Je, hili limewahi kukutokea?

Acha tu mie hadi tulionana hadi Raha kabisa anajua kitu caring Ile kukataa atakacho basi
Hongera walau ulipiga hatua moja mbele.

Mie mdau wangu niliyemuongelea akili yake ina uwezo mkubwa wa kupambanua mambo haraka mno, imebidi niandike kwa tahadhari kubwa na nitumie ID mbadala. Hapa nikithubutu kutaja tukio moja tu, lazima agundue namuongelea yeye. Sijui ingekuwaje kama tungepata fursa ku-consume lile penzi!

J jamani, so romantic, so briliant. Mwanadamu anayejitambua nafsi yake. Hatimaye imebaki stori.
 
Kwamba hamkuonana kabisa? Nimecheka asee!!
Ukumbuke tuliamini kwamba kila mmoja ndio kafika. Hatukuwa na haraka wala papara. Picha tulibadilishana chache (Carefully selected πŸ˜›) kwa madai ya kuvizia kutovuruga suprise ya kukutana ana kwa ana (which never came to pass πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚)na tulizoea kutumiana voice notes mara kwa mara. Kiujumla ukaribu 'wenye afya ' ulikuwepo.
 
[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]Yan weeewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yebu namie nifanye mpango nikutane na mtu tuwekaneeee aririririririiiiiiiiiii! Au niseme aniwekeπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€­πŸ€­πŸ€­ πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ˜πŸ˜!!
Yukwapi sasaπŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Kwa hiyo mliachana bila kuonana kabisa? Aisee
 
He! Leo ndo najua kuna haya maajabu jf. Au namimi uskute kuna mtu ananipenda na sijui.. Anaenipenda awe wazi nimjue πŸ€£πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…