Wewe mwenye uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo umeshindwaje kujibu hoja za mwenye uzi?Hauna uwezo wa kujibu hoja zangu wewe, nakufahamu sana.
Uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo sana sana sana!
Wewe mwenye uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo umeshindwaje kujibu hoja za mwenye uzi?Hauna uwezo wa kujibu hoja zangu wewe, nakufahamu sana.
Uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo sana sana sana!
Upo sahihi pia,
Lakini nielewe hapa kwamba Mungu amekuwepo tangu enzi, hivyo ukuu na uwezo wake haukuanza na uwepo wetu wala hautaishia kwetu. Kwa hiyo, sioni ugumu kusema kwamba kabla yetu huenda kulikuwepo viumbe wengine. Vivyo hivyo, mwisho wa uwepo wetu haumaanishi mwisho wa uumbaji wa Mungu anaweza kuumba viumbe wengine hata baada yetu. Kwa mtazamo huo, tunaweza kusema kwamba kabla ya kizazi chetu huenda kulikuwepo viumbe zaidi, ingawa hili bado linabaki kuwa nadharia na si jambo lililothibitishwa.
Benoit sijui umepata picha nini najaribu kusema hapa ?
Turudi hapa, mwanzo tulibase upande wa kaini turidi msingi wetu wa swali.Logic ni ndogo tu hapa, hivi ukitaka kuanzisha kitu kikiwa absolute zero, sheria za kuanzia zinawezaje kufanana na sheria za kukiendesha kikiwa tayari kimeshakuwa kikubwa na kusambaa?
Sijaongea.Hahaha ni kawaida yenu watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri kuongea mambo kama haya!
Nimeshindwa? Hahaha kichekesho hiki. Pitia comments upate darasa mdogo wangu, mijadala kama hii najua wewe huwezi kujihusisha nayo kwa sababu una akili ndogo.Wewe mwenye uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo umeshindwaje kujibu hoja za mwenye uzi?
Hadi uzi umefika page ya 9 ameshindwa kutetea hoja yake, bado unaamini huyo mzee atakuwa na majibu ya kueleweka?Turudi hapa, mwanzo tulibase upande wa kaini turidi msingi wetu wa swali.
Ona sasa unavyo jidhalilisha hapa! Hahaha, una akili timamu kweli wewe?Sijaongea.
Nimeandika.
Au hujui tofauti ya kuongea na kuandika?
Wewe ni kawaida yako kuwasapoti wanaume wenzako wenye uwezo wa kujenga hoja.Hadi uzi umefika page ya 9 ameshindwa kutetea hoja yake, bado unaamini huyo mzee atakuwa na majibu ya kueleweka?
Wew kijana kuandika insha ndefu hapa Jf na kuchanganya vi msamiati vya kingereza hakukufanyi ujione una akili nyingi.Nimeshindwa? Hahaha kichekesho hiki. Pitia comments upate darasa mdogo wangu, mijadala kama hii najua wewe huwezi kujihusisha nayo kwa sababu una akili ndogo.
Inaonekana issue ya akili inakutesa sana, maana kwenye kila uzi ukipigwa na kitu kizito lazima ukimbilie kwenye issue ya akili.Ona sasa unavyo jidhalilisha hapa! Hahaha, una akili timamu kweli wewe?
Narudia kukwambia hivi, wewe ni akili ndogo, haujafika hata robo ya uwezo wangu wa kujenga hoja zenye mantiki.Wew kijana kuandika insha ndefu hapa Jf na kuchanganya vi msamiti vya kingereza hakukufanyi ujione una akili nyingi.
Ki msingi wenye akili kubwa huwa hawajitangazi, kwa hiyo narudia tena kukusihi JICHUNGUZE.
Huna hoja bhana, kaa pembeni binti.Inaonekana issue ya akili inakutesa sana, maana kwenye kila uzi ukipigwa na kitu kizito lazima ukimbilie kwenye issue ya akili.
Kipi bora mzee genious wa mchongo, kukubali kwamba mada X huna uelewa nayo ili ujifunze kwa wenye uelewa au kulazimisha kuibaka mada X ili mradi tu uonekane kwamba na wewe umo hata kama unatetea utumbo?Wewe ni kawaida yako kuwasapoti wanaume wenzako wenye uwezo wa kujenga hoja.
Wewe huo uwezo huna, ni debe tupu!
Bado hujasema vizuri. Baada ya kuita Binti natarajia uite shoga.Huna hoja bhana, kaa pembeni binti.
Mada wanazo jadili wanaume, wewe binti unapaswa kuwa unakaa pembeni, sio kuleta ukike wako kwenye hoja za wanaume.Kipi bora mzee genious wa mchongo, kukubali kwamba mada X huna uelewa nayo ili ujifunze kwa wenye uelewa au kulazimisha kuibaka mada X ili mradi tu uonekane kwamba na wewe umo hata kama unatetea utumbo?
Binafsi kitu kama sikijui , sioni tija ya kutaka kuonekana nakijua kwa sababu hainiongezei chochote.
JICHUNGUZE, Mirembe panakuita.
Unafaa sana kuwaimbia taarabu wanawake wenzako.Bado hujasema vizuri. Baada ya kuita Binti natarajia uite shoga.
Kula chuma hicho, much knower la Nanjilinji.
Kwa nini upoteze muda kuwaza uumbaji usio na ushahidi badala ya kushughulika na huu uumbaji uliopo mbele ya macho yako sasa hivi?Marcostilone
Nikirejea kwwnye msingi wa maada yangu ,kama tunakubali kwamba Mungu amekuwepo tangu enzi na uwezo wake haukuanza na uwepo wa mwanadamu, basi si lazima tufikirie kwamba uumbaji wake ulianza na sisi. Uwepo wetu unaweza kuwa sehemu moja tu ya kile ambacho Mungu amewahi kuumba. Kwa hiyo, si jambo lisilowezekana kujiuliza kama kabla yetu kulikuwa na viumbe wengine ambao hatuwajui. Na kama siku moja wanadamu wataishia kuwepo, hilo pia halimaanishi kwamba uwezo wa Mungu wa kuumba utaishia hapo. Anaweza kuumba viumbe wengine baada yetu, kwa sababu mwisho wetu si lazima uwe mwisho wa uumbaji wake.
ikiwa Mungu alikuwepo kabla yetu, ni kwa nini tuamini kwamba sisi ndio viumbe wa kwanza kabisa aliowahi kuumba?
Nikuombe na wewe Benoit uliekua ukijibu bila mpangilio husika.
Kama una maana yako kuuliza lile swali basi vivyo hivyo na mimi nina maana yangu kukuuliza hilo swali.Ningependa tubase zaidi kwenye majibu sio sababu za kuuliza swali
Wapi kwenye biblia yako inasema Cain alimuoa dada yake ??We jamaa unajua hata hiyo Pre-Adamite theory ina maana gani kweli?
Hiyo theory inasema kulikuwa na watu wengine kabla ya Adamu, sasa kama kulikuwa na watu wengine, maana yake Kaini angeoa huko nje, na kusingekuwa na haja ya yeye kumuoa dada yake!
Mimi nakwambia Adamu ndo wa kwanza, yeye anasema kulikuwa na wengine, hapa nani mwezi mchanga kati yangu na wewe?