Aiwanda ๐๐๐๐๐majibu yamemshinda tangu mwanzo kageukia ID kwamba hii ni ID yangu nyingine ๐
Kwa mtu mwenye akili nyingi anahisi Id yangu na yako ni kitu kimoja bora nibaki na uwezo wangu mdogo wa kiakili.
Aiwanda ๐๐๐๐๐majibu yamemshinda tangu mwanzo kageukia ID kwamba hii ni ID yangu nyingine ๐
Huwezi kunipa somo wewe muimba taarabu kwenye comments za wanaume.Mimi nimempa somo kwamba sio kila jambo lazima ujifanye mjuaji.
Wakati mwingine ni busara ndogo tu, unaamua kutulia na kujifunza zaidi badala ya kuleta ujuaji usio wa lazima.
Bahati isiyo nzuri JF haitoi awards kwa ubishi usio na umuhimu.
Zingatia sana hili mdogo wangu!bora nibaki na uwezo wangu mdogo wa kiakili.
Mkuu itosheke kusema level zako za kuanzisha argument kwenye mijadala mikubwa ni ndogo sanaEndelea kujitekenya na hizi IDs zako mdogo wangu.
Sawa, usisahau kujifunza uandishi pia.Mkuu itosheke kusema level zako za kuanzisha argument kwenye mijadala mikubwa ni ndogo sana
Ukiona kitu hujui simply kaa kimya mana tangu mwanzo nliona onaongea non sense ila kuhalisia hamna kitu yani chenga kabsa.
Umeona eh?Atheist alikuja kuvuruga uzi kaishia kutoka nduki ndala mkononi, naona kama kaja na akaunti yake nyingine kupoza machungu ๐
Infropreneur pita hapa inasemekana Infropreneur MTAMBUCA na verify ni kitu kimoja jamaa kashindwa kufanya reasoning sasa anageukia ID.Umeona eh?
Ni mtu wa kumpuuza huyo ndio maana kwa sasa nimemuacha ajisemeshe.Infropreneur pita hapa inasemekana@Infropreneur, MTAMBUCA na verify ni kitu kimoja jamaa kashindwa kufanya reasoning sasa anageukia ID.
Ni upepo tu unampitia vibaya, akikaa vizuri atarudi kwenye mstari kama ni mtu wa kuelewa.Sahihi Ujuaji unatakiwa uwe na mipaka.
Mbona kama mkuu unatafuta kushinda baadala ya kueleweshana? Hii sredi yako ipo hai kwasababu ya ukomavu wake kwenye kudebate, kuna waliombeza wengine wameshusha na matusi lakini hajakimbia uzi, kwa asilimia kubwa kashusha hoja zenye mashiko.Infropreneur pita hapa inasemekana@Infropreneur, MTAMBUCA na verify ni kitu kimoja jamaa kashindwa kufanya reasoning sasa anageukia ID.
Ni kuendelea kuvumiliana tu mkuuUmeona eh?
Ni ujinga kuamini Kuna binadamu aliwahi kuishi miaka 800 katika wakati ambapo wastani wa maisha ulikuwa miaka 35.Fungua Mwanzo 5:4, Biblia inasema wazi baada ya kumzaa Sethi, Adamu aliishi miaka 800 na alizaa wana na binti, Kaini aliishi miaka mamia, ulitaka wataje majina ya watoto wote elfu moja kwenye kitabu kimoja Mkuu?
Ni ujinga mkubwa pia kuamini huu ujinga uliouandika hapa.Ni ujinga kuamini Kuna binadamu aliwahi kuishi miaka 800
Kwanini Biblia zinazotumika makanisa hazina maelezo ya kueleweka kumhusu Lilith?Mbona kama mkuu unatafuta kushinda baadala ya kueleweshana? Hii sredi yako ipo hai kwasababu ya ukomavu wake kwenye kudebate, kuna waliombeza wengine wameshusha na matusi lakini hajakimbia uzi, kwa asilimia kubwa kashusha hoja zenye mashiko.
Nikirudi kwenye bandiko lako, kuhusu Kaini alioa watu gani, huenda alimuoa dada yake mtoto wa Lilith
Ieleweka kwamba kashashindwa hilo la kwanza mana msingi wa maada yangu haukutaka kujua kaini alioa ndugu au laa bali ni kuhusu machufuko ndani ya dunia kabla ya kuumbwa.Mbona kama mkuu unatafuta kushinda baadala ya kueleweshana? Hii sredi yako ipo hai kwasababu ya ukomavu wake kwenye kudebate, kuna waliombeza wengine wameshusha na matusi lakini hajakimbia uzi, kwa asilimia kubwa kashusha hoja zenye mashiko.
Nikirudi kwenye bandiko lako, kuhusu Kaini alioa watu gani, huenda alimuoa dada yake mtoto wa Lilith
Kiasili hadithi ya Lilith sio Biblia, kuna mada Mshana Jr alileta jukwaani kuhusu yeye, ina nyama nyama kidogo, kama ataona haya maoni itakuwa vizuri akiattach ukasome mule wadau wamejitahidi kwenda deep sanaKwanini Biblia zinazotumika makanisa hazina maelezo ya kueleweka kumhusu Lilith?