Hii inawezekana?

koba lee

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
964
1,552
Wakuu kwema?
Niende kwenye mada husika. Nimepata dharura ambayo nahitaji kiasi cha sh. Laki 8 kwa dhamana ya gari.
Sasa hapo kwenye gari ndo nahitaji msaada wenu. Gari ni aina ya PORTE niliichukua kwa mtu kwa gharama ya sh mil.6 mwaka jana mwezi wa 7.

Tatizo ni kwamba sijabadili umiliki wa gari, yaani kwenye kadi ya gari lionekane jina langu. Japokuwa nyaraka za mauziano zipo.

Swali ni je naweza kupata mkopo kwa kulitumia gari kama dhamana?

Kama jibu ni ndio basi yoyote ambaye yuko tayari basi tufanye biashara.
 
Mkuu pole kwa hizo changamoto unazopitia ila naamini utapata mtu wa kuwekana sawa ..yataisha soon
 
Back
Top Bottom