kuficha hii dhambi huwezi maana hata shetani aliyewaongoza kuitenda kashaifichua. Pole sanaHAKUNA MLINZI ALIYEONDOLEWA. USIKUBALI POROJO MY FRIEND
Acha kurukaruka jibu hojaSidhani kama huu uzi kuna sehemu umezungumzia bus, nakushauri kama unataka basi yafungulie uzi wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimya ni silaha dada.HAKUNA KAMERA YOYOTE ILIYONG'OLEWA. HIZI NI NGONJERA ZA WAKATI ULE NA KAMWE HAWADHUBUTU KUZIRUDIA KWA SABABU WANAJUA UCHUNGUZI YPO TENA SANA WANASUBIRI WAHUSIKA WARUDI TZ MAMBO YA KIMAHAKAMA YAANZE
Sometimes, speaking and talking are inseparable terms.Our conditions really justify who we are even though we don't like to disclose the purposes.Now you are talking. Precisely you are describing yourself. Keep on
The way unavyonijibu ni kama mimi nakusihi uwe na huruma ,kisha wewe unaniambia ukiomba kwa adabu naweza kukusaidia kuwa huru na kuishi bila wasiwas,I say f@$k .SASA UMEACHA MATUSI. SAFI SANA. SOMO LINAANZA KUINGIA