lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,909
- 3,342
Hiyo ni elimu humu pia wasiojua wanatakiwa kujua inakuwaje.
Bi alert pia kwa wahusika wengine kuongeza umakini kisitokee kama hichi.
Kikubwa o kidogo inategemea umelichukuliaje jambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bi alert pia kwa wahusika wengine kuongeza umakini kisitokee kama hichi.
Kikubwa o kidogo inategemea umelichukuliaje jambo.
Ndio maana nasema Ni mambo ya kipumbavu kwa sababu hakukuwa na ulazima wa kuweka humu Zaid ya kumuelimisha aliendika hyo stakabadhi
Kuweka humu haitosaidia kumuelimisha huyo aliekosea Jambo jema na busara Ni kumuelemisha hapo hapo alipo na kuchapa mwendo
Kuweka humu Ni kutafuta kiki za kipumbavu tu kwa mtu mmoja kukosea.kwa maana hakuna binadamu aliekamilika hata Mara Moja huo uhasibu nilishaupitia miaka hyo iliyopita na Nina elewa Kuna vitu ukivipa nafas vitapoteza muda wako wa kufikiria mambo ya msingi.
Wakati inaandikwa nadhani mhusika alikuwepo kwann asimwambie kuwa amekosea????
Mpaka anapewa stakabadhi anaiyona imekosewa kwann asiende sehemu husika kwa aliekuwa juu ya alieandika ili iwe cancelled na stakabadhi ilirudishwa mahala pake ikiwa cancelled?????
Kuleta humu Ni unafki na majungu tu
kilicho akilini kitumie
Sent using Jamii Forums mobile app