Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,182
- 30,679
🚮Mkuu hiyo potential uliyonayo kwenye ku question ungeiweka kwenye true pursuit ingekuwa bora sana
🚮Mkuu hiyo potential uliyonayo kwenye ku question ungeiweka kwenye true pursuit ingekuwa bora sana
Hahaha pole sana kijana mdogo!Hoja zaidi ya Viroja.
Una bwabwaja bwabwaja tu hapa.
Mara kikapanda kikashuka.
Nina umri wa kumzaa Baba yako.
Mimi sio kijana.
Pole kampe Bibi yako.Hahaha pole sana kijana mdogo!
Mkuu walikua wanajibu ilimradi tu kutetea point zao ambazo hata wao hawana uhakika nazo ila wanataka point zako ziwe zimeandikwa kitoka sehemu flani 😆Huoni kwa maelezo hayo, unam portray Muumba kama kiumbe asiye na msimamo. Leo unaruhusu kitu X, kesho unapiga marufuku kitu X.
Kwa misingi hiyo hiyo unayoiita logic, kama mwanzoni ilionekana ni sahihi ndugu kuoana ili kuijaza dunia, muumbaji alipata au angepata hasara zipi endapo viumbe aliowaumba wangeendelea na utaratibu huo huo wa kuijaza dunia, au unataka tuamini kwamba malengo ya kuijaza dunia yalikuwa yameanza kutimia?Logic ni ndogo tu hapa, hivi ukitaka kuanzisha kitu kikiwa absolute zero, sheria za kuanzia zinawezaje kufanana na sheria za kukiendesha kikiwa tayari kimeshakuwa kikubwa na kusambaa?
Nimewasoma, zaidi nilichokiona ni matumizi makubwa ya msamiati ya kizungu katika kutetea hoja zao ila hakukuwa na hoja za msingi.Mkuu walikua wanajibu ilimradi tu kutetea point zao ambazo hata wao hawana uhakika nazo ila wanataka point zako ziwe zimeandikwa kitoka sehemu flani 😆
Nimesoma kuanzia uzi ulipoanzia hadi ulipoishia. Sijaona aliyetoa maelezo yenye mashiko.Nimezidi kumuelewesha huko mbele, utaona tu mkuu, endelea kusoma.
Unajua maana ya genetic diversity au unabisha mradi ubishe?Kwa misingi hiyo hiyo unayoiita logic, kama mwanzoni ilionekana ni sahihi ndugu kuoana ili kuijaza dunia, muumbaji alipata au angepata hasara zipi endapo viumbe aliowaumba wangeendelea na utaratibu huo huo wa kuijaza dunia, au unataka tuamini kwamba malengo ya kuijaza dunia yalikuwa yameanza kutimia?
Basi uko slow sana kwenye suala zima la kusoma kwa ufahamu na kuchanganua mambo.Nimesoma kuanzia uzi ulipoanzia hadi ulipoishia. Sijaona aliyetoa maelezo yenye mashiko.
Sanasana nimeona watu wakitupiana maneno ya kukashifiana badala ya kujenga hoja za kutetea wanachokiamini au at least kukubali kwamba kuna mapungufu.
Mzee, unajua kwanini huwa huwezi kutetea hoja zako pasipo kuchomekea vi terminologies vya muingereza?Unajua maana ya genetic diversity au unabisha mradi ubishe?
Kama uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo kwanini usione hakuna logic?Nimewasoma, zaidi nilichokiona ni matumizi makubwa ya msamiati ya kizungu katika kutetea hoja zao ila hakukuwa na hoja za msingi.
Upo sahihiBasi uko slow sana kwenye suala zima la kusoma kwa ufahamu na kuchanganua mambo.
Haujajibu swali, au hujui kusoma vizuri?Mzee, unajua kwanini huwa huwezi kutetea hoja zako pasipo kuchomekea vi terminologies vya muingereza?
Najua nipo sahihi ndio.Upo sahihi
Wewe mzee silaha zako kubwa ni 2Kama uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo kwanini usione hakuna logic?
Lalamikia uwezo wako mdogo wa kuchanganua mambo.
Sio kwamba sijajibu, sema nimejibu tofauti na matarajio yako.Haujajibu swali, au hujui kusoma vizuri?
Kama haujakidhi viwango vya kufanya mjadala na mimi lazima nikwambie tu, uwe unataka au hutaki.Wewe mzee silaha zako kubwa ni 2
1. Kuchomekea vi msamiati vya kizungu ukiamini hiyo inakufanya uonekane msomi.
2. Kuwadogosha wengine wasiounga mkono hoja zako kwamba wanauelewa mdogo.
Ukinyang'anywa hizo silaha zako 2 utapata taabu sana.
Ila una uwezo wa kuwa kiumbe bora zaidi, haujachelewa.
Hauna uwezo wa kujibu hoja zangu wewe, nakufahamu sana.Sio kwamba sijajibu, sema nimejibu tofauti na matarajio yako.
Una matatizo, jichunguze.Kama haujakidhi viwango vya kufanya mjadala na mimi lazima nikwambie tu, uwe unataka au hutaki.
Hahaha ni kawaida yenu watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri kuongea mambo kama haya!Una matatizo, jichunguze.