Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

ram.........nakumbuka wakati nilipofahamu tu kuhusu uwepo wa (wakati ule) Jambo Forum, nilikuwa navutiwa sana na mijadala ambayo hawa jamaa walikuwa wanaanzisha na kuchangia. Now that you have mentioned them, najumuika nawe katika kuuliza wako wapi?!
 
Walisoma kitabu "is it possible" wakiwa sekondari wataona neno "sting" lina maana gani. Ni moja ya vitabu nilivyovifurahia sana. Pia kwa wale wanaopenda filamu za James Bond wataelewa maana ya "007" Filamu za James Bond nazifurahia sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kadoda=m2 fulan mjanja mjanja mwenye upeo mkubwa wa kuelewa v2 vingi.na2mia namba 11 baada ya sever ya JF kugoma kuikubali ID ya kadoda.nikaona ngoja nizitupie 11 kwa mbele yake.ila kwa kikwe2 kadoda ina maana zaidi ya niliyo jitafsiria.wazee wa kingon wanaweza ku2saidia.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Billie ni jina kutokana na rafiki yangu Bill Gates kwa kuwa tunashare vitu vingi ikiwemo jina,birthday na some traits za jamaa nahisi ninazo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wajamani, hebu tusema, hizi user names kila mtu anayo yake, nini haswa chanzo chake? sababu haswa nini?
Kwa mfano,
"Mwanakijiji" kwa nini iwe hilo jina wakati unaishi mjini? (I guess)
Au, "Pdidy" kisa cha kutumia jina la mmarekani?

BTW, "Futota" ina maana "ame/nime nenepa" kwa Kijapani; na mimi si haba nyama za mwili sijanyimwa:lol:
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna thread maalum ya Bubu Ataka Kusema inayoelezea IDs zote na maana zake!
Ile itakurahisishia sana swali lako!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
pepim ni kifupi cha majina yangu matatu..Ambayo ni mjumuisho wa jina langu la baba na la babu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
client3 kipindi najoin nilitokea sana kupenda jf nikawa teja silali bila kuperuzi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Polite ni nickname nilopewa na wanafunzi toko primary mpaka nagraduate chuo na ndugu huniambia nimerithi hulka za upole toka kwa mama yangu ambaye ni mpole sana but baba ni mkali kama mbilimbi, me mwenye huwa sijioni kama ni pole kias hicho
 
  • Thanks
Reactions: BAK
client3 kipindi najoin nilitokea sana kupenda jf nikawa teja silali bila kuperuzi

Haya nawe naona umeshakuwa teja :):)...shurti upite mitaa hii ndio upate usingizi :):)

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom