Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 6,991
- 17,644
Ukitafuta neno dada wa Kaini hutolipata, Biblia haikuandikwa kama gazeti la udaku unalopenda kulisoma kila siku.Wapi kwenye biblia yako inasema Cain alimuoa dada yake ??
Ukitafuta neno dada wa Kaini hutolipata, Biblia haikuandikwa kama gazeti la udaku unalopenda kulisoma kila siku.Wapi kwenye biblia yako inasema Cain alimuoa dada yake ??
Concept imekua ngeni kwako ? Majibu yameshindwa kupatikana ? Nlitegemea unijibu swali langu ndipo uulize swali lako, lakini haijawa hivyo.Kama una maana yako kuuliza lile swali basi vivyo hivyo na mimi nina maana yangu kukuuliza hilo swali.
Kama huwezi kujibu, it's okay!
Apply haya haya maneno pia kwenye swali langu. Simple!Concept imekua ngeni kwako ? Majibu yameshindwa kupatikana ? Nlitegemea unijibu swali langu ndipo uulize swali lako, lakini haijawa hivyo.
Sasa kwa nini unategemea upate pre-adamite people??Ukitafuta neno dada wa Kaini hutolipata, Biblia haikuandikwa kama gazeti la udaku unalopenda kulisoma kila siku.
Sitegemei kupata pre adamite people, mimi natumia tu akili ya kawaida kujiuliza maswali ambayo nyie mnaogopa kuuliza.Sasa kwa nini unategemea upate pre-adamite people??
Apply haya maneno kwako siyo kwangu.mkuu itosheke kusema kwamba hii maada imekupiga chenga huna uwezo wakuijibu na kuleta mtazamo wenye mantiki .
Case closed.mkuu itosheke kusema kwamba hii maada imekupiga chenga huna uwezo wakuijibu na kuleta mtazamo wenye mantiki .
Akili ndogo kuwaza hivi ni sawa kabisa, ni haki yako.MTAMBUCA jamaako mada imempiga chenga hana uwezo wakuijibu, uwezo mdgo
Unahoji kwa I'd hii halafu unajiita kwa I'd nyingine ili uonekane kuna wa kukuunga mkono?MTAMBUCA jamaako mada imempiga chenga hana uwezo wakuijibu, uwezo mdgo
Nyinyi wakina nani?Sitegemei kupata pre adamite people, mimi natumia tu akili ya kawaida kujiuliza maswali ambayo nyie mnaogopa kuuliza.
Kama hakuna pre adamite people, mbona Kaini alipomuua Abeli alisema kila atakayeniona ataniua?
Huyo kila mtu alikuwa nani wakati duniani kulingana na ninyi kulikuwa kumebaki Adamu, Hawa, na Kaini tu?
Yes uwezo wako ni mdogo, kwanini uwe sawa na mimi uwezo mkubwa?Ndyo mkuu kama ambavo wengine hawana uwezo wakuanzisha mjadala na wewe , pia ni vivyo hivo wewe huwezi fanya mjadala na mimi uwezo wako ni mdgo pia kwa level yangu simply
Mimi nimempa somo kwamba sio kila jambo lazima ujifanye mjuaji.MTAMBUCA jamaako mada imempiga chenga hana uwezo wakuijibu, uwezo mdgo
Ni kawaida yako wewe kuandika nonsense kila Jukwaa, siwezi kukushangaa hapa!Nyinyi wakina nani?
Kwangu Mimi Biblia ni fiction story za Wayahudi tu, unaweza kuzisoma na kuzielewa vyoyote unavyotoka na huwa nawaona stupid sana kundi lolote wanaodhani au kujiona kwamba wao wanajua kuliko wengine au ndio wenye ukweli wa hizo fiction.
majibu yamemshinda tangu mwanzo kageukia ID kwamba hii ni ID yangu nyingine 😅Mimi nimempa somo kwamba sio kila jambo lazima ujifanye mjuaji.
Wakati mwingine ni busara ndogo tu, unaamua kutulia na kujifunza zaidi badala ya kuleta ujuaji usio wa lazima.
Bahati isiyo nzuri JF haitoi awards kwa ubishi usio na umuhimu.
Endelea kujitekenya na hizi IDs zako mdogo wangu.MTAMBUCA angalia pumba anazo ongea kijana mwenye low thinking kama huyu
Okay.majibu yamemshinda tangu mwanzo kageukia ID kwamba hii ni ID yangu nyingine 😅