Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 3,980
- 12,993
Nimeona bana upopoma wake cheki #15
We certified kiranja wa mapopoma Kuna jamaa anaitwa Mwalimu wa tuisheni anakutafuta.Una Ubongo mbovu uliojaa Matatizo tu.
Uko sahihi kabisa.saluyeLugha yoyote ukiipenda....ukijitoa kuipenda kwa kutaka uijue vyema kwa ARI KUBWA NA KUJIFUNZA basi utaifahamu vyema tu....
Kuna watu wana ufaswaha mwepesi wa kutamka maneno ya lugha ya kigeni kuliko wengine....inaonekana "brain centers" zao za lugha ziko "strong" kuliko wengine, hawa hawatumii nguvu kubwa iliyopitiliza kuliko makundi mengine.
Kwa makundi mengine wasio wao huhitajika kujitoa mno....mno haswa ikiwa hiyo lugha ya kigeni anajifunza mtu akiwa ukubwani.
Ninaamini mbali na JUHUDI KUBWA aliyokuwa nayo mathalani hayati Ben.Mkapa ila pia "language center yake upstairs" ilikuwa iko vyema sana.
Hayati Mkapa alikuwa anapenda sana kusoma lugha ya KIINGEREZA kupitia vitabu vya tamthilia za kiingereza,michezo,riwaya na hadithi.Alipenda makala tofauti kupitia lugha hiyo....yuko mzee mmoja alipata kuhadithia kuwa huko Makerere hayati Mkapa alikuwa moto mno.....sawa na jamaa wa Kijaluo kutoka nchini Kenya WALIOKUWA huko chuoni.
Kiufupi hayati Mkapa alikuwa CHARISMATIC aliyependa sana "kumaintain classy" driving force aliyokuwa nayo ilitoka moyoni (passion).
Kuhusu hayati baba wa taifa JKN "ugenius wake" charisma yake ya kiuongozi ,kupenda sana kusoma ,kupata elimu MAKERERE na EDINBURGH kulimsaidia sana....alijiandaa kujua mengi ili kuwakabili wazungu kwa HOJA ZA MOTO.
#KaziIendelee
Naam komredi👍
Mkuu, nadhani huyu Ndugu (Salim A Salim) zaidi ya asilimia 90 ya maisha yake ya kikazi alikuwa nje ya Nchi ambako alikuwa akihudumu kama Balozi wa Tanzania na hatimae kugombea nafasi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kisha akahudumu kama Katibu Mkuu wa OAU. Kwa mantiki hiyo, sichelei kusema kwamba alikijua kingereza kama lugha yake ya kuzaliwa, tofauti na hao wawili.Na Salim Ahmed Salim yuko vizuri
Natamani sana nami GENTAMYCINE nijue Kuongea Kiingereza kizuri kama cha akina Nyerere na Mkapa na siyo nije nikijue vizuri baada ya Kustaafu Majukumu yangu au niwe nakiongea kwa kutegemea Kuandikiwa kisha kila nikiwa nahutubia niwe 'nazuga' kwa Kukiongea kwa Sekunde Tano, nakunywa Maji na nakohoa ili kuwaonyesha wanaonisikiliza kuwa nakijua kisha narejea tena Kusoma huku nikiwa natetemeka na kila mara.
ANGALIZO
Kujua Kiingereza si lazima kwani Kiswahili, Kizanaki na Kinyarwanda kinatosha na wala kujua Kiingereza si kipimo cha ama Mtu kuwa Msomi (Intellectual) au Mwerevu (Brainiac) katika Jamii ila katka Uga wa Kimataifa na kwa Heshima ya Lugha ya Kiingereza tokea enzi na enzi kutokujua Kiingereza (Kiswahili cha duniani kama alivyowahi kusema Mwalimu Nyerere) wakati hata 'Mitaala' yetu ya Elimu ni ya Kiingereza kunaweza Kutafsiriwa ni Uwendawazimu na Unafiki usiovumilika.
If that is the case!! I deeply doughty about your capacity of analyzing things academic wise !!!!! Oohh! Yes! you'r here by mistakes, Julius was and still is far better, philosophically!! not only local but worldwide! come what may!! en! you cannot snatch't away from him!!!Flow yake ipi ??!! 🤣
I am not impressed by his flow utajamba kifukutooo !!
In respond to your concealed agendas some where there! let me tell you something you dont know ''Julius kambarage Nyororo is our role Model! never ever!! try!! in one way or another to down trode him!! ......unless other wiseFlow yake ipi ??!! 🤣
I am not impressed by his flow utajamba kifukutooo !!
Usimfananishe Nyerere na vitu vya hovyo..Kiingereza cha Nyerere kilikuwa poor, Kiingereza kilikuwa na Augustino Mahiga.
Stop mentality! ya kunilisha maneno ''unless other wise you did'nt dig ma' point!!... just because of your useless superiority complexes! ...did I mention de word ''Worshiping'' of some body in ma previous statement??'' ....And stop worshipping Nyerere as your God for he stood as a mortal human being.
Labda hukuelewa nilicho kiandika!! aliye tamba anajua Lugha nyingi ni wewe! mie nimekuelimisha tu!! kwamba Lugha ya opressors wako hiyo!! siyo mali kitu!! zaidi watakudharau tu nawajua sana hao!! nikasisitiza siyo ujanja! hapo naona umenielewa!asa usije hapa kutamba kwamba unajua lugha nyingi!!!--- hapa sio mahala pake, kama unataka mashindano ya linguistics basi fungua uzi na ukaribishe watu huko.
You are not impressed at the same time!! you respect him!!! ......I am not impressed by J k Nyerere spoken English, Saying so I don't mean a disrespect to him, I respect him as
Basi Sawa mkuu..Wewe bado ni mtoto mdogo kwangu, mimi nimesoma Azania zama za Waalimu wa lugha ya Kiingereza akina madam Menezes na Dimelow (Indians) na Sir Bosco Jutha (Mswahili), nimesoma Kibaha high school nimefundishwa na akina Mzee Yona Kazibure (marehemu na Mungu amlaze mahali pema peponi) huyu alisomea Uingereza Telecom Engineering, kifupi nimefundishwa na Waalimu wengi wa hiyo lugha na wasiokuwa waalimu wa hiyo lugha ambao wamenifundisha masomo mengine kupitia hiyo lugha kwa maana hiyo nimekuwa katika uwanja mpana kwa muda mrefu katika Lugha hiyo japo siwezi kudai kwamba mimi ni mwamba katika hiyo lugha lakini hiyo hainiondolei haki ya kuamua au kumpima mtu uwezo wake wa kuongea hiyo lugha kwani uzoefu wa kimazingira niliopitia/ninaopitia wa Lugha hiyo unanipa haki ya kutoa maoni yangu na kutoa maoni au mtazamo sio kashfa, dhambi au kuteza heshima ya mtu tunayemjadili isitoshe haihitaji mtu ujue kucheza mpira ndipo upate haki ya kumkosoa mchezaji anapokosea uwanjani, ni experience tu ya kuangalia sana mpira ndiyo inayomfanya mtu aseme mchezaji fulani ni mzuri au ni mbaya uwanjani au kakosea hapa na pale nk.
Kwa bahati nzuri nimesikiliza hotuba kadhaa za mwalimu akiongea kiingereza--- bila kusoma mahali popote (free speaking) na ninasema--with due respect-- "I am not impressed by Mwalimu Spoken English".
Yeees!! Mie nimpumbavu!!...ndo kawaida sisi Ma-idealistic wapevu kuitwa ivo!! ni cheo!! ita tena...... sawa!! sawa wewe mjanja kiingereza chako ulichokwenda kuongea UNO wakakuelewa kiko wapi??..sivutiwi na kiingereza chake cha kuongea"---- hayo maoni na fikra zangu jinsi ninavyo au nilivyomuona na huwezi kuzibadilisha kamwe juu ya Mwalimu. Huwezi kamwe kunifanya nimuone katika jambo hilo jinsi wewe kwa mtazamo wako unavyomuona Mwalimu katika jambo hilo, wewe ni wewe na mimi ni mimi--- two different persons reared, schooled etc, at different environments.
Hakuna kitu acha sifa za kishamba wewe mzee Mwlm Segua segua unamjua wewe!!.....km humjui weye ni mtoto wa juzi!Wewe bado ni mtoto mdogo kwangu, mimi nimesoma Azania zama za Waalimu wa lugha ya Kiingereza akina madam Menezes na Dimelow
Mwenyewe ndo uko hivo km ulivo sema stress za maisha zina kusumbua ....km unajua alikuwa na mapungufu ya kibinadamu Mazuri yake mengi yanambeba....primitive life failure to hell!Blind fool. Kumbe naongea na mwendawazimu,😀
Kwakuwa kichwa chako ni kama chicken gizzard, narudia kusema hivi; Nyerere namuheshimu na nitaendelea kumuheshimu kwa mambo mema aliyoyafanya na sio kwa mabaya aliyofanya kwani yapo mabaya ya kibinadamu aliyafanya, hayo mazuri yake hayanifanyi mimi niwe mentally blind folded kama wewe kwa kutokusema yale yasiyokuvutia kutoka kwake, ndio ma
Mkuu umeongea vizuri sana. Hii komenti Yako ilipashwa iwe hitimisho la huu Uzi. Asante sana.Tofauti ya kuongea kingereza kati ya Mahiga na Nyerere ni hii:
Nyerere anaongea kingereza kwa kutumia lafudhi yake ya kizanaki (kiafrika) ila matamshi mazuri na mtiririko mzuri wa lugha hiyo.
Mahiga anaongea kwa kuiga lafudhi ya kigeni na anaongea kama siyo yeye mwenyewe. Ni kama ana soma taarifa ya habari! Pia anafikiria kila neno kabla ya kulitamka ili aendelee kuiga ile lafudhi ambayo siyo yake. Anajaribu kuficha kihehe na hapo ndipo ana haribu.
My take - Nyerere is better