Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

Unadhani ni kitabu cha mchezo mtu atume hovyo au unadhani juha kama wewe ukipewa utaweza soma? Qur'an na kitakatifu ili ukishike inabidi uwe msafi wa mwili na roho usifananishe qur'an na vitabu vya riwaya vilivyo tungwa na walevi kwa maslahi yao yakupasa ukiheshimu si kitabu kama vitabu vingine ni kitabu cha muongozo
Nipo na Li-Qur'an hapa home nikuambie nalifanyia Nini baada ya kulisoma?
 
Haina ubishi, wakristo wote huamini Jerusalem ndio mji muhimu kuliko yote katika imani yao na ni mji mtakatifu sana. Kila mkristo hutamani kufika huko kuhiji na kuyatembelea matukufu ya Mungu yenye utajiri wa maisha ya Kristo Yesu.

Waislamu pia wote, huamini kuwa Makka ni mahali patakatifu na ni moja ya nguzo tano za muislamu halisi kufika huko walau mara moja kuhiji. Mamilioni hufika huko kila mwaka.

Tujiulize, kwa nini mji wa Jerusalem una mavurugu makubwa kuliko mji wa Makka? Je, waislam ni wastaarabu kuliko wakristo? Je, wakristo wameshindwa kuulinda mji wa Jerusalemu?

Pia ni kwa nini Makka haugombewi na wakristo, ila waislamu hugombea tena kisheria mji wa Yerusalemu ulio na matakatifu ya wakristo?
Kiufupi yerusalem inayozungumziwa kwenye biblia sio hiyobl unayozungumzia wewe. Pia ukiona watu wanagombania kitu ujue kina faida
 
naona watu mnagombania din za watu duh miafrika mizwazwa ndo mana wanatuita wanyama
 
Islams wanajipendekeza sana ili wabomoe kumbukumbu za yesu.

Lkn hauwahusu
 
Haina ubishi, wakristo wote huamini Jerusalem ndio mji muhimu kuliko yote katika imani yao na ni mji mtakatifu sana. Kila mkristo hutamani kufika huko kuhiji na kuyatembelea matukufu ya Mungu yenye utajiri wa maisha ya Kristo Yesu.

Waislamu pia wote, huamini kuwa Makka ni mahali patakatifu na ni moja ya nguzo tano za muislamu halisi kufika huko walau mara moja kuhiji. Mamilioni hufika huko kila mwaka.

Tujiulize, kwa nini mji wa Jerusalem una mavurugu makubwa kuliko mji wa Makka? Je, waislam ni wastaarabu kuliko wakristo? Je, wakristo wameshindwa kuulinda mji wa Jerusalemu?

Pia ni kwa nini Makka haugombewi na wakristo, ila waislamu hugombea tena kisheria mji wa Yerusalemu ulio na matakatifu ya wakristo?

Huenda kuna kitu ulichotaka kuelewa ila sasa Title ya thread yako inafanya swali lionekane la kipuuzi na halina maana wala majibu.

Hivi kwa mfano nikikuuliza kwanini wewe ulizaliwa 1990 badala ya kuzaliwa 2020 utanijibu jibu gani 🤔🤔🤔.

Na suala la Jerusalem kuwa mji mtakatifu kwa wakristo tu hata waislam huo mji ni mtakatifu kwao vile vile, hujui msikiti wa Al-Aqsa uko wapi !
 
ukiingia Jerusalem "UNAUKUTA UISLAM"
kiimani myahudi yupo karibu na muislam kuliko mkristo.
myahudi hataki kusikia kitu kinachoitwa AGANO JIPYA.
wao wanaamini katika agano la kale.
Pia usisahau kuwa wayahud wanamuita yesu Ni MTOTO WA NJE YA NDOA
Islams wanajipendekeza sana ili wabomoe kumbukumbu za yesu.

Lkn hauwahusu
 
hauko informed vizuri,
kwanza kupalinda dhidi ya nini sasa?,na wanalindaje hasa?,

mimi nijuavyo ufunguo wa kanisa la jerusalem ambalo ndo la kihistory unatunzwa na ukoo fulani wa wapalestina na ndo wamekuwa nao ufunguo huo kwa mamia ya miaka,

lakini pia custodian wa maeneo matakatifu jerusalem iwe kanisa ama msikiti,custodian wake ni mfalme wa jordan,

pia kanisa la bethelehemu liko chini ya uangalizi wa mamlaka ya palestina,
L
 
It is True, Muhammad ndo mwanzilishi wa Uislam, kilichofanyika Sasa ni kumanipulate minds za wafuasi Ili waamini beyond Muhammad eti Uislam ni Dini ilokuwepo kabla ya Muhammad
Sasa uislam utaanzaje kwa MUHAMMAD (s.a.w) wakati mitume wote waliotumwa dunia ilikuwa Ni kazi moja kuwa tumuabudu Mwenyezi Mungu bila kumshirikisha na uislam ndivyo ilivyo

Nabii Mussa(a.s) alipoenda kupokea torati (wakristo wanasema amri kumi) alivyorudi alikutwa wametengeneza ndama na wanamuabudu alivunja Yule ndama na akasema aabuduwae Ni MWENYEZI MUNGU tu...

Amri enyewe ya ukristo ya kwanza inasema Mimi Ni bwana Mungu wako usiwe na miungu mwingine Ila Mimi.. ktk uislam Ni shahada isemwayo hapana apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu.
Hana mshirika Hakuzaa wala hakuzaliwa mauti hayampati Wala kusinzia Ni vyake vyote vilivyomo duniani na MBINGUNI...

Na MUNGU Ni mmoja tu
 
Mkuu wakristo na Jerusalem ni vitu viwili tofauti..

Wakristo makao yao makuu ni Vatican,, huko Jerusalem ni ktk kuvuruga dunia na kujihusisha na yasio ya haki..

Utatafuta kote Jerusalem hutopata ukweli kuhusu ukristo zaidi ya kumbukumbu za mazingaombwe..na kutengeneza.
Unasema vatcan hao mitume wenu walitokea vatcan? Au Ni biblia ndi imeandikiwa uko wakaamishia kila kitu huko.. penda Sana kusoma usitoe elimu usiyo na uhakika nayoo
 
Wakristo wanahaki na huo mji kivipi?Huo mji ni mali ya waislam na wayahudi ndo kipindo chote cha mgogoro huo hutaona wakristo wakiingilia.Huo mji wa Yerusalem au Baytul mukadas ni mji wenye msikiti mkubwa sana na una historia kubwa ya uislam enzi kabla ya mtume Mohammadi(saw)
Kabla ya mwamedi uislamu ulikuwepo? Uliitwaje? Kitu kingine kinachonishangaza juu ya uislamu ni kuabudu mitume ya wayahudi wanaowachukia Tena.
 
kwanza elewa uslam ni nini na maana yake maana yake ni kumwamini mungu mmoja kuna kufa kuwaamini mitume na kuwaaheshimu wote kuna mwisho khiyama huo ndio uislam na kuanzia adam mpaka yesu issa wote waliamini hivyo ndio maana ya uislam na kila mtume alitumwa kwa watu wake tu sio kwa wote yesu alisema nimetumwa kwa kondoo waliopetea wa wana wa israel tu sio kwa wazaramo sasa muhamad katumwa kwa watu wote na kapewa sala na sheria
Kama alie watuma hao mitume ni mmoja ambaye ni Mungu huoni kama haipo sawa?
Mungu awatume mitume wawili waende sehemu tofauti kupeleka habari zake..mwisho wa siku tumepata dini mbili zinazotofautiana kabisa na hazipendani. Maajabu haya!
 
Jaribu kujielimisha kidogo utagundua kwamba unachokiandika hakifai. Kwa uchache, Roman Catholic (RC) ni sehemu ya ukristo. Ni sawa na kusema kwamba Wakatoliki wote ni wakristo lakini si wakristo wote ni wakatoliki.
Mkristu wa kwanza ni mkatoliki, haya madhehebu mengine yameibuka juzi juzi tu hapa baada ya kutofautiana.
Ni wakatoliki walio jitenga
 
kwanza elewa uslam ni nini na maana yake maana yake ni kumwamini mungu mmoja kuna kufa kuwaamini mitume na kuwaaheshimu wote kuna mwisho khiyama huo ndio uislam na kuanzia adam mpaka yesu issa wote waliamini hivyo ndio maana ya uislam na kila mtume alitumwa kwa watu wake tu sio kwa wote yesu alisema nimetumwa kwa kondoo waliopetea wa wana wa israel tu sio kwa wazaramo sasa muhamad katumwa kwa watu wote na kapewa sala na sheria
Unaongea Pumba.

Kasome tena dini vizuri. Hujui Mt. Muhamad S.A.W wala Yesu Kristo (Nabii Issa) ujio wao wa duniani na malengo yao makuu.

Nakushauri kasome vizuri sana na kwa umakini, utaelewa.
 
Haina ubishi, wakristo wote huamini Jerusalem ndio mji muhimu kuliko yote katika imani yao na ni mji mtakatifu sana. Kila mkristo hutamani kufika huko kuhiji na kuyatembelea matukufu ya Mungu yenye utajiri wa maisha ya Kristo Yesu.

Waislamu pia wote, huamini kuwa Makka ni mahali patakatifu na ni moja ya nguzo tano za muislamu halisi kufika huko walau mara moja kuhiji. Mamilioni hufika huko kila mwaka.

Tujiulize, kwa nini mji wa Jerusalem una mavurugu makubwa kuliko mji wa Makka? Je, waislam ni wastaarabu kuliko wakristo? Je, wakristo wameshindwa kuulinda mji wa Jerusalemu?

Pia ni kwa nini Makka haugombewi na wakristo, ila waislamu hugombea tena kisheria mji wa Yerusalemu ulio na matakatifu ya wakristo?
Ndugu yangu nakushauri ukapatembelee siku moja, mama yangu ameshaaenda kupitia shirika flan, Amekaa kule miezi mitatu hakuna hiyo vurugu unayosema. Pia rafiki yangu ameenda kule kujifunza mambo ya cyber crime alivyokua anafanya kazi taasis flan amekaa miezi sita. Hakuna vurugu unazosema.
 
Back
Top Bottom