Je hii ni adabu? Naoa kesho.

Je hii ni adabu? Naoa kesho.

Umeacha Million duh kweli we jasiri.Ilitakiwa ukunjie pesa kwenye wallet ndo umwambie hufanyi hicho anachotaka.Mmmmh Milion ni nyingi jamani.

oooh pesa inaweza kuondoa utu wako shauri yako manuu
 
Last edited by a moderator:
nawaza bado hii mitego Ya ki Mombasa
 
Ex girlfriend wangu aliolewa miaka mitatu nyuma, tena aliniacha kwa kuniumiza moyo kuwa mimi sina hela wa maisha.
Kasikia kuwa kesho naoa, leo kasema ataniletea mchango wake 1mil. Tumekubaliana kukutana Kinondoni Manyanya. Baada ya kukutana nae anataka eti nikamfanye kwani amesisimuka baada ya kuniona.
Natamani nimpige lakini najua mpango wake ni kuniharibia harusi.
Nimemuacha na milioni yake
Umekosea mkuu,ungetumia 0655 kwa leo!
 
Hilo ni pepo mkuu hongera kwa kulikemea nalikashindwa,,ndoa yako itakuwa na baraka tele kwa kushinda huo mtihani
 
saafi sana mkuu..ila ulikosea mahesabu kidogo yakuiacha ile millioni ungefanya miundo mbinu kwanza ya kuimiliki ile millioni..
 
Ex girlfriend wangu aliolewa miaka mitatu nyuma, tena aliniacha kwa kuniumiza moyo kuwa mimi sina hela wa maisha.
Kasikia kuwa kesho naoa, leo kasema ataniletea mchango wake 1mil. Tumekubaliana kukutana Kinondoni Manyanya. Baada ya kukutana nae anataka eti nikamfanye kwani amesisimuka baada ya kuniona.
Natamani nimpige lakini najua mpango wake ni kuniharibia harusi.
Nimemuacha na milioni yake
Hiyo pesa ungemuomba akutumie.
 
Hii nayo CHAI

Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
 
Ex girlfriend wangu aliolewa miaka mitatu nyuma, tena aliniacha kwa kuniumiza moyo kuwa mimi sina hela wa maisha.
Kasikia kuwa kesho naoa, leo kasema ataniletea mchango wake 1mil. Tumekubaliana kukutana Kinondoni Manyanya. Baada ya kukutana nae anataka eti nikamfanye kwani amesisimuka baada ya kuniona.
Natamani nimpige lakini najua mpango wake ni kuniharibia harusi.
Nimemuacha na milioni yake
JINGA KABISA WEWE...
 
Oyaa,hivi unajua kuwa wewe una ufala?Sasa demu kaolewa,kaleta hela yeye mwenyewe,halafi jambo dogo linakufanya usikunje mpunga..duu
 
Ex girlfriend wangu aliolewa miaka mitatu nyuma, tena aliniacha kwa kuniumiza moyo kuwa mimi sina hela wa maisha.
Kasikia kuwa kesho naoa, leo kasema ataniletea mchango wake 1mil. Tumekubaliana kukutana Kinondoni Manyanya. Baada ya kukutana nae anataka eti nikamfanye kwani amesisimuka baada ya kuniona.
Natamani nimpige lakini najua mpango wake ni kuniharibia harusi.
Nimemuacha na milioni yake
angekuharibiaje harusi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom