Je, hili limewahi kukutokea?

Narudia tena, ukiona watu wanapendana humu we jua tu hawa hawajakutana bado! Siku wakikutana tu kila kitu kinaishia hapo hapo na kila mmoja anashika 50 zake 😀
Na wanaweza pia wasionane
Ila vizinga na kutotoa chiu vitawasambaratisha 🤣🤣🤣🤣🤸
 
Acha tu mkuu.. Unakuta mtu kaweka ki avatar kama cha Antonia hapo.. Siku ukikutana nae sasa we una picha hiyo ya avatar kichwani.. weeeee...!! Mbona utakimbia mwenyewe [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio ndiooo

🤸🤸🤸
Weee kumbe!!!!! Basi Ngoja nianze kujiachiaaaaaa nile mema ya nchi mieeee!! Waaapiiiii Djjjjjjjjjjjjjjjjjjjjj💃💃💃💃🤸🤸🤸🤸😁😁🤣🤣🤣🤣
 
Narudia tena, ukiona watu wanapendana humu we jua tu hawa hawajakutana bado! Siku wakikutana tu kila kitu kinaishia hapo hapo na kila mmoja anashika 50 zake [emoji3]
[emoji23] tupo tulikaa 2yrs na wa humu humu mbona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…