Je, Kiusalama na Kiulinzi hiki ninachokiona sasa huku nchini Puerto Rico si hatari kwa Rais wetu?

Nijuavyo detail ya ulinzi ya kiongozi wa nchi karibu zote wanabeba silaha za moto
 
Hii ni kwasababu ya yanayotokea kabatini

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Je Kiusalama na Kiulinzi ni ' afya ' kwa Kiongozi yoyote yule wa nchi kulindwa na askari waliobeba silaha kali na nzito popote pale anapokuwa au hasa akiwa katika halaiki ya Watu? Na kama ni sahihi je hawa Walinzi wanaoonekana wamebeba hizi ' silaha ' nzito wanaaminika vipi na Wenzao waliopo kuwa labda hawawezi ' kugeuka ' nyuma au wale waliopo nyuma hawawezi ' kumshambulia ' Kiongozi wetu?

Nitafurahi sana endapo nitajibiwa haya maswali yangu kwani kwa siku za hivi karibuni namuona sana Rais wa huku nilipo nchini Puerto Rico ' akilindwa ' namna hiyo hivyo nikaona si vibaya nikiwauliza ' Wabobezi ' wa masuala ya Kiulinzi na Kiusalama mliopo huko Tanzania mnisaidie kunifafanulia Kitaaluma na Kiueledi kabisa.

Nawasilisha na karibuni mno nchini Puerto Rico wana JF.
Puerto Rico ya Chattle

Lexus Mayai
 
Mbona nipo huku siku nyingi sana Mkuu? Labda Wewe ni ' Mgeni ' Kwangu ila karibia 80% ya wana JF wanajua kuwa GENTAMYCINE naishi nchini Puerto Rico. Vipi unajisikia vibaya Mkuu kusikia Mimi naishi huku na Wewe mpaka sasa bado uko tu katika ' vumbi ' la Tanzania? Hata hivyo nitashukuru kama utanijibu swali langu.

Achana na waswahili hawa Ushamba mzigo kwao na wengi wao wamekosa Exposure na wakiamini wakikaa Dsm ndio maisha wamemaliza puuumbavu kabsa Komaa huko huko na Hongera usisahau kwenda Santo Domingo.
 
Pengine wadau hawajang'amua ulichomaanisha, hilo jina la nchi wala si hoja kwenye hoja yako sio? Hoja ni swali ulilouliza, sahihi?......ngoja tuendelee, watakuelewa tu.
mkuu wewe ni kunchelile kwali mwenga (ngindo) au jina tu lipo kidizaini hiyo
 
Hii Puerto Rico inayozungumzwa hapa siyo nchi ya wadanganyika kweli maana mkuu wa nchi ile juzi kwenye maonyesho ya tisatisa alikuwa full maaskari wenye masilaha.

Kiufupi hili jambo lina faida na madhara yake,tena makubwa!!

Madhara yake yanaweza kuwa ni nni mkuu
 
Kichwa cha habari na details zake inaonekana uko hapa hapa Tanzania mkuu sema tu unajificha ficha kwa kuwa hiyo story ni nzito mno wewe ndio unajua
 
Back
Top Bottom