Je, Kikwete ni mdini?

Je, Kikwete ni mdini?

Sasa na wewe ndiyo unakuwa ignorant. Raisi kusema kuna udini ndiyo ina prove beyond a shadow of a doubt kwamba kuna udini? Kwa hiyo kesho akiingia raisi mwingine akisema hamna udini uta badilisha kauli na kusema hamna udini raisi kasibitisha? Where is your reasoning mkuu. Tambua yule ni mwanasiasa na politics and facts do not always go hand in hand. Kuna yule mwanasiasa katuambia zile kura milioni kumi ambazo hazi kupigwa zinge kuwa zake nae tumuamini?

Pili, hamna sehemu yoyote ambayo nime kuiya mdini kwa kuongelea dini. That is your own conclusion. Nilikuita mdini kwa kuadvocate ajira ziangalia among other things dini. Ina maana kwa utaratibu unaotaka wewe Athumani hata kama ana vigezo vyote ana weza kukosa kazi kwa sababu kwenye ofisi hiyo idadi ya watu wa dini yake wamesha timia!

Tatu, umesema JK kathibitisha kuna udini right? Haya JK kateua Wakristo hao 32 mnaodai dhidi ya Waislamu 18. Sasa je tumeenda full circle na sasa una jiunga na wanaodai JK ni mdini kwa sababu kateua baraza la mawaziri bila kuangalia uwiano wa dini? Si that's your point? Ama?

Rais akizungumza anatakiwa awe anazumgumza facts na siyo mawazo yake binafsi. Kwa hiyo, ninaamini JK kasema TZ kuna Udini kwa kutumia Facts.

Hii ndiyo moja ya sababu nilikuwa nakupa question ya kiongozi fulani kuwa IGNORANT. Umeona nimechukua JK hotuba yake as facts kustudy vizuri kuhusu Udini anaozungumzia. JK siyo mdini ni IGNORANT. Anazungumzia TZ ni chenye Udini, halafu bado anagawa madaraka kwa kupendelea watu wa dini fulani. Hii inaonesha jinsi gani viongozi wetu ni MAIGNORANT.
 
Sasa hapo unakuwa ignorant wewe sasa. Una amini kabisa kwamba kila anacho sema raisi lazima kiwe facts? Yes raisi ana takiwa aongelee kwa kutumia facts lakini je mara zote maraisi hufanya hivyo? Kama JK kaongea kutumia facts basi zimwage hapa facts alizo tumia. If he used facts then those facts are present so present those facts to us according to JK.

Sasa hapa tena una jiconradict tena vibaya mno. Unasema JK ni ignorant halafu unasema ana zungumza kwa kutumia facts? Are you serious? Kwa hiyo according to you mtu igonorant anaongea na facts right?
 
Ala sisi mimi udini wangu uko wapi hapo? Ndiyo maana narudia kusema labda hujui hata maana ya udini kwa sababu una taja udini ambapo hata haupo. Nilicho sema mimi ni hio public ita kuwa wadini kama wakilalamika yes. Ila so far public haijalalamika ni nyie tu wachache ndani ya humu JF. Au sasa nyi ndiyo mna wakilisha mawazo ya kila mtu? Public ikilalamika yes wata kuwa wadini ila so far I haven't heard the public complain or else we would have heard about it already. Watu wachache wakilalamika hauwezi kusema public ime lalamika. Au haujui maana ya public?

Ile question niliyokupa ulitakiwa uijibu bila ya kutumia second person. Ili nijiue msimamo wako kamili. Please go back and answer the question ili nijue unastand vipi.
 
Sija tumia second person. Unajua maana ya kutumia second person mkuu? Nime kujibu kutokana na swali lako kwamba the public wata kuwa wadini kama wakiquestion tu uwepo wa watu wa dini fulani kwenye ofisi fulani. Na nikaja kukuambia kwamba the public has not done so hence the Tanzanian public are not wadini. What is it that you fail to understand? Au maelezo yangu mazito mno mkuu mpaka naanza kukuchangaya?
 
Ndiyo maana ni muhimu kwa viongozi wetu kuliangalia suala la udini kuwa ni muhimu kama tunataka nchi yetu isiwe kama Lebanon, Sudan, India-Pakistan, Rwanda, Congo nk. Moja ya matatizo makubwa yanoyoikumba dunia ni vita vya wenyewe kwa wenyewe, na vita vyote vinavyotokea ni kwa sababu ya biases fulani au ignorance fulani inayotolewa na viongozi.

Waliangalie vipi suala la udini? Wewe ungekuwa kiongozi ungefanya nini ili kuondoa huu udini? Au ushauri wako kwa Kikwete ili aondoe udini afanye nini?
 
Mkuu ata toaje maoni kuhusu kuondoa udini na wakati kwenye moja ya post zake amesha sema dini iwe moja ya vigezo vinavyo angaliwa kwenye ajira? Je huo sio udini ambao ana udvocate? Fuatilia mtiririko wa debate kati ya mimi na yeye na utagundua kwamba aidha huyu mkuu ni mdini au hajui maana ya neno udini.
 
Sasa hapo unakuwa ignorant wewe sasa. Una amini kabisa kwamba kila anacho sema raisi lazima kiwe facts? Yes raisi ana takiwa aongelee kwa kutumia facts lakini je mara zote maraisi hufanya hivyo? Kama JK kaongea kutumia facts basi zimwage hapa facts alizo tumia. If he used facts then those facts are present so present those facts to us according to JK.

Sasa hapa tena una jiconradict tena vibaya mno. Unasema JK ni ignorant halafu unasema ana zungumza kwa kutumia facts? Are you serious? Kwa hiyo according to you mtu igonorant anaongea na facts right?

Mie sipo hapa kumtetea JK. Kusema JK ni IGNORANT, ni kuonyesha jinsi gani viongozi wetu wanaposema kuhusu tatizo, wanazungumza kwenye public kuhusu matatizo ya nchi, baaada ya kulitatua tatizo wao bado wanaendelea kulizungumzia bila ya kulitafutia ufumbuzi.
Jambo jengine ni kwamba, JK aliiukuta Udini ndani ya serikali ya TZ. Can he changed? I dont think so. Bado ninaamini Facts za rais kuhusu Udini, sema naona kuna issue kubwa zaidi ya Udini ambayo naona hata Raisi hawezi kubadilisha kwa muda mfupi.
 
kama mimi kiongozi kwanza , ningalijaribu kuweka sawa kati ya niliowachagua ingalikuwa 50% ya waislam na wakiristo. ningalijaribu kuweka sawa uwaino kati ya waislam na wakirito ktk swala la elimu. ningaliondoa manunguniko ya waislam ya siku nyingi

Kwa hiyo unacho sema ni kwamba JK ni mdini kwa sababu tu haja weka Waislamu na Wakristo 50-50? Na je dini zingine? Maana zipo dini zaidi ya Uislamu na Ukristo. Na je wanawake nao ambao ni 51% ya population? Na je makabila nayo yakianza kudai uwiano?
 
Mie sipo hapa kumtetea JK. Kusema JK ni IGNORANT, ni kuonyesha jinsi gani viongozi wetu wanaposema kuhusu tatizo, wanazungumza kwenye public kuhusu matatizo ya nchi, baaada ya kulitatua tatizo wao bado wanaendelea kulizungumzia bila ya kulitafutia ufumbuzi.
Jambo jengine ni kwamba, JK aliiukuta Udini ndani ya serikali ya TZ. Can he changed? I dont think so. Bado ninaamini Facts za rais kuhusu Udini, sema naona kuna issue kubwa zaidi ya Udini ambayo naona hata Raisi hawezi kubadilisha kwa muda mfupi.

Mkuu nita kuuliza maswali mawili na naomba uyajibu yote.

1. Umesema JK ana facts right? What are those facts? Kwa nini hautaki kujitaja na unaishia tukusema JK ana facts? Kama anazo tutajie.

