64Bits
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 961
- 563
mie siungi mkono hoja....coz kwa walio wengi maumivu huja kama unakuwa umejilazalaza....mwanamke kujikaza Zinduna
Kuna wale ambao wana uvimbe (cysts) na wakati wa p wanakuwa wanapoteza damu nyingi na wana maumivu balaa. Kwa wenye condition kama hizi haya maumivu ni real na hayavumiliki hata ujikaze vipi. Kwa hawa huu ni ugonjwa ambao hata atampa ed. The sad thing is huwezi kuwa unaenda hospitali kila unapoingia kwenye p kuomba ed wakati u r already in pain (wengine hutapika na kuharisha), unajua dawa zako unazotumia. U just need to rest. Kwa employer mwelewa unaweza kumpigia ukamwambia unaumwa. Ila wengi utasemwa after 3 monthsof employment. I guess kama mtu hayajakukuta ni ngumu kuelewa
Last edited by a moderator: