Je, Kikwete ni mdini?

Je, Kikwete ni mdini?

kikwete si mdini ila anadini

Hilo halihitaji kuvaa miwani mkuu, nadhani angekuwa ana cheo cha usheikh sijui ingekuwaje maana wanamshutumu mgombea wao wa urasi ana cheo cha upadri na watu makini hawasemi mambo ya kidini.
 
Hilo halihitaji kuvaa miwani mkuu, nadhani angekuwa ana cheo cha usheikh sijui ingekuwaje maana wanamshutumu mgombea wao wa urasi ana cheo cha upadri na watu makini hawasemi mambo ya kidini.

NAONA WAMEJIFICHA!

Unajuwa hii nchi ilipo sasa hivi na hizi fyoko fyoko za udini zinazoibuliwa; wanakuja kfa watu hapa!! Watu wanatakiwa watumie vitu vyengine kama mtaji na Sio DINI.

TUPATE TAKWIMU ZA POPULATION YA WATANZANIA NA DINI ZAO.

Mimi ningekuwa Tendwa ningefutilia mbali CUF na CHADEMA.
 
NAONA WAMEJIFICHA! Unajuwa hii nchi ilipo sasa hivi na hizi fyoko fyoko za udini zinazoibuliwa; wanakuja kfa watu hapa!! Watu wanatakiwa watumie vitu vyengine kama mtaji na Sio DINI.TUPATE TAKWIMU ZA POPULATION YA WATANZANIA NA DINI ZAO.Mimi ningekuwa Tendwa ningefutilia mbali CUF na CHADEMA.
Mpumbavu wewe ndio maana hukuwa Tendwa.
 
Hivi wewe Msingi Hoja aliekwambia kwamba humu ndani tunatupiana matusi kama uwanja wa fisi ni nani?

Chadema na CUF wamesaliti Watanzania kwa kutumia Dini kama mtaji wa Siasa. Tukemee kitendo hicho kinacholenga kuvunja umoja wetu, kubaguana kwa misingi ya Dini. Tena ni hatari kwani kinaweza kupelekea uvunjifu wa amani.

Wewe unakurupuka na mitusi yako huko utasema umefumania mpenzi wako aki - saliti penzi!

Mpumbavu wewe ndio maana hukuwa Tendwa.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wabunge watatu wapya kwa mujibu wa mamlaka ya uteuzi aliyo nayo chini ya Ibara ya 66(i) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wabunge hao wapya ni Profesa Sospeter Muhongo, Bi. Janet Mbene na Bwana James Mbatia.

Uteuzi huo unaanza mara moja.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
3 Mei, 2012
 
Hongera kwa walioteuliwa wachape kazi................................
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Wabunge watatu (3) kwa mujibu wa Ibara ya 66 (1) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, kama ilivyorekebishwa na kupewa mamlaka ya kuteua Wabunge 10.

Wabunge walioteuliwa ni Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa na Ndugu Zakia Hamdan Meghji.

Rais atateua wengine waliosalia siku zijazo.

Rais Kikwete ameshawasilisha majina ya wateule hao kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Anne Semamba Makinda (Mb) kwa ajili ya hatua zipasazo.

MWISHO
Imetolewa na Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
Ikulu.
Dodoma
 
Wanatakiwa wakapige kazi mkuu waache longolongo
 
Bavicha hawajawahi kukosa cha kulalamikia. Huyu waliemuita mdini, leo ndo shujaa wao
 
RC litakuwa active sana kumchokonoa JAFO/J MAKAMBA comes 2025.
 
Mleta mada anajibu hoja za waliokuwa wakimuita JK mdini.

Kama ulikuwa unasoma JF enzi hizo ungeona namba gani JK alikuwa akishambuliwa humu kwa kuitwa mdini eti anapendelea waislamu

Wewe ndo Hujasoma mada...mtoa mada alikuwa analalamika kichizi na kuingiza Udini na ana historia hiyk,,Yeye analalamika kuwa wakristo wasiseme JK ni mdini ilhali Bongo waislam wanakandamizwa

Waislam walikuwa na taasisi nyingi na shule nyingi, shule hizi zilitaifishwa na serikali....
Nyumba nyingi za NHC ni za waislamu zilitaifishwa enzi za uhujumu uchumi ili kukwamisha maendeleo ya waislam... ....
...maana kuna vinanda vinalia kila ofisi ya serikali na mauwa ya chrismass acheni hizo chuki.
 
Back
Top Bottom