Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 11,247
- 19,088
Hayajapita, hizo ndege zipo, ziuzwe tufunge hii chapta. Nimeongea tatizo na suluhisho lake. Watu wenye busara wanaongea hivyo, hawaongei kukosoa tu kama unavyofanya wewe"Tunachokijua" Kama mnajua mnahangaika na nini hapa sasa?
Kwanza Watu huwa tunaishi kwa kwenda mbele sawa na wewe uliona wapi Mtu anatembea kinyume nyume...
Ulishawahi kufika hata airport kweli wewe kilaza? Hao abiria wanaojaa pale utawasafirisha na nini.Kulikuwa na ubishi humu ndege za Dreamliner na Airbus ziliponunuliwa, kwamba hilo lilikuwa jambo la manufaa kwa wananchi wa Tanzania. Hilo nimelipinga siku zote, kwa sababu unaposema manufaa kwa Watanzania, Watanzania wepi ewa na vichwa vya treni vya kutosha kuanza safari za treni za kila siku na kuwanufaisha Watanzania wa aina zote na kuchangia mapato ya serikali. Hili sio suala la Chadema au CCM, ni suala ambalo viongozi wenye busara wataliona liko wazi kabisa.
Wewe ndio kilaza hujapita airport. Hao abiria waliojaa airport wamejaa pale kwa ajili kupanda ndege za ATCL?Ulishawahi kufika hata airport kweli wewe kilaza? Hao abiria wanaojaa pale utawasafirisha na nini.
Kutwa kuponda ATCL yetu alafu kutwa kusifia Kenya na Rwanda airways
100%vNaunga hoja uza zote zibaki ndege 3 moja ya kimataifa moja route za ndani nyingine ya mizigo. Ccm ni vilaza Sana hawaelewi wapo kwaajili ya nn maboga kabisa inauma kweli yani
Kwa maelezo yako haya wewe ni kilaza haujawahi kukanyaga airport hata siku moja.Wewe ndio kilaza hujapita airport. Hao abiria waliojaa airport wamejaa pale kwa ajili kupanda ndege za ATCL?
Funga ATCL yako ya kiyeboyebo uone kama hakutakuwa na abiria wamejaa airport
Uliza Watanzania wangapi wako tayari kwenda China kutumia ATCL badala ya Emirates au Ethiopian Airlines, mbumbumbu mkubwa.
Sawa. Umefurahi kujua hivyo? Hongera wewe basi unaepanda ndege. Ndio maana mimi mpanda treni nasema ziuzwe kwa sababu wapanda treni tupo wengi kuliko nyie wapanda ndegeKwa maelezo yako haya wewe ni kilaza haujawahi kukanyaga airport hata siku moja.
Hata hivo mabehewa yamebadilishwa gia angani kutoka SGR automatic kwenda MGR manually dunia inakwenda kwakasi sanaKulikuwa na ubishi humu ndege za Dreamliner na Airbus ziliponunuliwa, kwamba hilo lilikuwa jambo la manufaa kwa wananchi wa Tanzania. Hilo nimelipinga siku zote, kwa sababu unaposema manufaa kwa Watanzania, Watanzania wepi wanaopanda hizo ndege? Na hata ukisema wengine wanafaidika indirectly, kuna siku ATCL imepata faida ili hata Watanzania wasiopanda ndege wafaidike na mapato yanayoingizwa na hizo ndege?
Siku zote nimefikiria kwamba tuna reli ambayo ndio inafaidisha watanzania wote - wale wanaopanda first class, second class na hata third class. Lakini huduma za reli nchini ziko taabani. Treni ya abiria kwenda Kigoma ni mara mbili kwa wiki - kwa kuwa hatuna mabehewa na vichwa vya kutosha.
Sasa hawa viongozi, huyu Magufuli, alihitaji degree ngapi kutambua kwamba ilikuwa afadhali kununua mabehewa hata 200 na vichwa vya treni vya kutosha ili kurudisha hali ya zamani kwamba treni zinafanya safari za mikoani kila siku? Kweli hilo lisingekuwa bora sana kuliko hizi ndege ambazo kila siku zinapaki bila kufanya kazi au zinakamatwa kwa sababu za mambo ya kilevi tu yanayofanywa na viongozi?
Kwa kuwa tulinunua hizi ndege kwa cash, mie ninapendekeza ziuzwe zote ili tukanunue mabehewa na vichwa vya treni vya kutosha kuanza safari za treni za kila siku na kuwanufaisha Watanzania wa aina zote na kuchangia mapato ya serikali. Hili sio suala la Chadema au CCM, ni suala ambalo viongozi wenye busara wataliona liko wazi kabisa.
Kinachopondwa ni gharama za ununuzi wa mabehea mitumba kwa gharama za juu,na si usafirishaji wa treniUlishawahi kufika hata airport kweli wewe kilaza? Hao abiria wanaojaa pale utawasafirisha na nini.
Kutwa kuponda ATCL yetu alafu kutwa kusifia Kenya na Rwanda airways
Behewa moja billion ngapi?View attachment 2447439
Tunapoongelewa kunufaisha Watanzania wote, ni kufanya vitu kama hivi, sio kununua Dreamliner. Hawa abiria wananufaikaje na hizo Dreamliner zilizopaki?
kuna watanzania wangapi wenye uwezo wa kusafiri kwa ndege kutoka Dar kwenda Kigoma? unawaita watu vilaza wakati wewe na huyo aliyenunua ndege ni vilaza wa kutupwa?Ulishawahi kufika hata airport kweli wewe kilaza? Hao abiria wanaojaa pale utawasafirisha na nini.
Kutwa kuponda ATCL yetu alafu kutwa kusifia Kenya na Rwanda airways
Lengo ilikuwa ni kupiga pesa wala hakuwa na nia njema yoyoteKulikuwa na ubishi humu ndege za Dreamliner na Airbus ziliponunuliwa, kwamba hilo lilikuwa jambo la manufaa kwa wananchi wa Tanzania. Hilo nimelipinga siku zote, kwa sababu unaposema manufaa kwa Watanzania, Watanzania wepi wanaopanda hizo ndege? Na hata ukisema wengine wanafaidika indirectly, kuna siku ATCL imepata faida ili hata Watanzania wasiopanda ndege wafaidike na mapato yanayoingizwa na hizo ndege?
Siku zote nimefikiria kwamba tuna reli ambayo ndio inafaidisha watanzania wote - wale wanaopanda first class, second class na hata third class. Lakini huduma za reli nchini ziko taabani. Treni ya abiria kwenda Kigoma ni mara mbili kwa wiki - kwa kuwa hatuna mabehewa na vichwa vya kutosha.
Sasa hawa viongozi, huyu Magufuli, alihitaji degree ngapi kutambua kwamba ilikuwa afadhali kununua mabehewa hata 200 na vichwa vya treni vya kutosha ili kurudisha hali ya zamani kwamba treni zinafanya safari za mikoani kila siku? Kweli hilo lisingekuwa bora sana kuliko hizi ndege ambazo kila siku zinapaki bila kufanya kazi au zinakamatwa kwa sababu za mambo ya kilevi tu yanayofanywa na viongozi?
Kwa kuwa tulinunua hizi ndege kwa cash, mie ninapendekeza ziuzwe zote ili tukanunue mabehewa na vichwa vya treni vya kutosha kuanza safari za treni za kila siku na kuwanufaisha Watanzania wa aina zote na kuchangia mapato ya serikali. Hili sio suala la Chadema au CCM, ni suala ambalo viongozi wenye busara wataliona liko wazi kabisa.
Nadhani katika kuendeleza reli tunahujumiwa kindani. Ona nauli za SGR walizoweka, kama vile kuwaambia watu wasithubutu kwenda SGR waendelee kupanda mabasi!Wanasiasa wana mikopo bank, wamekopa pesa nyingi kununua mabus. Ukiweka train za uhakika utawafanya wafe na ugonjwa wa moyo
Kichwa cha treni ya umeme ni kama USD 3MBehewa moja billion ngapi?
Nadhani kwa takwimu hizi utaona mambo yalifanyika kinyume kabisa cha maumbileKichwa cha treni ya umeme ni kama USD 3M
Behewa la abiria ni kama USD 1,300,000
Behewa la abiria la ghorofa ni kama USD 1,600,000
Behewa la kulala USD 1,600,000
Buffet car ni USD 2,000,000
Uhai wake ni kama miaka 25, na gharama za kuendesha (maintanance cost) ni ndogo sana kulinganisha na ndege
Bei ya Dreamliner moja ni kama USD 250m
Kwa hiyo Dreamliner moja inanunua mabehwa 190 ya kukaa, au 155 ya kulala, au vichwa 80 vya treni za umeme