2. Unasema Tanzania kuna udini. Sheria moja wapo ya uchaguzi ni kwamba ili mtu ashinde uraisi ni kwamba lazima apate 51% of the votes. If that's the case it means JK also needed the votes of Christians. Kama kuna udini kwa nini JK alishinda?
The same case for Mkapa. He needed the votes of Muslims to cross the 51% margin. How did he do so without Muslim votes? If he did udini hapo uko wapi?
 
Waliangalie vipi suala la udini? Wewe ungekuwa kiongozi ungefanya nini ili kuondoa huu udini? Au ushauri wako kwa Kikwete ili aondoe udini afanye nini?

Kazi za serikali ziwe zinatolewa kwa misingi ya haki na bila upendeleo wa kujuana. Hili tatizo linatakiwa litatuliwe kabla halijazidi kuwa Cancer ya taifa.
 
Jk angaliondo malalamiko aliopewa mkapa na waislam, anaglichunguza maujai ya mwembe chai.

That's another topic all together. A new thread can be started for that. Wewe jibu maswali niliyo kuuliza siyo kudivert. Umesema kuangaliwe uwiano wa 50%. JK baraza la mawaziri haliko kama hivyo je what do you say about that? Na dini zingine je? Na Wanawake? Makabila nayo yakidai uiano?
 
kama mimi kiongozi kwanza , ningalijaribu kuweka sawa kati ya niliowachagua ingalikuwa 50% ya waislam na wakiristo. ningalijaribu kuweka sawa uwaino kati ya waislam na wakirito ktk swala la elimu. ningaliondoa manunguniko ya waislam ya siku nyingi

sawasawa; unajuaje hawa ni "waislamu" na hawa ni "wakristu" ili uweze kuwaweka 50% ya waislamu na wakristu - sijui hiyo fifty percent nyingine ni ya watu wa dini gani.
 
Kazi za serikali ziwe zinatolewa kwa misingi ya haki na bila upendeleo wa kujuana. Hili tatizo linatakiwa litatuliwe kabla halijazidi kuwa Cancer ya taifa.

Hii misingi ya haki utaionaje? au unaweza kusema ni ipi? Kwa mfano, kujuana kwa kidini tu au hata kwa kabila, rangi n.k.?
 
Sokomoko, Nimekuomba kwa upole kabisa. Hakuna haja ya kusutana maana tunatafuta ukweli. Mimi nimekubali mjadala huu kwa amani. Hebu fikiria kama hayo uliyoandika ni ukweli, kuna kiongozi wa kiislamu aliyeomba ruzuku akanyimwa? Hata hivyo chuo gani cha 'kikristu' kilijengwa kwa ruzuku ya serikali.

Ninachofahamu kuna Muslim University kule Morogoro. Hiki ni chuo ambacho waislamu hawakuweka hata senti ili kupata majengo hayo. Yalikuwa majengo ya chuo cha TANESCO. Waislamu walipewa bure kabisa tena bila pingamizi. Hapo unasemaje?

Sasa tatizo siyo bure au kununua, eleza mafanikio ya chuo hicho. Kilianza zamani kuliko vyuo vingi vya kikristu lakini leo hii bado kiko chini kabisa ya vyuo na baadhi hata hawajawahi kukisikia. Ukweli waislamu wengi wanasoma vyuo vya madhehebu ya kikristu kuliko chuo hiki ambacho hakitaki hata mukristu aingie hapo kusoma! Au hukusikia kikikataa kuchaguliwa wanafunzi na TCU. Kinachagua chenyewe kwa sifa wanazozifahamu.

Hapo kuna mtu aliyeonewa? Tujaribu kupunguza jazba na dogma. turudi kwenye objectivity. Kosa lao liwe lao na kosa letu liwe letu. Tusihamishe makosa.

