Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,351
Duh hii office hapa staff tupo 40, wanaume ni 10 tu
sipati picha hii BRN itakavokuwa negative
ha ha mkuu sipati picha!! Lazima wapinge!!
Duh hii office hapa staff tupo 40, wanaume ni 10 tu
sipati picha hii BRN itakavokuwa negative
Umeona eh..
Hebu leta hiyo posa basi!
ni kweli na sisi wanaume tupewe siku za kupumzika tukiwa tumegegeda mwanamke maana huwa tunachoka sana kama leo nimekuja kazini basi tu ikiwezekana tulipwe hela tu tusifanye kazi
kuchoka ni tofauti na kuumwa jameni...!!!! mbona hata wanawake huwa wanachoka
Okota maganda
Peleka Uganda
Yamepanda bei
Sukuma, waaaaaaaaaaaaaa
Posa subiri subiri kidogo
Wapewe off na wanaume tupewe ruksa ya ku stay away from them tuepuke visirani
Dah kwa hiyo watu wakipeana mambo kesho yake tuwape likizo? Kuna wengine watakuwa hawaji kazini kabisa!
so itabidi michepuko irasimishwe au?
Nipo hoi taabani, moyo kwako umetua,
Nitakuwa furahani, wewe kinikubalia,
Nimekuweka moyoni, uniweke nawe pia,
Nimeshindwa vumilia, kutosema nakupenda.
Chonde chonde muhashamu, nifanye moyo tulia,
Nikupe pendo adhimu, pekee hii dunia,
Pendo liso na awamu, kila siku lachanua,
Nimeshindwa vumilia, kutosema nakupenda.
Nikupe pendo la huba, pendo nalosisimua,
Pendo tele na si haba, moyoni ‘shakujazia,
Pendo mara saba saba, mahaba yalozidia,
Nimeshindwa vumilia, kutosema nakupenda.
Naunga mkono hoja tupewe likizo kwakweli mana!!!