Je, hii ni sawa?

Nimekuelewa ila nimependa hii NB yako huwezi kumuuliza Ke kwanini hajaolewa sababu sio amri yake kuolewa wala hawezi jilazimisha kwa mwanaume maisha hayaishi sababu hujaolewa
Sorry, maana yangu ni moja, kwamba unapofikiria hilo jiridhishe mwenyewe kwamba sijachangia chochote kwa kutoolewa katika umri huu, bali Mungu bado haja mleta mtu aliyenipangia. Then ndipo u move on with your decision.
Na malengo yangu hayakuwa kukushitumu moja kwa moja kwamba your responsible for this.
 

100% uko sahihi nadhani hii ni hofu yake kuu
 

Asante kwa kuchangia
 
May be this is reality
 
Ninachokwambia ni uhalisia. Ila unachokisema ww ni unachodhani. Tunaishi nao mitaani, tunaona yanayotokea
 
Ninachokwambia ni uhalisia. Ila unachokisema ww ni unachodhani. Tunaishi nao mitaani, tunaona yanayotokea

Na wala sijapinga mkuu tena nimekuelewa vzr sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…