Je, hili limewahi kukutokea?

Kwamba hamkuonana kabisa? Nimecheka asee!!
 
Acha tu mie hadi tulionana hadi Raha kabisa anajua kitu caring Ile kukataa atakacho basi
 
Kwa mwanamke kuzungumzia Ma-Ex wake huwa kunaumiza wanaume wengi (wanaomtaka, walijaribu hata wanaotegemea kujaribisha bahati yao), ndo maana nikampa warning aishie hapo asije akaumiza hapa JF wanaume karibia wote isipokuwa mizee
Wanaume mna heka heka sana πŸ˜‚πŸ˜‚

Mizee πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Kwa mwanamke kuzungumzia Ma-Ex wake huwa kunaumiza wanaume wengi (wanaomtaka, walijaribu hata wanaotegemea kujaribisha bahati yao), ndo maana nikampa warning aishie hapo asije akaumiza hapa JF wanaume karibia wote isipokuwa mizee
Uliwahi mpenda mtyuuuuuu humuu????
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nitumie kwenye kibus
Weee
kitu sensitive hivyo naanzaje kutuma kwa bus?? Hii nikitoa tu unawekewa chapu hatusubiri hata ipoe vidudu mtu visije kui- contaminate🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…