Swali zuri sana, nijuavyo siyo silaha zote zinakuwa na risasi,nyingi ni tupu tu,ila moja au mbili ndo zinakuwa na risasi hasa kwa wale walinzi walioaminiwa hasa.Je Kiusalama na Kiulinzi ni ' afya ' kwa Kiongozi yoyote yule wa nchi kulindwa na askari waliobeba silaha kali na nzito popote pale anapokuwa au hasa akiwa katika halaiki ya Watu? Na kama ni sahihi je hawa Walinzi wanaoonekana wamebeba hizi ' silaha ' nzito wanaaminika vipi na Wenzao waliopo kuwa labda hawawezi ' kugeuka ' nyuma au wale waliopo nyuma hawawezi ' kumshambulia ' Kiongozi wetu?
Nitafurahi sana endapo nitajibiwa haya maswali yangu kwani kwa siku za hivi karibuni namuona sana Rais wa huku nilipo nchini Puerto Rico ' akilindwa ' namna hiyo hivyo nikaona si vibaya nikiwauliza ' Wabobezi ' wa masuala ya Kiulinzi na Kiusalama mliopo huko Tanzania mnisaidie kunifafanulia Kitaaluma na Kiueledi kabisa.
Nawasilisha na karibuni mno nchini Puerto Rico wana JF.
Fasihi tamu sanaPengine wadau hawajang'amua ulichomaanisha, hilo jina la nchi wala si hoja kwenye hoja yako sio? Hoja ni swali ulilouliza, sahihi?......ngoja tuendelee, watakuelewa tu.
Kwa maelezo hayo nnauhakika umemuelewa mwenzetu alieko Puerto Rico. Puerto Rico anayoiongelea ndo hiyohiyo unayoidhania.Hii Puerto Rico inayozungumzwa hapa siyo nchi ya wadanganyika kweli maana mkuu wa nchi ile juzi kwenye maonyesho ya tisatisa alikuwa full maaskari wenye masilaha.
Kiufupi hili jambo lina faida na madhara yake,tena makubwa!!
Madhara ya kutosoma yale masomo yanayodharaulikaKweli bongo vilaza wengi , yani wanashindwa kuielewa nch ya "Puerto Rico" mtoa mada aliyoimaanisha.
Mkuu hata mimi naish Puerto Rico , nilijiuliza swali hili nikakosa jibu, labda ni maagizo ya mwenyew kiongoz wetu Puerto Rico.
Anajua histoiria ya intelijensia,sidhani kama anaijua currentThe Bold angekuwa hajapigwa BAN angetufafanulia vizuri kweli..yule jamaa anayajua sana haya mambo ya intelijensia
Kafanyaje hadi kala ban?The Bold angekuwa hajapigwa BAN angetufafanulia vizuri kweli..yule jamaa anayajua sana haya mambo ya intelijensia
Kweli mkuu..nipo simple sana, huwa sitaki kujiingiza malumbanoni na mtu kisa kitu kidogo tu kama hiki, ndio maana namwambia poa au sawa au muda mwingine unakaa kimya..ni Jibu toshaSema mkuu Jose utakuwa mtu flan simple na free mind sana huwa nakuona unavyojibu kashfa na lugha kali very simple I like your life style bro
Kupost link ya website yake kulimponza aisee..nilishangaa mno mkuuKafanyaje hadi kala ban?
Namaanisha angetupa hata A B Cs kwa maana huwa namfuatilia kwenye simulizi zake zinazohusu Ujasusi na intelijensia...Naamini tungepata chochoteAnajua histoiria ya intelijensia,sidhani kama anaijua current
Mkuu ndio wanasema hivyo lakini hata mimi nilishangaa iweje ale BAN kwa maana kuna wengine huwa wanapost link lakini hawapigwi BAN..sikuelewa kiundani sana mkuu hii ishu imekaajeHivi kupost link yako ni kinyume na taratibu za JF? Sijazisoma sheria zote za JF ila toka nimejiunga JF nimekuwa nikipitia post nyingi sana japo sichangii na nimeona wadau wengi tu wakiweka link za website au matangazo mbalimbali na hawapewi ban labda kuna kingine nyuma ya pazia
Ila kwa tabia hii JF inaanza kupoteza ladha kama watu tuliozoea kusoma post zao kama THE BOLD wanapigwa ban Mara kwa Mara hivi. Nadhan hii ni Mara ya tatu kama sijakosea
ulitaka tujue uko puetarico
Jiongeze mkuu.utamuelewapuerto rico hii hii ambayo ni territory ya marekani au puerto rico ya makinikia?
Mambo ya usalama mimi siyajui nakumbuka wakati wa Nyerere kulikua hakuna mambo haya yule alikua Raisi kipenzi cha watu na alikua anajumika nao bila silaha kali. Sijui hawa wa sasa nini kimetokeaJe Kiusalama na Kiulinzi ni ' afya ' kwa Kiongozi yoyote yule wa nchi kulindwa na askari waliobeba silaha kali na nzito popote pale anapokuwa au hasa akiwa katika halaiki ya Watu? Na kama ni sahihi je hawa Walinzi wanaoonekana wamebeba hizi ' silaha ' nzito wanaaminika vipi na Wenzao waliopo kuwa labda hawawezi ' kugeuka ' nyuma au wale waliopo nyuma hawawezi ' kumshambulia ' Kiongozi wetu?
Nitafurahi sana endapo nitajibiwa haya maswali yangu kwani kwa siku za hivi karibuni namuona sana Rais wa huku nilipo nchini Puerto Rico ' akilindwa ' namna hiyo hivyo nikaona si vibaya nikiwauliza ' Wabobezi ' wa masuala ya Kiulinzi na Kiusalama mliopo huko Tanzania mnisaidie kunifafanulia Kitaaluma na Kiueledi kabisa.
Nawasilisha na karibuni mno nchini Puerto Rico wana JF.