Well wewe ni mmoja wa wale waliozugwa kuwa nchi hii kuna baraza la waislam. Msome Mohammed Said kwenye kitabu chake cha Abdulwahid Sykes utajua JKN alivyo ua jumuia ya africa mashariki ya kiislam na kutupandikizia tawi la CCM linaloitwa Bakwata. Kuna ushahidi wa Kanisa katoliki kutoa pesa kuendeshea mkutano mkuu wa bakwata. Amka kijana sio unasema tu soma search utaona habari nyingi nyingi zitakutoa taka za masikio.
 
Mkuu nita kuuliza maswali mawili na naomba uyajibu yote.

1. Umesema JK ana facts right? What are those facts? Kwa nini hautaki kujitaja na unaishia tukusema JK ana facts? Kama anazo tutajie.

2. Unasema Tanzania kuna udini. Sheria moja wapo ya uchaguzi ni kwamba ili mtu ashinde uraisi ni kwamba lazima apate 51% of the votes. If that's the case it means JK also needed the votes of Christians. Kama kuna udini kwa nini JK alishinda?
The same case for Mkapa. He needed the votes of Muslims to cross the 51% margin. How did he do so without Muslim votes? If he did udini hapo uko wapi?

Sasa wewe unaanza kuignore really issue. Fact aliyosema rais ni kwamba TZ kuna Udini.
Pili, hapo ndipo utakapokuwa unaignore facts. Kwa nini nimesema hivyo, study CCM for example, utaona kila baada ya miaka kumi wanabadilishana, kwamba Rais lazima awe anatoka ktk dini fulani ili wawe wanapokezana between Christian na Muslim. Hii issue iliwahi kutokea Dodoma wakati JK aliposhinda mwaka 1995 lakini Nyerere, alisema hii haitakuwa fair kwa Wakristo kwa sababu Mwinyi ambaye ni muislamu ndiye alikuwa anamaliza kuwa rais.
Sasa kwa wewe kuignore hizo fact ni kubisha vitu bila ya msingi.
 
Hii misingi ya haki utaionaje? au unaweza kusema ni ipi? Kwa mfano, kujuana kwa kidini tu au hata kwa kabila, rangi n.k.?

Kwanza lazima tuwe na viongozi ambao wanapresent geographic ya TZ, dini tofauti tofauti,kabila tofauti tofauti. Tuwe na viongozi ambao wametoka mikoa tofauti tofauti ili kuwe na haki ktk geographic ambayo inapresent TZ, na siyo mikoa fulani, na dini fulani tu. Tukijenga nchi kwa misingi ya usawa tutafika mbali sana as a Nation, lakini siyo kama sasa hivi, watu wanapeana kazi kwa kujuana. Matokeo yake, ndiyo tunaona vita katika nchi kama Sudan, Rwanda, Congo, nk.
 
Sasa wewe unaanza kuignore really issue. Fact aliyosema rais ni kwamba TZ kuna Udini.
Pili, hapo ndipo utakapokuwa unaignore facts. Kwa nini nimesema hivyo, study CCM for example, utaona kila baada ya miaka kumi wanabadilishana, kwamba Rais lazima awe anatoka ktk dini fulani ili wawe wanapokezana between Christian na Muslim. Hii issue iliwahi kutokea Dodoma wakati JK aliposhinda mwaka 1995 lakini Nyerere, alisema hii haitakuwa fair kwa Wakristo kwa sababu Mwinyi ambaye ni muislamu ndiye alikuwa anamaliza kuwa rais.
Sasa kwa wewe kuignore hizo fact ni kubisha vitu bila ya msingi.

Mkuu nimekuuliza maswali mawili hapo juu hauja jibu ume kimbilia kutoa maelezo. Kwa hiyo inaonyesha wewe ndiye ambae una pinga bila msingi kwa sababu umesema JK ana facts lakini mpaka sasa umeshindwa kutaja hata moja. Naomba ujibu maswali. Hizo faccts za JK alizo tumia ni zipi? Si utoe? Kama ana facts ukisha nipa naweza kukubaliana na hoja. So zitoe.
Swali la pili ni kuhusu uchaguzi wetu. Kama kuna udini iweje Wakristo wampigia kura mgombea Muislamu na iweje Waislamu wampigie kura mgombea Mkristo? Au huna majibu?

