Je kuna haja ya wanawake waajiriwa kupewa mapumziko wakiwa kwenye siku zao?

Ajabu hiyo hapo!!!
Ila walimu wa Biology wachache best,kuna wanaofundishwa na form 6 leavers ambao wanafundisha vile walivyoelewa wao!

Hahahaa...hivi hata kwa akili ya kawaida mtu huwezi kujiuliza?..ina maana anamaanisha wanaopata mimba huwa wanafanya mapenzi kipindi cha hedhi.....ptuuuu..
 
Na siku hizi wametengeneza pads ambazo zinakiharufu kizuriiii ukipiga hatua tu wenye ufahamu nazo wanajua wewe si mwenzao upo anga za juu unatalii
 
Nilichokisema na swali lako vinakinzana

Hebu nifafanulie ndio nikujibu!

Nmeona kuna maali umeandika inawezekana mtu mwenye akili timamu kukaa ata wiki moja bila kushiriki tendo la ndoa?Ulimkot mtu alokua anaongelea wazee wazamani.Labda kama sikukuelewa unieleweshe.
 
Nipo hoi taabani, moyo kwako umetua,
Nitakuwa furahani, wewe kinikubalia,
Nimekuweka moyoni, uniweke nawe pia,
Nimeshindwa vumilia, kutosema nakupenda.

Chonde chonde muhashamu, nifanye moyo tulia,
Nikupe pendo adhimu, pekee hii dunia,
Pendo liso na awamu, kila siku lachanua,
Nimeshindwa vumilia, kutosema nakupenda.

Nikupe pendo la huba, pendo nalosisimua,
Pendo tele na si haba, moyoni ‘shakujazia,
Pendo mara saba saba, mahaba yalozidia,
Nimeshindwa vumilia, kutosema nakupenda.

me sipo
 
Nmeona kuna maali umeandika inawezekana mtu mwenye akili timamu kukaa ata wiki moja bila kushiriki tendo la ndoa?Ulimkot mtu alokua anaongelea wazee wazamani.Labda kama sikukuelewa unieleweshe.

Hukuelewa nilichoandika

Nilikuwanasema kuwa haiwezekani mtu mwenye akili timamu ashindwe kukaa hata wiki moja bila kukutana kimwili na mkewe

Hivyo nadhani swali lako ulitakiwa umuulize mwingine na sio mimi!
 
Poa nmekuelewa.
 
Kuna kabinti machepere sana chuo....nilikishtukia kipo katika siku zake sababu uso ulimvimba kubita kawaida.....nikakaita nikakiambia "leo ukibugy step mimba unayo" kikaniuliza kwa nini? Nikamwambia si upo ktk siku zako!.....toka siku hiyo...kinanionea aibu asee

chuo cha uhandishi wa habari!
 
What a coincidence....., yaani wanawake 20 wa ofisi moja wote kwa pamoja waingie kwenye siku zao...!
Please tell me you are just kidding....
Kwa waswahili walivyo wengine wanaweza wakadanganya ikatokea mtu 12 zote zipo kunako unless kama kuwe na timetable ukutani kwa boss kiu ambacho ni unethical
 
Kuna kabinti machepere sana chuo....nilikishtukia kipo katika siku zake sababu uso ulimvimba kubita kawaida.....nikakaita nikakiambia "leo ukibugy step mimba unayo" kikaniuliza kwa nini? Nikamwambia si upo ktk siku zako!.....toka siku hiyo...kinanionea aibu asee
Sasa ndio nimeelewa kwanini siku hizi mabinti wanapata mimba zisizotarajiwa unless mie nilidanganywa kuhusu kipindi gani mwanamke anashika mimba, embu toa elimu
 
Kwa hiyo mtu akiwa kwenye siku zake ndo anapata mimba?
mie mwenyew nimeshangaa aisee, ndio maana mimba zisizotarajiwa zinaongezeka kutokana na comment ya huyo jamaa. Sayansi ya darasa la 6 plus biology O-level lakini somo halijaeleweka kweli kazi ipo. Kama sie wanaume tutaelewa hii kitu kiukweli mimba zisizotarajiwa zitaisha kama sio kupungua
 
itakuwa raha sana, ntakuwa naingia period mara mbili hadi tatu kwa mwezi nijiongezee likizo. nafikiri wanaokumbwa na hizo kero wakat wa period wangefikiriwa katika suala hilo, wengne waendelee kupiga mzigo tu.
 
mie mwenyew nimeshangaa aisee, ndio maana mimba zisizotarajiwa zinaongezeka kutokana na comment ya huyo jamaa. Sayansi ya darasa la 6 plus biology O-level lakini somo halijaeleweka kweli kazi ipo. Kama sie wanaume tutaelewa hii kitu kiukweli mimba zisizotarajiwa zitaisha kama sio kupungua

Ni kweli mkuu hili somo ni tatizo haswaaa mimi nliwahi kubishana na mtu nusu ya kupigana nikaona bora nimuache na elimu yake atajijua mwenyewe
 
Ni kweli mkuu hili somo ni tatizo haswaaa mimi nliwahi kubishana na mtu nusu ya kupigana nikaona bora nimuache na elimu yake atajijua mwenyewe
Hasa kwa sie wanaume na huwa nasikitika mtu anapotoa mimba maana najiuliza kama wangekuwa makini siku ambazo wanahisi ni hatari angalau wangekutumia protective gear lakini watu wanakamuana tu 24/7 kiasi kwamba zoezi la mara chache chache kutumia silaha za maangamizi wanaona kama ni mwaka, yaani vidume vingi vina depend kwa mwanamke kama nae ni mchemfu kwa tamaa ndio hivyo tena mambo yanakuwa mambo though sometime kuna bahati mbaya maana hii ni miili iliyoumbwa na mungu
 
What a coincidence....., yaani wanawake 20 wa ofisi moja wote kwa pamoja waingie kwenye siku zao...!
Please tell me you are just kidding....
Kimahesabu hata kama hawataingia ndan ya siku moja,lakin cycle ndan ya siku 30,kimahesabu zitapotea zile zilr siku 2....
 
Back
Top Bottom