Naona vijana mnabadilishana mawili matatu safi sana mimi nasoma tuu kipenzi.Niko poa sis!! Tunasogeza masaa tu hapa!! Miss you more sis akeeπ
Mi mwenyewe nasoma koments tu dadakee πππ!! Jf mapendo daimaaaaaaπ€£π€£Naona vijana mnabadilishana mawili matatu safi sana mimi nasoma tuu kipenzi.
Kuna lile wanalipendagaa β what do you do for a livingβHaya mambo ni ntu na ntu. Kuna siku nilifatwa PM nikaulizwa katika maswali ya mwanzoni kabisa unafanya kazi gani. Nikajibu napikaga vitumbua mkuu. Ah nikaona vumbi tu....hivi si wapika vitumbua mnatuonaje??π€£π€£
Hahahah π π π π umenikumbusha shule hahaha. DaimaaaaaMi mwenyewe nasoma koments tu dadakee πππ!! Jf mapendo daimaaaaaaπ€£π€£
πππ
Ohoo! Siri zimeanza kufichuka sasa!Ila unaye mpenda mtu humu ni Sophie na even salt hao ukiwasikia na Kelsea wewe unaweweseka
ππAnanisingizia
Hadi wewe jamani mpole hivyooHahhahaaa imekwisha ππ
humu sio pa kumuamini mtu
tuchat na yaiishe jukwaani.
Hapana banaaaa...πππππJf... mapendo daimaaaaaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ jf nyosooo
Hadi Tin kapigwa tukio, wanaume wa humu wana bayaaa πππ
π€£π€£π ukampenda ajeSina hamu na jf
kwa sasa sitaki habari hizo humu .
nilimpenda mtu , na nimeishia kucheka
Ni kusambaza na kugawana au sioo π€£π€£π€£π€ΈHapana banaaaa...πππππJf... mapendo daimaaaaaπ€£π€£π€¦π€£