GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,006
- 126,388
Mimi ni Simba SC damu damu ila labda tu uwe ni Mpumbavu, Mshamba na huujui Mpira na wala hujaucheza pia ndiyo yo utaweza Kukataa kuwa yale Matukio yote Makubwa mawili yaliyopelekea Mwamuzi kutumia VAR kuyaamua yalikuwa ni sahihi ila ni BAHATI tu na NYOTA ya Siku ndiyo viliibeba Simba SC yetu?
Ninajua leo wengi Wenu mtakuja Kunibishia / Kunikatalia hili kwakuwa tayari Timu yetu imeshafuzu, ila Ukweli ndiyo huo.
Ninajua leo wengi Wenu mtakuja Kunibishia / Kunikatalia hili kwakuwa tayari Timu yetu imeshafuzu, ila Ukweli ndiyo huo.