Kuhusu swala lako la CCM hapo juu Nyerere hakumpinga JK kwa sababu ya dini yake. Sababu aliyo toa ipo wazi na alisema kabisa kwa sababu JK bado ni kijana mdogo which means Nyerere aliangalia experience na siyo dini.
 
Unajuaje mtu fulani ni wa dini fulani na mwingine ni dini nyingine ili uweze kuwagawanya bila kuwapendelea?
 
Sasa wewe unaanza kuignore really issue. Fact aliyosema rais ni kwamba TZ kuna Udini.
Pili, hapo ndipo utakapokuwa unaignore facts. Kwa nini nimesema hivyo, study CCM for example, utaona kila baada ya miaka kumi wanabadilishana, kwamba Rais lazima awe anatoka ktk dini fulani ili wawe wanapokezana between Christian na Muslim. Hii issue iliwahi kutokea Dodoma wakati JK aliposhinda mwaka 1995 lakini Nyerere, alisema hii haitakuwa fair kwa Wakristo kwa sababu Mwinyi ambaye ni muislamu ndiye alikuwa anamaliza kuwa rais.
Sasa kwa wewe kuignore hizo fact ni kubisha vitu bila ya msingi.

a. Una maana CCM isimsimamishe mgombea muislamu hata kama anakubalika ifikapo 2015?

b. Nyerere alisema wapi hayo kuwa "haitakuwa fair"?
 
Mkuu nimekuuliza maswali mawili hapo juu hauja jibu ume kimbilia kutoa maelezo. Kwa hiyo inaonyesha wewe ndiye ambae una pinga bila msingi kwa sababu umesema JK ana facts lakini mpaka sasa umeshindwa kutaja hata moja. Naomba ujibu maswali. Hizo faccts za JK alizo tumia ni zipi? Si utoe? Kama ana facts ukisha nipa naweza kukubaliana na hoja. So zitoe.
Swali la pili ni kuhusu uchaguzi wetu. Kama kuna udini iweje Wakristo wampigia kura mgombea Muislamu na iweje Waislamu wampigie kura mgombea Mkristo? Au huna majibu?

Kuhusu swala lako la CCM hapo juu Nyerere hakumpinga JK kwa sababu ya dini yake. Sababu aliyo toa ipo wazi na alisema kabisa kwa sababu JK bado ni kijana mdogo which means Nyerere aliangalia experience na siyo dini.

Sasa wewe unaanza kuignore really issue.
1: Fact aliyosema rais ni kwamba TZ kuna Udini.

Pili, hapo ndipo utakapokuwa unaignore facts. Kwa nini nimesema hivyo, study CCM for example, utaona kila baada ya miaka kumi wanabadilishana, kwamba Rais lazima awe anatoka ktk dini fulani ili wawe wanapokezana between Christian na Muslim. Waislamu au Wakristo kumpigia mtu ambaye si wa dini yao ni kwa sababu hiyo ya kubadilishana Rais. WTZ wengi wanaelewa issue hii ya kupokezana ndiyo maana unaona hii issue imeshaanza kueleweka miongoni mwa WTZ

3: Hii issue iliwahi kutokea Dodoma wakati JK aliposhinda mwaka 1995 lakini Nyerere, alisema hii haitakuwa fair kwa Wakristo kwa sababu Mwinyi ambaye ni muislamu ndiye alikuwa anamaliza kuwa rais. Wewe ukisema kwamba Nyerere alisema kwamba JK ni kijana mdogo, basi umesikia vingine na mimi nimesikia vingine. Lakini ukiangalia the way JK went through, halafu aje atoe speech in public level kuhusu Udini, ni evidence tosha kwamba Udini ndiyo ilikuwa issue ya yeye kunyimwa wakati ule.

Back
Top Bottom